Audio: Dayna Nyange afunguka kuhusu uhusiano wake na Nando

Mwimbaji wa Nivute kwako Dayna Nyange amezungumzia uhusiano wake na mshiriki wa Big Brother Africa, Ammy Nando baada ya kuonekana katika picha kadhaa wakiwa katika poz tata.


Dayna amefunguka jana kupitia The Jump Off ya 100.5 Times Fm na kueleza ukaribu wao na kinachoendelea.

“Jamani Nando ni rafiki yangu, hakuna kitu serious,  he’s just a friend tu basi.Sijui nisemeje, ni watu ambao tumefahamiana si kwa muda mrefu sana lakini tumeshibana so imekuwa hivyo tumekuwa karibu mara kadhaa. Haipiti muda mrefu bila kuonana kwa hiyo mara nyingi tunakuwa wote. Ninamkampani kwenye issue zake na yeye ananikampani pia mimi, ni watu ambao tumekuwa karibu sana kwa kweli.” Dayna ameiambia The Jump Off ya Times Fm.

Alipoulizwa kuhusu picha zao zinazoonekana kwenye Instagram ambazo zinaongea zaidi ya urafiki, alifunguka:

“Yeah...sasa mtu na rafiki yake si mnapiga picha mnakuwa free jamani…hivyo (kicheko).”

Hata hivyo, Dayna amesema kuna kitu ambacho wanakifanya pamoja na kitakapokuwa tayari watu watafahamu.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nando nae mwanaume sasa..lulu nae anaona ana mwanaume nando watombe tu

    ReplyDelete
  2. Huyu dada kwa matusi hajambo, mdomo mchafu, simpendiii

    ReplyDelete
  3. haki ya mungu, mara lulu, mara dyna, watu wenye majina wanajilia kiulaini kisa alaishiriki big brother, inahusu, jitambueni bana wanawake mnadhalilishwa sana na ukimwi hauwezi kwisha ngo labda dawa ipatikane, by the way na ww dyna kujichubua umeona dili, yani uzuri wako wote umekwisha radha.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad