Audio: Mtoto wa Marehemu George Tyson 'Sonia' Atoa Ujumbe Mzito wa Majonzi Kumuaga Baba Yake

Jana simanzi ma majonzi vilitawala katika viwanja vya Leaders Club wakati mamia ya watu walipokuwa wakiaga mwili wa muongozaji wa filamu na vipindi vya televisheni, George Tyson aliyefariki katika ajali ya gari.

Moja kati ya matukio yaliyowatoa machozi mamia ya watu waliohudhuria katika tukio la kumuaga Tyson, ni pale mtoto wake wa kike aitwae Sonia alipokuwa akitoa neno/ujumbe wa kumuaga baba yake.

Sonia aliongea kwa majonzi maneno yaliyosababisha watu wengi watokwe machozi.

“You were kind na rafiki yangu kipenzi. Ulikuwa mtu ambaye ni rahisi kuongea nae na kunielewa. Daima ulikuwa unanitunza na kunidekeza. Na mara ya mwisho kuonana na wewe wiki iliyopita ulinambia ni jinsi gani nimekufanya uwe pride na mimi. And moreover I sing…I take a breath away. Na ninakuahidi, sitaacha kuimba kwa ajili yako. Nataka ufahamu kwamba nitakupenda milele. I will always Love You dad. Rest In Peace.”

Sonia ni mtoto wa marehemu aliyempata na muigizaji Monalisa ambaye pia ni mtangazaji wa 100.5 Times Fm.

Misikilize hapa:

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kafanana na bb ake sana maskin

    ReplyDelete
  2. Haya, weka audio ya jinsi mke wako anavyolia ukimtomba maana sasa hizi media zimekosa habari kilochobakia ni kurekodi chochote mradi wazungu wametengeneza simu za kunasa sauti.

    ReplyDelete
  3. Haya, weka audio ya jinsi mke wako anavyolia ukimtomba maana sasa hizi media zimekosa habari kilochobakia ni kurekodi chochote mradi wazungu wametengeneza simu za kunasa sauti.

    ReplyDelete
    Replies
    1. oya oya huyo tyson ulikuwa unammendea nini mbona joto hasira pumbavu hata uchungu huna?!!!!

      Delete
  4. mmm jamani muogopeni Mungu hata kwenye post ya mtoti mdogi kama huyu mnaandika matusi si upite kimyakimya kama post imekuboa ulaaniwe wewe huna wtt na hautokufa shwine

    ReplyDelete
  5. Pole mtoto Sonia Mungu akutie nguvu

    ReplyDelete
  6. kuna watu wengine wamelelewa mapipan kwan hii post ina nini mpaka mtu uandike matusi makubwa kiasi hiki? Mungu ameshakulaan ndiyo maana hujitambui. Mungu akutie nguvu mwanangu Sonia yupo mtetezi Yesu ni baba wa yatima hatakuacha milele R.IP Tyson.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad