Aunt Lulu Alia Kukosa Bwana wa Kizungu kutoka Thailand

Na Hamida Hassan

MKALI wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa anasikitika kukosa bwana aliyeahidiwa na marehemu Amina Ngaluma.

Akizungumza na paparazi wetu, Aunt Lulu alisema kabla marehemu Amina hajapatwa na mauti nchini Thailand, alimuahidi kumtafutia bwana nchini humo lakini mauti yalimkuta kabla hajamtimizia ahadi hiyo.

“We acha tu, aliniahidi kunitafutia mume baada ya kugundua nasumbuliwa na wanaume kila wakati lakini ndiyo hivyo tena Mungu akamchukua kabla hajanitimizia ahadi,” alisema Aunt Lulu.
Amina alifariki mwezi uliopita nchini humo ambapo chanzo cha kifo chake kikielezwa kuwa ni uvimbe kwenye kichwa.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hiv ww unakili timamu baada ya kujiuliza unatatzzo gan et unataka bwana wa kizungu kwan mzungu ndo hatokuacha ww ni mwehuuuuuu

    ReplyDelete
  2. huyu dem kwel akapimwe utimamu wake...kwel kufirana n laana

    ReplyDelete
  3. Ana pepo huyu....!

    ReplyDelete
  4. Vidada vya kibongo vimeingiliwa na virus kwenye vichwa vyao duh! mnatudhalilisha mbwa koko nyie

    ReplyDelete
  5. Wazima wako mirembe wagonjwa tupo nao mitaani

    ReplyDelete
  6. Wasanii wa cku hiz akil zao za kisenge kweli kumamae zao kujipitisha tu kwa waandishi ilo waandikwe hata vya kipuuzi maaanina

    ReplyDelete
  7. kaona bongo ameimaliza sasa anataka asepe ulaya

    ReplyDelete
  8. malaya mchafu

    ReplyDelete
  9. Huyo punyeto

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad