Na Hamida Hassan
MKALI wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa anasikitika kukosa bwana aliyeahidiwa na marehemu Amina Ngaluma.
Akizungumza na paparazi wetu, Aunt Lulu alisema kabla marehemu Amina hajapatwa na mauti nchini Thailand, alimuahidi kumtafutia bwana nchini humo lakini mauti yalimkuta kabla hajamtimizia ahadi hiyo.
“We acha tu, aliniahidi kunitafutia mume baada ya kugundua nasumbuliwa na wanaume kila wakati lakini ndiyo hivyo tena Mungu akamchukua kabla hajanitimizia ahadi,” alisema Aunt Lulu.
Amina alifariki mwezi uliopita nchini humo ambapo chanzo cha kifo chake kikielezwa kuwa ni uvimbe kwenye kichwa.
hiv ww unakili timamu baada ya kujiuliza unatatzzo gan et unataka bwana wa kizungu kwan mzungu ndo hatokuacha ww ni mwehuuuuuu
ReplyDeletehuyu dem kwel akapimwe utimamu wake...kwel kufirana n laana
ReplyDeleteAna pepo huyu....!
ReplyDeleteVidada vya kibongo vimeingiliwa na virus kwenye vichwa vyao duh! mnatudhalilisha mbwa koko nyie
ReplyDeleteWazima wako mirembe wagonjwa tupo nao mitaani
ReplyDeleteWasanii wa cku hiz akil zao za kisenge kweli kumamae zao kujipitisha tu kwa waandishi ilo waandikwe hata vya kipuuzi maaanina
ReplyDeletekaona bongo ameimaliza sasa anataka asepe ulaya
ReplyDeletemalaya mchafu
ReplyDeleteHuyo punyeto
ReplyDelete