Baada ya Diamond Kukosa Tuzo Instagram Pamechafuka, Diva Ajitoa Team Wema

Daah hii ni NOUMA sana...Kama mnavyojua, Msanii wetu hapa 255,  Diamond hakufanikiwa kupata TUZO  za MTVmamaAWARD hapo jana  huko South Africa. (Sio mbaya sana kushiriki tu kwangu Diamond ni ushindi)

Na kama unavyojua tena huko kwenye mtandao wa  INSTAGRAM kuna AKAUNTI  mbalimbali ambazo zina  WSAPOTI Diamond na Wema na zingine hazi WASAPOTI... Kwa kifupi wapo walio ponda na wengine kumpongeza kwa hatua aliyofikia...ISHU YENYEWE NI HIVI!!

Diva wa Clouds FM kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM na alijitokeza na kumpongeza DAVIDO kwa kuchukua TUZO kuwa ndio alikuwa ana DEZEVU (Best Male: Davido (Nigeria) ambayo pia Diamond alikuwa anashindania)....hapa ndio MOTO ukawaka...wale wote (wengi wao) wanaojiita TEAM WEMA walimuibukia na kumponda sana DIVA ambae hivi karibuni sema hadharani kuwa yeye ni TEAM WEMA [SOMA HAPA]

Kufuatia KOMENT  nyingi kutoka kwa watu wa TEAM WEMA kumtukana na ku DIS na Kususia kwenda kwenye SHOW  yake ambayo itafanyika leo BILLS

Diva amewaponda Team  Wena na kujitoa Rasmi :

Post a Comment

45 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. So walitaka usimpe pongezi davido, jaman bongo nouma sana huyo kapata umaarufu baada ya kubebwa na davido kwenye hiyo remix yake lakin kiukweli domo ni kima tu hana lolote tena ni tango pori

    ReplyDelete
  2. wabongo tatizo ni wivu maskin,Diamond anaishi kwake,nyumba ya ukwehe full swimming poor,mboga nane, moet kwa kwenda mbele,ATM kadi saba,mikataba kibao Vila kusahau no Ambassador Wa my kinywaji yangu ya ukweli cocacola nk.we we unaemponda utaishia kula kishamvu na kuishi kwa matumaini,mwenzio anazidi kuvuka boss 2 boda,eti tango pori pyeeeeeeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umenena mdau,wana chuki binafsi,wanahs kufanikiwa wake maumivu ndani ya nyoyo zao,hill undo tatzo let wa Tz wengi....Mwenzenu anapaaa nyie mnaishia ku comments pumba

      Delete
  3. akome na ha2mtaki tema wema. 2pende vyaa kwe2 ndo slogan yao hlf anaponda. ndio davido ni msanii mzur lkn haikupaswa kumsema diamond kwa dizaini hyo

    ReplyDelete
  4. kuma diva anaongea nini mkundu mfilwaji huyoo kwan nani alikuita team wema wewe???????????????????si ulijitangaza mwenyewe kua unampenda so what usituletee nyege zako diamond wema waache walivyoo wewe ulishaenda ht marekan kutangaza au unauza kuma tuu hapa..nyooo koma kabisa hamia team yako na wewe ufungue uone km utapata mashabiki kwa wema na diamond kaa mbali na tewm wema tutakuuaa ukikaa vibaya tena ukiendelea na mineno yako ya kijinga diva utajuuta mjini ..pita kulee..hii ni team wema ya ukweli hutaki jitoee hujaitwaa ulijileta

    ReplyDelete
  5. eti kushiriki tu ni ushindi mbona unafiki huu?mamiss wanashiriki kila mwaka na hawapati kitu timu ya taifa inashirik kila mwaka michuano mbalimbali lkn tunatolewa mapema? inamaana huo wote ni ushindi? ameshindwa kwasabu yeye ndo kibonde kuliko wote na msitusumbue na colabal mbona kiba alifanya na R Kelly itakuwa huyo dada mond wenu mbumbavu zenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani aliyekosa tuzo ni ye peke yake? P square wenyewe wamekosa,na huyo kiba wako aliyeimba na R Kelly yukowapi?

      Delete
    2. Kushiruki ni ushindi ndio,kwanza amepata kujitangaza,hill ni jambo moja la msingi,pili ameenda kupata uzoefu wa kushiriki ktk award kubwa za kimataifa,atasoma alipokosea na kusonga mbele kwa kurekebisha makosa,kukosa award so kipimo cha msanii Kuwait chini,hapa USA wasanii wakubwa wakubwa wanakosa tunzo na viwango vyao viko juu,tuwache vyoyo na wivu wa kimaendeleo,haitusaidii...mkitaka mistake Diamond yupo juu Tanzania na anaogelea East Africa for now....mtakufa na wivu na vyoyo vyenu mkiwa midomo wazi mnashangaa maendeleo ya mwenzenu.

      Delete
  6. Big up dimondo hapo ulipofikia ni ushindi tosha.

    ReplyDelete
  7. Kwa bongo ndio mnaona big dili sana kwa Domo kuwa nominated, ila ni vitu vya kawaida sanaaaaaa kwa mataifa ya wenzetu, Mitusi mingi point less.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lazima tuone big dili kwasababu hakuna msanii wa TZ aliyewahi kufika hapo alpofika Diamond.Yani ngozi nyeusi majanga hata angepata pia wasingekosa cha kukosoa big up Diamond wakimbize!

      Delete
    2. We anony wa 2;05 Ay ni msanii wa wapi labda? Do your research kwanza

      Delete
    3. Prof jay alishakua nominated tuzo za mtv mama pia

      Delete
  8. kuma diva. Msenge uliitwa timu wema ww katombwe ww

    ReplyDelete
  9. kama kushiriki ni ushindi basi taifa starz inashinda kila mwaka

    ReplyDelete
  10. daimond anawapa presha sana eeeeeh! na bado mwaka huu mpaka mnyooke

    ReplyDelete
  11. daaaar afandal amekosa amezid masifa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Una akili wewe angepata huyo hata huyo komwe wake ndiyo angezidi sifa waone walivyokuwa wapole hapo kwenye picha hamna wivu hapo akustahili kweli

      Delete
  12. hahahahaaaa Dada mond kichwa chini miguu juu.

    ReplyDelete
  13. Diamond na Davido nani bora?fyeeeeee,chezea davido wewe.
    Bunjumbura ndio wana mfagilia,but not kenya ,uganda,anakuwa kawaida tu.

    ReplyDelete
  14. Wapi diamond ,nilishawahi kuzimia jamani aliponishika mkono love youuuuuuuuuuuuu.

    ReplyDelete
  15. Wasikupe presha baba team mavi kunuka,coz hawana mawazo mapya,zaidi ya kuponda wenzao,bad una money mingi ya kilimanjaro music award. Hehehehehe.

    ReplyDelete
  16. Acheni wivu na matusi yasiyokuwa na ulazima kwani ukitoa comment zako lazima uandike na matusi ili watu wakuelewe! mnaoandika matusi jipunguzieni dhambi za maneno machafu! mnaandika comment za kijinga huku mwenzenu anazidi kupaa! kimwingiacha mtu hakimtii najisi bali kimtokacho! acheni matusi mrudieni mungu wenu ombeni mshamaha awasamehe makosa yenu! mtu na akili zako unaandika comment za kijinga hivyo inaonyesha ni jinsi gani mlivyowachafua kuanzia kwenye nguo mpaka rohoni! biblia inasema atendae dhambi na aendelee kutenda dhambi na atendae mema na aendelee kutenda mema! hivyo basi kazi kwako kutenda mema au kutenda mabaya! matusi sio ishu sana, ishu wewe uko wapi umefanikiwa kwa kiasi gani! au ndo ila mradi kumekucha ukaandike matusi kwenye mtandao! acha hizo fanya kazi huku ukimuomba mungu ili na wewe akujalie ufikie mafanikio yako! mtu na akili zako na hekima na busara tena upo busy na kazi zako huwezi kupoteza muda kwa kutoa comment za matusi mtandaoni! je wanao wataiga nini kutoka kwako! unarithisha nini kwa kizazi hiki! unafundisha nini kwenye jamii inayokuzunguka!

    ReplyDelete
  17. ACHENI MATUSI!! ANGALIA NIFANYE NINI ILI NA MIMI NIFANIKIWE KAMA WENZANGU WANAVYOFANIKIWA!!!

    ReplyDelete
  18. who da hell is diamond his songs are jus for kids and naive girls who r fond of useless lyrics..eti unataka kulewa pesa si ni zako...we lewa c tunakesha bar,but do we say!!!..wabongo focus...

    ReplyDelete
  19. Nilitabiri hatashinda nilichambwa humu pumbu zenu kiko wapi

    ReplyDelete
  20. kama mtanzania diva hakutumia busara kumpa hongera davido,n kama taifa starz icheze na nigeria kisha nigeria ishinde kisha mtz awape hongera nigeria

    ReplyDelete
  21. Acha ujinga inamaana hatakama hawezi umsifie,davido anajua bana

    ReplyDelete
  22. Hivi nyie mnaosema kuwa Diamond hakustahili kuwa mshindi, kwa kutoka hapa tanzania mlitaka nani ndo awe mshindi??? Mnamsema kuwa tuzo za kili alipewa kwa kuhonga majaji, so na MTV pia alihonga ili ateuliwe yeye from TZ?? kwanini hawakuteuliwa hao mlioowaona nyie ndio bora kwa TZ?? BET pia aliwahonga wamteue yeye??? mbona bado hawakuteuliwa hao mnaowaona nyie kuwa ni bora kuliko Diamondo???

    Kubalini matokeo diamond ni mkali, Kili Awards mliwasema sana kuwa wanapendelea lakini MTV na BET wakawasuta kwa kumnominate kugombea awards. Kuna wasanii wangapi East Africa, na africa kwa ujumla ambao ni wakali na wakongwe kuliko Diamond lakini hawakuwa nominated instead akaonwa Diamond??? Kitendo cha yeye kuwa nominated kwenye hizo international awards tayari ni ushindi kwake na kipaji kimeonekana tayari hata kama mnasema amebebwa na davido sawa kwenye kila mafanikio kuna mlango kama davido kawa sehemu ya mlango wa mafanikio ya Diamond kuna ubaya gani???

    Ali kiba alipata kuimba na R Kelly mbona hakuwahi kuwa nominated popote kama issue ni hiyo colabo yake na Davido ndo imemtoa?? Jamani bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi najua mmefurahi hajapata ila moyoni mnamkubali kuwa ni jembe ndo maana alikuwa nominated. Wivu ni kidonda mkishiriki mtakonda.

    ReplyDelete
  23. bora ameshindwa. safii sana wamenywea kama vile wamenyeshewa na mvua. uwezo wake mdogo mnampa misifa ya kijinga. wapumbavu sana nyie wote mnao mfagilia

    ReplyDelete
  24. Iwana make u famous from tanzania to lagos...afu huyohyo alokumake famous unataka kushindana nae..??acha usenge domo...

    ReplyDelete
    Replies
    1. we ndo acha usenge kwani Davido ndiye aliyemteua kugombea tuzo kila kitu kina mwanzo atafika, lazima ashindwe wapiga kura wenyewe ndiyo nyie wenye roho mbaya hivi?

      Delete
  25. Diamond u da man, those cockroach Bongo lala let's them talk u present us even the time u are on da stage all peoples are screaming for u, you show da world u are something there need a winner n losser u can't be all winner but for u to be there u are da Man we proud of u. Not all people they gonna love u and we can't force them to love u coz they are good for nothing. We are wid u buddy keep it up asta la vista

    ReplyDelete
  26. pumbavu zako na kingereza cha agriculture, eti 'u da man' nenda ukawe wema wa pili basi. unaonesha sio mzima wewe unasifia uozo

    ReplyDelete
  27. Embu tuongee ukweli uliopo hv ni msanii gani wa East AFrica amby amewai kube nominated Tuzo za BET na MTV MAMA AWARD & AFRIMAMA AWARD kqa wakti mmoja? but Diamond ndio pekee amebahatika kwa hy hii inadhihirisha anakipaji na nyota kali galf ukizingatia ametokea msoto mpk now anagud life so usidiss tu bila kuwa na fact

    ReplyDelete
  28. Embu tuongee ukweli uliopo hv ni msanii gani wa East AFrica amby amewai kube nominated Tuzo za BET na MTV MAMA AWARD & AFRIMAMA AWARD kqa wakti mmoja? but Diamond ndio pekee amebahatika kwa hy hii inadhihirisha anakipaji na nyota kali galf ukizingatia ametokea msoto mpk now anagud life so usidiss tu bila kuwa na fact

    ReplyDelete
  29. Halafu mkae mkijua Diamond kutkana na kipaji chake nyota yake MAFIKIZOLO wamemuomba collabo naye na kwa ss wapo studio kurecord naye South Africa wanamlipia each service yy na crew yk ya WCB the anacollabo nyngen na wasaniI wngne so msiongee pumba tu pimeni msiwe na akili za usiku.Haters

    ReplyDelete
  30. mafala wengine wanaonekanna kwenye swala la music hawajui lolote mtu haelew ata ambao wamewah kuwa nomenee Ay,Prof.,cpwa kuwa nnomenee sio ishu shinda tuzo manake nomenee unaekwa na wanaume wenzio wa kaz so dogo bado akaze na ngel kidogo,bila watamuelewa watz bas..

    ReplyDelete
  31. Uyo Domo amshukuru Davido...ndio kamfikisha Kwenye hizo tunzo MTV MAMA.....Big up Davido Mungu akuzidishie....

    ReplyDelete
  32. Anonymous 5:22 umeongea Ponts mtu wangu....Big up! na ww Anonymois wacha kushobokea watu,DAVIDO DAVIDO,wekeni uzalendo pendeni vya kwenu.....chuki,vyonyo havisaidiii,mnaona akiendelea atawin zaidi kimaisha ndio tatzo lenu,mnataka asi cross more than the line he stand up right now...BIG UP DIMONDA....Ipo siku watakupigia salute kwa kukukubali japo kimya kimya.

    ReplyDelete
  33. halima kinyoko kalogo...habari ndo hiyo...msenge kweli yule demu kula zote nilizopiga!!!

    ReplyDelete
  34. Nana junior kumbe ulipiga kula,ulitakiwa upige kura.

    ReplyDelete
  35. jamani dogo die kapiga hatua haijalish kashinda au kashindwa.....hongera baby nasib na ongeza juhud

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad