Baada ya Kukosa Tuzo ya MTV Music, Diamond Afunguka na Kusema Haya

"Maisha ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa MTV...Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo leo... pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili Next tym tuzidi kufanya vyema....

Shukrani zangu nyingi ziende kwa ashabiki wote,Management, Media,Family, wasanii na wadau Mbalimbali kwani kwa nguvu zao ndio zimefanya leo kunisogeza toka sehem moja kwenda nyingine...Next stop #BET!!!... Asante sana #Sheriangoi kwa Suti Hii"

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe rudi kwa mama nasib kama unakavo muita mama di yuko wapi siku hizi hata jina lake hulitaji tena toka umerudiyana na uyo bilisi mkubwa wema . Kilasiku wanawake unawabadilisha kama unakavo badili underwear yako lakini MAMA NASIB hujapata na wala huto pata badili yake maisha

    ReplyDelete
  2. True mdau hapo juu.. umenena

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Dy..hiyo ni hatua kubwa sana.wala hujashidwa.for me,we ni hero.Mungu mbariki Diamond Mungu ibariki Tz

    ReplyDelete
  4. Kaachini utafakari na angalia jinsi gani ya kuweka mziki wako kimataifa zaidi, Davido ulivyo mshirikisha alikufanya ujulikane zaidi hasa kwa style yake ya skelewu ukajiona wewe bingwa na pia kuwa muangalifu na media za bongo wanakupa sifa za kibwege na hatimae unalewa sifa na kubweteka.

    ReplyDelete
  5. media za bongo zinakudanganya diomond

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad