Baada ya Soko la Karume Kuungua Kitu cha Ajabu Chenye Mfano wa Mtu Chaonekana


Hiki ni kitu ambacho kilipatikana mara baada ya moto kuzimwa eneo hilo la soko,Kila mtu ana maswali mengiiiiii bila majibu Je ni kitu gani hicho?au wewe ndugu msomaji unaweza tambua ni kitu gani Hiki?

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. au ni msukule wa mfanyabiashara umeungua

    ReplyDelete
  2. Jibwa hilo acheni mawazo potofu. Au laa mdoli ule mkubwa wenye madude magumu kwa ndani

    ReplyDelete
  3. jamani kuna vipimo tusitumie mate, make kama ni fuvu kuna kipimo

    ReplyDelete
  4. Huyo mtu,angalia skul yake na vile amejikunja, fuvu la kichwa cha mbwa hakipo hivyo na pia hata angekuwa ni mdoli asingebakia hivyo angekuwa majivu...MISUKULE

    ReplyDelete
  5. Sababu kubwa ya kuungua soko la karume ni laana ya mwenyezi mungu!ki ukweli soko lile linaongoza kwa ngono mabinti wanarubuniwa kwa kupewa vijinguo dhaifu na kutoa ngone!waombe sana kwa mola awahurumie kwani angewaangamiza mchana kweupe!

    ReplyDelete
  6. huyo paka ama mbwa 2siingze imani za kishrikna

    ReplyDelete
  7. Hilo sanamu la wauza mitumba limeungua

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad