Baadhi ya Wadada ni Mizigo Katika Mahusiano ya Kimapenzi

Leo itanibidi niseme tu hata mkinitusi manake mmezidi jamani kuwapa mizigo hawa kaka zetu alafu na wengi wao hata hawashtuki mpaka pale mambo yanapomwendea mrama, utakuta dada mzuri kweli wa sura na umbo yupo kwenye mahusiano na mkaka yaani huyo dada yeye kazi yake ni kumchuna tu jamaa mara sina vocha na hata ukimpa yeye kazi yake kukubeep apigiwe mara leo sijui nimeona nguo mwenge na mengine mengi ila unakuta hakuna yeye kitu anafanya kwa huyo mwanaume ili ajione na yeye ni mtu kweli , basi hata mawazo ya jinsi ya kupata hela mpe basi , kazi yako wewe starehe tu ijumaa ikifika ndo wakwanza kupanga viwanja vya kwenda kujirusha hata hujui jamaa yako hela kapata wapi...Alafu ndo unakaa unajiuliza mbona siolewi? Bibie Kuelewa yahitaji kujitoa usione Vinaelea jua vimeubwa....

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. C wadada 2,hata baadh ya wakaka wanakuwa mizgo km wanawake

    ReplyDelete
  2. Sasahivi ni pasu kwa pasu ulimwengu umechange.nawanaumenao waseme twendesawa

    ReplyDelete
  3. Hata wanaume wapo wengi tu wenye tabia iyo

    ReplyDelete
  4. wadau wote waliocmment naona imegusa polen sn..... muache sas hyo tabia ili mpate mabwana... yaan unakuta mwanamke hata wki hamjafkisha ktk mahusiano utasikia naomba vcha,cmu imeharibka na2mia ya m2,/nmepoteza, oh! nmeibiwa......yani shida juu ya mattx....

    ReplyDelete
  5. mimi hao dawa yao ninayo waje kwa wingi

    ReplyDelete
  6. Ni kweli kabisa na siku hizi wanaitwa KIKOSI CHA KUPIGA MIZINGA.

    ReplyDelete
  7. Mhuuuuu sawasawa hapo kutam sana mambo ni pasu kwa pasu yaaaan 50% hahahahaha

    ReplyDelete
  8. Aisee admin leo umeongea point ungekuwa karibu ningekutoa japo na ya vocha!! Ni darasa zuri sana kwa leoo!! Halafu inaudhi zaidi hao hao ulowasema usipoweza kumtimizia hayo anaanza kukuzingua kuwa humpendi na mambo mengineyo daaahh noumaa isee imekaaa sawa sana mada ya leo!

    ReplyDelete
  9. Achen ubahir kwan mwanaume kumtunza mwanamke ndo wajibu wake na imeandikwa had kwenye bible mwanaume utakula kwa jasho lako asa mnataka nan awafanyie majukum yenu? sema wakaka wasikuhiz mnapenda kulelewa na mmekua mario..................usione kinang"ara kimeundwa babu wewee sasa ww leta pumbu zako utakula galasa.....kizur cha gharama atii mwanaume walet sura hata mbuz anayo...............mtatukanaje sasa.......ila ndo mjue hapa pesa tuu upendo kapewe na wazaz wako...........

    ReplyDelete
  10. Naomba kuuliza kwa hawa wanaume mliooa lakin still mnatoka nje ya ndoa kutaka mapenz kwa wadada hapo unategemea kweli mapenz ya dhati? coz what i know kudate na mume wa mtu ur gaining nothing so better u stop buana simlikula kiapo kaninsa.........matokeo yake mnambulia kuchunwa na familia kuyumba ndo mkome maza fanta........

    ReplyDelete
  11. Mpango mzima kugawana majukumu.ugoli kipa aufai mwnaume anachoka

    ReplyDelete
  12. We fala kugawana majukum mbona kuzaa hamtusaidii kazi yenu nyinyi kutuhudumia sisi na sie tuwape tunda,sasa mnalalamika as if mmeonewa wakati huo ni wajibu we nu pumbav zenu mnakeraaaaa

    ReplyDelete
  13. hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii/

    ReplyDelete
  14. Hivi ninyi vichwa panzi wanaume, tuzae kwa uchungu tulee, tuwapikie, tuwafulie halafu mnataka tutumike pia kwenye adhabu yenu ya kula kwa jasho? Shame on you weak men!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad