BATULI: Sijawahi Kula Hela ya Mume wa Mtu..Mwili Wangu Si Mtaji Kwangu

Staa  wa  kike  anayefanya  vizuri  katika  tasnia  ya  fillamu Yobnesh Yusuph ‘Batuli’   amefunguka  na  kudai  kuwa  hajawahi  kula  hela  ya  mume  wa  mtu  na  kama  watu  wanamhisi  hivyo  basi  watakuwa  wanakosea  sana…..

Batuli  alitoa  kauli  hiyo  ili  kuwathibitishia  mashabiki  wake  juu  ya  kauli  mbovu  za  watu  kuwa  urembo  wake  unategemea  mtaji  wa  mwili  wake  ambapo  amewajibu  kwa  kusema  kuwa    urembo  na  uzuri  wake  unatokana  na  matunda  ya  kazi  yake  ya  sanaa  na  kimsingi  anautumia  huko   kwa  kuwa  haoni  faida  ya  kula  hela  ya  mwanaume  kwani  hajaifanyia  kazi.

Amini  kuwa  naendesha  maisha  yangu  kwa  misingi  ya  kazi  zangu, inawezekana  wapo  wanawake  wanaoishi mjini  kwa  kutegemea  mtaji  wa  miili  yao  na  si  sanaa.

Kwa  upande  wangu  hata  Mungu  ananiona  kuwa  kile  ninachokipata  kupitia  sanaa  ndicho  ninachokitumia  kwenye  matumizi  yangu,” alisema  Batuli

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Real Batuli nakujua wewe since your a kid hapo umeongea ukweli uwa unapenda chako tu si rahis kudanganyika nakumbuka ata bro alivyojarib kukulainisha na vijipesa vyake bado uliweka ngumu Mungu akusaidie dada yangu keep it up No coment

    ReplyDelete
  2. acha kujipendekeza we choko kama unamtaka tumia njia nyingine cio kumsifia kipumbavu tu....hawa malaya wa mjini tunawajua cc hana lolote uyo malaya tu kamdanganye huyo uliemshika mapembe cio cc huna lolote unatafuta kiki

    ReplyDelete
  3. heheheeee, hayo hayo! batuli wewe! we ulimganda mkul.... mpaka ukataka kuvunja ndoa yake c alikuwa mume wa mtu yule, au wa nyani, huna hata haya, naona unatafuta kick kupitia vyombo vya habari. aliejitliza huwa hajitangazi, kizuri chajiuza, kbya chajitangaza. waoaji hawapo.

    ReplyDelete
  4. Nipo mie tuu.....kama yupo tayari tuwasiliane kwa namba ya cmu

    ReplyDelete
  5. kwan mtunisi cyo mume wa m2...acha ujinga ww

    ReplyDelete
  6. Hajawahi kula hela yao anawapaga bure tu

    ReplyDelete
  7. Na ulivykuwa unajipelekesha kwa kiumbe je

    ReplyDelete
  8. mi sio choko naongea kwa uhakika nilio nao wala simtetei achen maneno ya vijiwen bhana sio kila mtu mnamponda nammjua batuli vizur sana kwa nin nimtetehee kwa uongo jaman msiongee tu mtafutien kashfa nyingine na hy kick ni hipi ninayoitafuta you testless Pretyless bich usiongee kama una uwakika

    ReplyDelete
  9. Msitukanane jamani, hawa wasanii hasa wa kike wanamambo sana, sasa tutajuaje kama huwa hali pesa ya mume wa mtu, kwahiyo akienda hotel na mume wa mtu anagharamia yeye? Mmh kutafuta tu umaarufu, kwani akinyamaza atakufa! Mbona mwenzao Riyama hasemisemi hovyo hawa wengine wamekula chakula gani hicho wanashindwa kunyamaza? Haya basi utafutaji mwema

    ReplyDelete
  10. kumanyooooooooooko wote kwani hamna kazi za kufanya

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad