Kila mtu alikuwa na lake kuhusu bibi huyu anayedaiwa kukutwa akiwa uchi huku wengine wakisema ni mgonjwa wa akili na wengine wakidai ni mchawi kaanguka na ungo.
Alipokuwa akihojiwa amedai ametoka Bariadi lakini wenzie aliokuwa nao walimshusha baada ya kutokea ugomvi.
Amedai walikuwa wanne kwenye safari yao hata hivyo wapo wengine waliosema kuwa ni mgonjwa akili na tangu jana amekuwa akionekana maeneo ya hospitali ya sekoutoure akiranda randa.
Mpaka naondoka eneo hilo Polisi walikuwa wamefika ili kutoa msaada kutokana na kundi la watu waliokuwa wamemzunguka na baadhi yao wakitaka apigwe kwa madai ni mchawi.
Biblia imesemaje usimuache mchawi aishi.wangemchoma moto
ReplyDeletewe na wewe mtambo huna akil tu! Angekuwa bibi yako ungeshabikia achomwe moto? Inawezakua ni kweli mgonjwz.mfyuuuuuuu.
DeleteWe unayo unakumbatia uchawi eeh ushazoea kwenu kwahio unaona kawaida pambafu
DeleteWewe Mtambo mshamba kweli. Achomwe moto? Wewe tangu kuzaliwa kwako umewahi kusikia mtu yeyote akianga angani?? Hebu nenda ukaangaliwe mtambo huo wako kwa sababu inaokana unakasoro Fulani. Mtambo kumanina zako! Mchawi wewe!
ReplyDeleteNakasoro ulinipa wewe biblia imesema usimruhusu mchawi akaishi kama evidence zipo why nt hatakama ni bibiyangu ndio nimbebe ww poyoyo kweli shidazote hizi ukakumbatie zakujitakia au kwenu uchawi ni kawaida.misipendi uchawi kwa asilimia zote
DeleteDuh!!Bariadi???mmmmmmmm
ReplyDeleteHII NI DANGANYA TOTO ANGEONEKANA JUU AKISHUKA !
ReplyDeleteBibi amechanganyikiwa loo
ReplyDeletePOLE BB
ReplyDeleteAnataka kuchezea akili za watu hyo bb
ReplyDeleteMleteni kwangu nimsugue kinembe itakuwa ana nyege
ReplyDelete