Bibi kizee Mchawi adondoka kutoka Angani huko Jijini Mwanza

Kila mtu alikuwa na lake kuhusu bibi huyu anayedaiwa kukutwa akiwa uchi huku wengine wakisema ni mgonjwa wa akili na wengine wakidai ni mchawi kaanguka na ungo.

Alipokuwa akihojiwa amedai ametoka Bariadi lakini wenzie aliokuwa nao walimshusha baada ya kutokea ugomvi.

Amedai walikuwa wanne kwenye safari yao hata hivyo wapo wengine waliosema kuwa ni mgonjwa akili na tangu jana amekuwa akionekana maeneo ya hospitali ya sekoutoure akiranda randa.

Mpaka naondoka eneo hilo Polisi walikuwa wamefika ili kutoa msaada kutokana na kundi la watu waliokuwa wamemzunguka na baadhi yao wakitaka apigwe kwa madai ni mchawi.
Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Biblia imesemaje usimuache mchawi aishi.wangemchoma moto

    ReplyDelete
    Replies
    1. we na wewe mtambo huna akil tu! Angekuwa bibi yako ungeshabikia achomwe moto? Inawezakua ni kweli mgonjwz.mfyuuuuuuu.

      Delete
    2. We unayo unakumbatia uchawi eeh ushazoea kwenu kwahio unaona kawaida pambafu

      Delete
  2. Wewe Mtambo mshamba kweli. Achomwe moto? Wewe tangu kuzaliwa kwako umewahi kusikia mtu yeyote akianga angani?? Hebu nenda ukaangaliwe mtambo huo wako kwa sababu inaokana unakasoro Fulani. Mtambo kumanina zako! Mchawi wewe!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakasoro ulinipa wewe biblia imesema usimruhusu mchawi akaishi kama evidence zipo why nt hatakama ni bibiyangu ndio nimbebe ww poyoyo kweli shidazote hizi ukakumbatie zakujitakia au kwenu uchawi ni kawaida.misipendi uchawi kwa asilimia zote

      Delete
  3. Duh!!Bariadi???mmmmmmmm

    ReplyDelete
  4. HII NI DANGANYA TOTO ANGEONEKANA JUU AKISHUKA !

    ReplyDelete
  5. Bibi amechanganyikiwa loo

    ReplyDelete
  6. Anataka kuchezea akili za watu hyo bb

    ReplyDelete
  7. Mleteni kwangu nimsugue kinembe itakuwa ana nyege

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad