Bob Junior Amkumbuka Mkewe Aliyemwacha Asema Kuondoka Kwake Imekuwa Msiba Kwake..Ataka Warudiane

Mapenzi ni kitu Kingine Jamani Acheni tu, Unaweza kumuona leo hafai ile kesho ukamlilia yule yule uliesema hafai..Kama mnakumbuka wakati Bob Junior anaachana na mke wake aliongea mengi tu ikiwemo ameamua kila mtu achukua zake kwa vile Mwanamke anawivu sana na kumfutilia kila mahali....ila sasa Bob Junior anajutia Kitendo hicho na kusema amemmisi sana na yupo mpweke na amekiri kuwa yule mwanamke ndio aliyemfundisha mapenzi, leo hii anakula vibandani....Mzee mzima mpaka ameamua kumtungia wimbo akimlilia basi ujue kiukweli anataka warudiane.....
Tujifunze kwa hili Raha za muda Mfupi zisikufanye uisahau familia na kuona haina thamani....Wakati ndoa ya Bob inavunjika alijitokeza dada Mmoja (Toto Ashley) na Kudai Anatoka nae Haya Leo yupo Wapi....(Tusamini Familia Zetu)

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. alikuwa hajui ee si alisema yeye ni sinlgle bado yupo yupo sana kikowapi

    ReplyDelete
  2. Alikuwa ajui umuhim wa mke sasa anatapatapa

    ReplyDelete
  3. Alikuwa anakupenda ndio maana akawa anakuonea wivu wewe ukaona anakugas xaxa kikowapi mpende mke wa ujana wako

    ReplyDelete
  4. umalaya tu unawasumbua

    ReplyDelete
  5. JAMANI WANAUME,MNAANGAIKA NINI,ONA MUNGU ALIVYOWAPA KATOTO KAZURI ,ALAFU UNAMUACHA MWENZIO,ANAENDA KUKALEA KATOTO PEKE YAKE,FANYA HARAKA UMRUDIE,MKALEE AKO KATOTO,HUONI HAPO KATOTO KALIVYOKUWA NA FURAHA,

    ReplyDelete
  6. Bab jinga hilo!
    limeacha mke kwaajili ya malaya!

    ReplyDelete
  7. Udaku mh. Amrudie mara ngapi???? Wakati keshamuoa Tena mapema mwaka huu, tathimin habari

    ReplyDelete
  8. Yamemshinda kaz umalaya tu wasalimu na Malaya wenzio mtahangaikasana

    ReplyDelete
  9. Na kama ni kweli kamrudia hapo nayeye hajiandae kushea na mwenzake cos huyo demu hawezi kumuacha ghafla bwana aliyekuwa naye baada ya kuachika!sasa hapo jamaa atakuwa mpole ila kupewa atapewa kwa sana tu!

    ReplyDelete
  10. We bob junior braza meni mzima mtoto wako bado unamfunga hayo mavitu ya zamani Mahirizi bwana nouma baab!baada ya kumvesha ma bring bring wewe unamvisha Hirizi!umechemkaaa!

    ReplyDelete
  11. mdau hapo juu, usikalili ujinga hiyo sio hirizi, huwa ni dawa ya mchango hasa kwa watoto wakiume, na tena waweza mfungia hata kwa kitambaa chochota sema cheusi wanapenda coz hakioneshi uchafu, so na ndani yake huwa kuna kimti kinaitwa mvuje basi, wala hakina maana mbaya kwa watu tuliopitia watoto, wewe kama ni mgumba kimpango wako, uliza uelekezwe, sio kuropoka tu dogo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi mwenyewe na watoto mbona hiyo kitu sijawahi kuwafunga?na mpaka sasa hivi niwakubwa,inaonekana mambo ya kishirikina umeweka mbele sana maana ulivyo tetea mada ya jamaa hapo juu!

      Delete
  12. thaman ya macho kamuulize kipofu

    ReplyDelete
  13. Na demu alivyokuwa mzuri huyo atakuwa kesha chukuliwa na wanaojua kutunza bila makelele

    ReplyDelete
  14. bob umezidi kukata mauno hadi mke unamuacha kwa umalaya nyie ndo mnao fanya mzki mpate mademu

    ReplyDelete
  15. Umeisoma,kumbuka la mwanzo si la mwisho.Mke wa kwanza ukimwacha kuna kalaana huwa kanafuatilia,Mwache wamfaidi wengine.

    ReplyDelete
  16. nachojua mtoto analindwa na mungu na malaika walinzi hiyo kinga ya nn sasa mvuje ni mapepo tu hayo mvueni haraka huyo malaika wa mungu atalindwa na mungu mwenyewe.wewe unaetetea bado upo nyuma kiimani mungu akusaidie sana bado una mambo ya kuabudu mizimu. mfyonyo

    ReplyDelete
  17. Nawengine watajifunza kusahau mbachao Kwa msala upitao

    ReplyDelete
  18. Bob junior hajatulia, amepata mtoto wa kimanga huyu anaringa, wacha azubae wajanja tukutane nae soma udaku

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad