Breaking News:Ajali Mbaya yatokea Maeneo ya Makongo na Kuuwa Watu 18..Photos
21
June 21, 2014
Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18 katika eneo la Makongo Sekondari jijini Dar.
Inasikitisha Jamani ...RIP
By Pendo Lyimo
Poleni sana ndugu wa marehu mwenyezi mungu awapokee mikononi mwake
ReplyDeleteOmg....R.I.P kweli uhai mkononi me nafika bonden mara nackia ajali daaah polen sana wana familia
ReplyDeleteJamani tuendeshe magari vzr huyo nahisialikuwa anaovatake
ReplyDeleteinnalillah wainna ilayhi raj uun..
ReplyDeletepoleni sana ndugu zangu mungu awalinde
ReplyDeleteINNALILLAH WAINNAILAH RAJIUN
ReplyDeleteHAKIKA SISI WA MWENYEZI MUNGU NA KWAKE TUTAREJEA
YA ARABI WAPUNGUZIE UCHUNGU WA MAUTI WAJA WAKO
WAPE SUBIRA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WA MAITI HIZI
TULIOBAKI NASI TUZINGATIE MAUTI
AMIN
Deletekazi yake mola haina makosa cc2lwapenda ilayy muumba kawapenda zaidi poleni sana ndugu wa malehem katka kipndi hiki kigumu
ReplyDeletePole sana
ReplyDeleteMungu awapumzishe kwa amani. Amina
ReplyDeleteMungu aziweke Roho za marehemu pema na poleni wafiwa.
ReplyDelete
ReplyDeleteAllah tupe subira na nyoyo za kusubiri. Amen
Polen wafiwa
ReplyDeleteIna lillah waina ilah rajiuna! Hakika kifo 2natembea nacho. M.Mungu awapunguzie adhabu ya kabri!
ReplyDeletePole sana wate walio guswa na msiba.
ReplyDeletehe who giv he who take. Jina la bwana libarikiwe
ReplyDeleteR.i.p bt jana taarifa ya habari tbc na itv walisema ni watu 6 ndo walifariki chunguzeni habari kwa umakini kabla ya kuandika.
ReplyDeleteWao ndio wachunguze
ReplyDeleteHivi jamanii hii Tanzania ni nchi ya aina gani? Mbona ajali zimekuwa ni nyingi Sana halafu viongoz wetu hawasemi kitu?hata huku bungeni hawalizungumzii hivi ni kwann hasa? Hawazungumza mambo yao ya vimada tuu na mambo mengine yasiyo ya muhimu/ why?ni ukosefu wa elimu ya kutosha ama?
ReplyDeleteRIP kwa wote na poleni wale wote mliofikwa na msiba huo. tuko pamoja ktk kipindi hiki kigumu
ReplyDeletebasi imetosha udaku,toeni hizi picha kwani ndugu zao bado wanaomboleza kwa kupoteza wapendwa wao.sio vizuri nyinyi kuendelea kuanika miili yao wakati wao wameshaisitili jamani.muwe wastaarabu waandishi wa kibongo.
ReplyDelete