SISTA wa Parokia ya Makoka iliyopo Kibangu, Dar ameuawa na majambazi yaliyokuwa kwenye bodoboda wakati akiingia kwenye gari akitokea dukani eneo la River Side, Ubungo jijini Dar es Salaam hivi punde.
Kabla ya kuuawa sista huyo, dereva wake alipigwa risasi mkononi na majambazi hayo.
Mwili wa mtawa ukiwa umefunikwa.
Risasi nyingine ikapigwa hewani watu wakaanza kukimbia ndo wale majambazi wakaingia ndani ya ile taxi na kuchukua pochi ya sister
Dereva akionesha kidole gumba kilichopigwa risasi.
Ila walibugi stepu maana pesa hazikua kwe pochi zilikua kwe gari. Mungu ailaze pema roho ya sister na Dereva apone haraka ili arudi kazini salama.
haya majambazi hayana hata huruma
ReplyDeleteDUH HII KALI WAMEKOSA PESA.WAMEUA.WAMEONDOKA.NA.POCHI KAVU.
ReplyDeleteSWALI LA KUJIULIZA WALIPATA WAPI TAARIFA ZA FEDHA HALI YAKUWA MTAWA HAKUTOKEA BANK?????!!!!!!!!!!!!!!!!!?????
Pumzika kwa Aman sister, Tax driver upone haraka, nanyie majambazi mlaniwe damu mlio imwaga ambayo haina hatia itawadhuru na mtakamatwa kwa jina la yesu.
ReplyDeletedah! R.I.P sister
ReplyDeleteMungu uliye kimbilio la wote wanaokutumaini,tunakuomba ufanye kitu kwa waliomwaga damu isiyo na hatia.Si kwa nia ya kulipiza kisasi ila kuutambulisha uwepo wako.Rip sista!
ReplyDeleteMungu wetu ni mwaminifu,km yule mtawa alitangaza kuwa ana fedha hatimaye kufuatiliwa sijui,na je km sio majambazi walijuaje kuwa wana kiasi cha pesa?lkn malipo ni hapahapa machozi ya wapakwa mafuta yakapoishia Mungu atachukua nafasi yake.Poleni wafiwa,majeruhi mpone haraka!Ameen.
ReplyDeleteshida nyingine hizi aliyezoea kuua kazoea tu, sasa kulikuwa na sababu gani ya kumuua sista kama mlikuwa na shida na hela, si mngemwambia awape hizo hela angewapa kuliko mlivyoambulia patupu na kuua mmeua
ReplyDeleteInauma sana jamani,Mungu wetu tunaomba nyosha mkono wako kwa wana usalama ili majambazi wakamatwe haraka,Tunaomba usikie kulio chetu kwa jina la Yesu.AMINA
ReplyDeleteMwenyezi Mungu aipokee roho yake apumzike kwa amani. Amena
ReplyDeletemungu ailaze loho ya malehemu mahali pema peponi_AMEN
ReplyDeletemungu ailaze loho ya malehemu mahali pema peponi_AMEN
ReplyDeleteNyie mliofanya unyama huu, haijalishi wewe ni pagani au dini gani kwa mamlaka niliyopewa na Baba nakuamuru KWA JINA LA YESU ALIYE HAI,mlegee,mkaumbuke,damu ya yesu ikawachochee huko mliko mafichoni,mkatawanyike ,msiwe kundi moja tena,na kila mmoja wenu ajihukumu mwenyewe kwa kujisalimisha mbele ya dola,hatuna mamlaka ya kuhukumu bali yeye tunaemuomba atahukumu,Amen
ReplyDeleteMwanga wa milele uangaziwe na upumzike kwa amani amina
ReplyDeletewatalipwa hapahapa duniani kwamatendo yao.
ReplyDeletePumnzika kwa amani sister.
ReplyDeleteEe Mungu muumba Mbingu na Nchi.hata hao waliomuua mama wa watu.tena mtumishi wako. bila huruma.umewaumba ww.na una uwezo wa kuwafanya chochote.upendacho.naomba kwa jina la YESU wa nazareti.wakamatwe.
ReplyDeleteRoho ya marehemu ipate rehema eeh Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani..........Amina!!
ReplyDeleteNahisi kama walimuotea maana hata mimi mara ya kwanza nilipata dhambi ya kufikiri labda dereva aliyekuwa anamuendesha sister ndio katoa habari. Lakini naanza kupingana na mawazo yangu kwa maana wasingekuwa na wrong information na wasingechukua pochi tupu wangeenda direct kwenye sehemu husika na kuondoka na mfuko wa hela. Anyway tuwaachie polisi kazi yao.
ReplyDeletenimewapenda wadau,R.I.P.Sista
ReplyDeleteRequiescant pace sr
ReplyDeletepole sana masister wote kwa kumpoteza sister mwenzenu tunaomba mungu ajibu maombi yetu majambazi hao wapatikane na watiwe mikononi mwa sheria.
ReplyDeletepole sana masister wote kwa kumpoteza sister mwenzenu tunaomba mungu ajibu maombi yetu majambazi hao wapatikane na watiwe mikononi mwa sheria.
ReplyDeletedahh kweli pesa ilisababisha Yuda kumsaliti yesu, jamani hata watu wa mungu?
ReplyDeleteMungu amlaze mahali pema
ReplyDelete