Breaking News:Soko la Karume Lateketea Kwa Moto Usiku




Usiku wa kuamkia leo umekuwa mbaya kwa wafanya biashara wa Eneo la karume baada ya mabanda ya wamachanga katika eneo hilo kuteketea kwa moto , Chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa ni  "Mama Ntilie" (ambao inasemekana huchemsha maharage na kuyaacha usiku ili yaive vizuri)

Moto ulikuwa ni mkubwa sana kiasi cha Fire kushindwa kuuzima ikichukulia walichelewa kufika katika eneo la tukio , Soko la karume ni lile lililo pale karibu na kiwanda cha bia cha TBL

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad