MTOTO Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi miaka minne amefariki dunia. Nasrah alifichwa kwenye boksi na mama yake mkubwa aitwaye Mariamu Said mkazi wa Kiwanja cha Ndege, Morogoro tangu akiwa na miezi tisa baada ya mama yake mzazi kufariki. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
Breaking Newzz: Masikini! Yule mtoto aliyefichwa Ndani ya Boksi kwa Miaka 4 Afariki dunia
20
June 01, 2014
Tags
Innalilaah wainnailah rajiun, Nasra pumzika mamii hukustahil mateso ulopata...
ReplyDeletePumzika kwa amani nasra dah nimeumia sana jaman kaz ya mungu haina makosa
ReplyDeleteR I P Nasra hiyo ndio kazi ya mungu aamina
ReplyDeletenassra mamakapumzike.yametimiakwani hukustaili kupata mateso uliyopata.rest in peace.tulikupenda ila mungukakupenda zaid
ReplyDeleteWafungwe maisha waliosababisha mateso ya marehemu jamani.. Mungu akupumzishe kwa amani mpendwa wetu!
ReplyDeleteameen
ReplyDeleteRest In Peace Nasra...!!
ReplyDeleteR.I.P.Nasra mumii..kapumzike mpz msalimie mamako alikua na makusudi kukuacha ili watu wenye huu ukatili wagundulike..pumzika kwa amani totoo yametimia.
ReplyDeleteR.i.p mpendwa wetu,hukustahili ukatili wote huo uliotendewa,eti kisa tu mama yk alifariki beutfl baby gal,mungu akupumzishe pema.amin
ReplyDeleteNasra pumzika kwa aman peponi wasamehe bure watesi wako kama Kristo Yesu alivyowasamehe watesi wake pale msalabani.Jack mzalendo.
ReplyDeleteR.i.p....mungu mkubwa kakuchukua..........pia waliokudhulumu haki ya kuishi ktk jamii ya kawaida nao nahisi watawekwa jela kwa muda huo waliokudhulumu.....0717337536
ReplyDeletedunian uxngepata malezi halali kwako, mungu ameamua akulee mbali na macho ya wanadamu walokosa upendo wa dhati kwako, pumzika salama katika kifua cha babu yako abraham pamoja na ayubu, hakika mateso yako yalichukua sura ya mateso ya ayubu likn umeyashimda nasra, upumzike mama, amina
ReplyDeleteInalilah wainalilahi rajiuni.
ReplyDeleteMungu ndie mweza wa yote, jaman!!!binadam tumekuwa na roho tofauti na mwonekano wetu nasra wangu pumzika mama mungu kakupenda pamoja na mateso yote uliyopata wasamehe bure watesi wako nasra R.I.P NASRA
ReplyDeleteR.I.P
ReplyDeleteTrue GOD is with you Basra.
ReplyDeleteNi mapnz alonayo Mwenyez Mungu juu yako Nasra! Ndio maana kakupumzisha,Hukustahili ukatili ulofanyiwa mamii ni binadam gani angekupa pumziko km hili? Hukuzaliwa uteseke nakudhalilika kiasi hiki!? Hukuwa nauwezo wa kujitetea ktk kifungo cha mateso mudawote ila Mwenyez Mungu kawaaibisha watesi wako Nasra!kakupa ushindi na pumziko la amani,kazi ya Mungu haina makosa.
ReplyDeleteNASRA KAPUMUZIKE KWA AMANI TULIKUPENDA SANA LAKINI MUNGU KAKUPENDA ZAIDI.MUNGU ANAMAKUSUDI YAKE KAKUONYESHA MBELE YA JAMII KWA MDA KIDOGO NA AKAKUCHUKUA KAZI WAYAKUWA NAYO HAO WALIOKUFANYIA UKATILI NAMNA HII
ReplyDeletePumzika kwa amani malaika wangu...hakika mungu yupo kafichua ubaya woote uliofanyiwa ndio akakuchukua ungeweza kufa hata mule ndani miaka yote hiyo..ila mungu hakuliruhusu hiloo hadi mpango wake umetimia uovu ukatili na mateso yote kayafunua..
ReplyDeleteInnalilahi wainailahi rajiun
ReplyDelete