Chadema Wahaha Kusaka Mgombea Urais 2015

Wadau, ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa hakijiwezi tena na kimechoka hadi huruma.

Kwa ujumla ni kwamba, CHADEMA hawana mtu mwenye sifa, uwezo wala hadhi kuweza kukiwezesha chama kupata angalau asilimia 10 ya kura za Rais. Tegemeo lao hapo awali lilikuwa kwa Dr Slaa. Hata hivyo, imedhihirika kuwa kwa sasa Dr Slaa hana mvuto tena na kama chadema wataamua kiubishi ubishi kumsimamisha kugombea, hakika wataangukia pua kabisa. Hadhi ya Dr Slaa kwa sasa imeshuka sana na wataalam wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa asipojiangalia mwisho wake utakuwa mbaya zaidi. Kushuka kwa hadhi kwa Dr Slaa pamoja na mambo mengine kumeelezwa kuwa kumetokana na kitendo chake cha kupanga, kuratibu na kusimamia mpango wa kumng'oa Zitto Kabwe kwenye chama hicho. Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa uwepo wa wanasiasa nguli kama Zitto Kabwe na wasomi mahiri kama Dr Kitila Mkumbo na wapanga mikakati kama Samson Mwigamba kulikiwezesha chama hicho kuaminiwa na wananchi wengi. hata hivyo, baada ya maamuzi ya kuwafukuza akina Zitto, imeelezwa kuwa wafuasi wengi wa chama hicho wameamua kurejea CCM huku wengine wakijiunga chama kipya cha ACT Tanzania. Freeman Mbowe anayo tamaa ya kugombea urais. Hata hivyo tatizo kwake ni Elimu. Mbowe hana elimu ya Shahada inayohitajika kwa mtu kuteuliwa kuwa mgombea Urais. 

Blan B ya CHADEMA katika kupata mgombea mwenye sifa ni kuangalia ndani ya mahasimu wao wakubwa kisiasa, Chama cha Mapinduzi ambacho kimesheheni wanasiasa nguli vijana kwa wazee ambao ni Presidential Materials. Target yao kubwa ni wanasiasa wanaotoka mikoa ya Kaskazini na kanda ya Ziwa. Hapa CHADEMA wamekuwa kama fisi ambaye anangojea mkono wa binadau udondoke ili auokote. Lakini wapiiii! CHADEMA nao wanafuata matendo ya fisi. Wanasubiri CCM wateleze hasa katika mchakato wao wa kumpata mgombea urais. Inadaiwa kuwa CHADEMA wanamuangalia sana Edward Lowasa. Kwao wanamuona kuwa Lowasa ni mtu ambaye atakisaidia chama chao kushinda urais wa 2015. Wao wanaamini kuwa LOWASA atatemwa na chama chake kwenye kinyang'anyiro cha urais kitendo ambacho kitasababisha EL ahame chama chake na kujiunga na CDM. Inadaiwa kuwa tayari CHADEMA wamewasilisha mpango wao kwa EL. Hata hivyo, taarifa za ndani zinasema kuwa Lowasa amewaambia live kwamba ikiwa ataamua kugombea urais, basi itakuwa ni kwa tiketi ya CCM kauli ambayo imewakatisha tamaa sana. Baada ya kugonga mwamba kwa Lowasa, inaelezwa kuwa Sumaye na Mama Anna Kajumulo Tibaijuka ni miongoni mwa wanaopendekezwa na Mzee wa Tengeru katika nafasi ya Urais.

Plan C ya CHADEMA ni kuanzisha muungano fake na vyama vingine vya siasa. Kwa kuanzia wameunda umoja ujulikanao kama UKAWA. Ingawa umoja huo lengo kuu ni kupigania Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, inaelezwa kuwa lengo kuu ni kuwahadaa wanasiasa mahiri wa vyama vingine kama akina Prof Ibrahim Lipumba na James Mbatia. Hapa CHADEMA wanajifanya sitaki nataka. Kwamba, CHADEMA wametoa matamko kuwa UKAWA itasimamisha mgombea mmoja tu katika ngazi ya Rais. Mapendekezo ya awali ni kumsimamisha Mchungaji Christopher Mtikila. Hata hivyo, inadaiwa kuwa James Mbatia, Ibrahim Lipumba na wahafidhina wa CHADEMA wamekataa mapendekezo hayo. Lipumba anadai kuwa ndani ya UKAWA, yeye ndiye Msomi na mkongwe kwenye siasa kuliko wote. Hivyo amewapa masharti kwamba ikiwa UKAWA wataamua kusimamisha Mgombea Urais mmoja, basi wamteue yeye kuwa mgombea. Hata hivyo mzee wa Tengeru amekataa pendekezo hilo la Lipumba kwa sababu zinazojulikana. 

Kwa hali hiyo, mipango yote ya CHADEMA Yaani Plan A, B na C imekwama. Wamebaki kutapatapa tu na washauri wao akina Saed Kubenea wanaonekana kukosa kabisa mbinu za kukinusuru chama.

Nawasilisha.
By Lizaboni Via JF

Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na kweli hata mm nionavyo Chadema hawana mgombea thabiti na mwenye sifa ya kugombea Uraisi na badala yake wanatapatapa.

    ReplyDelete
  2. Ki ukwelI vyama vya siasa hasa chadema kimekosa dira kbs na hii yote ni tamaa ya madaraka ndani ya chama ambapo wanaishia kufukuzana tu kwa maslahi ya yao binafsi

    ReplyDelete
  3. Naona hii blog umeamua kuiharibu kwa kuanza ushabiki wa kishenzi..kwa ww unavyoona CDM ilikuwa Zitto na hao wenzake tu, safari ya CDM ilianza mbali na sio kuwa Zitto ndo kaifikisha hapo...yaan umeshindwa kbsa kuandika vitu vya maana unaishia kutumika...kwann ww ni nani wa kuitabiria CDM, ww mwenyewe maisha yako hovyo tu ndo maana unaendesha blog uchwara hapa, na una elimu gani ww...? Mbona hatuoni cha maana unachomiliki, nani alikuambia elimu ndo mafankio...hapo ulipo hao ambao unawasema ww kuwa hawana elimu km mbowe ndo wanaokulisha ww na ndugu zako na kuwakalisha mjini kwa kuwafanyia kazi...niambie ni wape elimu yako imekupeleka, au ndo imekufunza kuwa mtabiri....utafukuza watu hapa km utaendeleza ushabiki wa kishamba...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huo ndo kweli km unapinga basi Sema nani mwenye sifa ya urahisi tumpigie kura?

      Delete
  4. Aliyeandika ni pumbavu na alichoandika ni pumba kutoka ccm.

    ReplyDelete
  5. Nambari one ni CCM, hureeeeeer,,,, m, mejiharibia wenyewe Chadema kwa Tamaa zenu, Nani mgombea Uraisi anae Faa Chadema? Mtajeni tumpigie kura, poleni sana mnakosa urais tena kimzaa mwakani.

    ReplyDelete
  6. Mbwa we musimamishe baba

    ReplyDelete
  7. Mbowe ndiye mgombea wetu wa Uraisi 2015. Mbowe hoyeeeeeeeeeeeee. Kidumu Chagga Development Movement Association Kidumuuuuuuuuu hoyeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  8. washachemka wajipange upya 2025

    ReplyDelete
  9. lalala washaaribu, ndo bac tena

    ReplyDelete
  10. kuma la mama yako Admin naona umeshindwa kutoa habari umekalia umbea wa chumbani.Acha wananchi waamue wanataka nani sio wewe kuja na analysis zako kama malaya wa maeda.Sijui mnaipeleka wapi hii nchi.umekaa kishabiki sana na Gambas.Nahisi utakuwa unafirwa na Nape

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli Nape anapenda sana bangi na mikundu

      Delete
  11. Mbowe anafaa kunyoosha haya matumbo makubwa yaliyokaa madarakani sikunyingi yanapumua tu kama mtoto Yuko tumboni anajigeuza.ilasafari hii lazima wabunge waupinzani waongezeke wawe wengi zaidi yahawa.nikuchagua wabunge wapinzani tu bilakujali chama.akiwa chadema kama anafaa mpe.au nccr km anafaa mpe,tlp akifaa mpe.cuf akifaa mpe.ila ccm msiwape wamefanya chama cha ukoo chakurithishana wabunge wapeni wengine

    ReplyDelete
  12. Poleni Chadema mwakani mnadondokea pua tu!mbowe kwa elimu gani aliyonayo ya kugombea urais?Hana atakae mchagua na akigombea atakuwa amejidanganya kwanza ht yeye mjanja hawezi kugombea kwa kuwa anajua haupati urais aukose ubunge bure

    ReplyDelete
  13. hizo nipropaganda za magamba na usenge admni,yaani wewe unawazia kua chdma awanamgombea imara wakati ccm akuna hata anayeweza kua mkuu wa mkoa msenge snaa wee ananlysis ya kishoga

    ReplyDelete
  14. huo ndio ukwel wala tusibishane kama CDM wanaona wanamgombea urais ambaye atakuwa na sifa si wamtaje Dr Padri kashaa chuja sasa nani Mbowe ambaye akufikisha ata asilimia tisa wakati anagombea.. warudi shule kwanza na ATC ndii imekuja kuwagawa na kuwamaliza kabisa Yan awana mtu mwenye CV ambazo wanaweza ata kutuhamasisha kuwa anaweza kutusaidi ata tukamchagua uraisi kama mlushindwa andika bajet mbadala na kuandika hotuba mnaweza ongiza nchi kweli? jaman tubaki na CCM tu maana akunata ata mmoja labla mshaur mbatia na kumuomba aje Kugombea kupitia chama chenu may be mtaweza yan mmekaa kikanjanjakanjanja tu amna sera amna jipya rudin shulen kwanza... niliipenda sana CHADEMA ila nw nimekuja jua kuwa akuna kitu pale porojo tu.. Sisez ongozwa na mambulula watauza nchi hao waendelee piga kilele tu Mwenyekitu form six daraja la nne duuuu.. Ajui ata maana ya critical thinking watatupeleka wap aendele buni mavazi ya CDM na kukodisha chopa ilo wataweza

    ReplyDelete
  15. huo ndio ukwel wala tusibishane kama CDM wanaona wanamgombea urais ambaye atakuwa na sifa si wamtaje Dr Padri kashaa chuja sasa nani Mbowe ambaye akufikisha ata asilimia tisa wakati anagombea.. warudi shule kwanza na ATC ndii imekuja kuwagawa na kuwamaliza kabisa Yan awana mtu mwenye CV ambazo wanaweza ata kutuhamasisha kuwa anaweza kutusaidi ata tukamchagua uraisi kama mlushindwa andika bajet mbadala na kuandika hotuba mnaweza ongiza nchi kweli? jaman tubaki na CCM tu maana akunata ata mmoja labla mshaur mbatia na kumuomba aje Kugombea kupitia chama chenu may be mtaweza yan mmekaa kikanjanjakanjanja tu amna sera amna jipya rudin shulen kwanza... niliipenda sana CHADEMA ila nw nimekuja jua kuwa akuna kitu pale porojo tu.. Sisez ongozwa na mambulula watauza nchi hao waendelee piga kilele tu Mwenyekitu form six daraja la nne duuuu.. Ajui ata maana ya critical thinking watatupeleka wap aendele buni mavazi ya CDM na kukodisha chopa ilo wataweza

    ReplyDelete
  16. huo ndio ukwel wala tusibishane kama CDM wanaona wanamgombea urais ambaye atakuwa na sifa si wamtaje Dr Padri kashaa chuja sasa nani Mbowe ambaye akufikisha ata asilimia tisa wakati anagombea.. warudi shule kwanza na ATC ndii imekuja kuwagawa na kuwamaliza kabisa Yan awana mtu mwenye CV ambazo wanaweza ata kutuhamasisha kuwa anaweza kutusaidi ata tukamchagua uraisi kama mlushindwa andika bajet mbadala na kuandika hotuba mnaweza ongiza nchi kweli? jaman tubaki na CCM tu maana akunata ata mmoja labla mshaur mbatia na kumuomba aje Kugombea kupitia chama chenu may be mtaweza yan mmekaa kikanjanjakanjanja tu amna sera amna jipya rudin shulen kwanza... niliipenda sana CHADEMA ila nw nimekuja jua kuwa akuna kitu pale porojo tu.. Sisez ongozwa na mambulula watauza nchi hao waendelee piga kilele tu Mwenyekitu form six daraja la nne duuuu.. Ajui ata maana ya critical thinking watatupeleka wap aendele buni mavazi ya CDM na kukodisha chopa ilo wataweza

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi wewe vicent irene baba yako mbona anajina la kike?ndio maana hata mambo yako yamekaa kishoga shoga tuu kwasababu ya kina lako!

      Delete
  17. Wote ni zero sasa hivi tunaongelea kombe la dunia nyie mwatuchefua.

    ReplyDelete
  18. Hii si.kati ya blog makini,ni ya.udaku tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad