Chaz Baba:Simwelewi Sajent Amegoma Kunipa Mwanangu Niliye zaa Naye

Na Musa Mateja
PREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ amefunguka kuwa anatamani kuishi na mwanaye aliyezaa na mwigizaji Husna Idd ‘Sajent’ lakini mzazi mwenziye huyo amekuwa akimgomea.

Akizungumza na paparazi wetu, Chaz Baba alisema kabla hajaoa alikuwa akimg’ang’ania akae naye lakini alipooa, amegeuka na kukataa katakata.

“Kiukweli simuelewi kabisa Sajent maana katika hali na akili ya kawaida tu, sijaona mantiki ya kumkatalia mtoto wangu labda angeniambia kama mwanangu amekataa mwenyewe hapo kidogo nisingekuwa na swali,” alisema Chaz Baba.
Chaz Baba ambaye alikuwa akibanjuka na Sajent miaka ya nyuma, kwa sasa ni mume halali wa ndoa na bi dada anayefahamika kwa jina la Rehema.
GPL

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mm naona anayo haki coz mama wa kambo si mama kama ni damu. Yako itakufuata tu usijari

    ReplyDelete
  2. Mdau juu Una akili hatamie nisingempa.mtoto rahayake umlee mama mwenyewe.mimi namama wa kambo nikimeo natamanigi kumpiga kabisa.ila namuacha tu amalizie uzee wake lisijenifia bure.

    ReplyDelete
  3. Ulilipa gharama za utunzaji mtoto tokea azaliwe! Au unamtaka kwasbb kakua! Mama weng wa kama s wema na alelewe na mamake tu.

    ReplyDelete
  4. Sawa sajenti atunze mwenyewe mwanae,hakuna kuamini mtu.

    ReplyDelete
  5. kama kweli unamtaka mwanao mbona ukumchukua toka alipokua mdogo au kwa kua sasa hivi amekua kua ndo unamuona mzuri au ndo ndo unatafuta kuandikwa kwenye magazeti tutolee upuuzi wako,kwanza hiyo habari haituhusu mbona wakati mnatombana ukua unatupa taarifa

    ReplyDelete
  6. kwanin ukumuoa sajenti, usituleteeeee unafiki chalz

    ReplyDelete
  7. YUKO SAWA SAJENTI.KWANI NANI ANATAKA MTOTO WAKE YAMKUTE KAMA YA MTOTO WA BOKSI?KOMAAAA SAJENT,MTOTO AKIPATA AKILI ATAAMUA MWENYEWE.

    ReplyDelete
  8. I doubt aliyecomment ni mtu mmoja kama ana hasira vile lol....

    ReplyDelete
  9. mnazaa ovyo w.ume kama hamjajiandaa muwe mnatumia condom bhana

    ReplyDelete
  10. Haya sasa mtt mtamu now??huko nyuma ulikuwa wapi.wanajua kukimbia majukum hawa we charlz umemrithi Baba kanumba eeh.

    ReplyDelete
  11. wengine
    baada ya kuona mtoto kakua smart kid, kuliko hao alionao, anaanza kuiba
    picha aweke facebuk ili asifiwe kua yuko responsible. we subiri akikua
    atakufata.

    ReplyDelete
  12. Mtoto wa Box duh!!
    Mie napita tu!

    ReplyDelete
  13. Wewe si ulimkashifu kwenye global eti hakuwa na hadhi ya kumuoa sasa mtoto mzuri??? Malaya wewe umempotezeada kumzalisha ukaoe mwenyine. Ingekuwa mimi usongemuona na jina ningeembadili una usuperstar gani wewe. Hatutaki tena mtoto wa box

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad