Na Musa Mateja
PREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ amefunguka kuwa anatamani kuishi na mwanaye aliyezaa na mwigizaji Husna Idd ‘Sajent’ lakini mzazi mwenziye huyo amekuwa akimgomea.
Akizungumza na paparazi wetu, Chaz Baba alisema kabla hajaoa alikuwa akimg’ang’ania akae naye lakini alipooa, amegeuka na kukataa katakata.
“Kiukweli simuelewi kabisa Sajent maana katika hali na akili ya kawaida tu, sijaona mantiki ya kumkatalia mtoto wangu labda angeniambia kama mwanangu amekataa mwenyewe hapo kidogo nisingekuwa na swali,” alisema Chaz Baba.
Chaz Baba ambaye alikuwa akibanjuka na Sajent miaka ya nyuma, kwa sasa ni mume halali wa ndoa na bi dada anayefahamika kwa jina la Rehema.
GPL
Mm naona anayo haki coz mama wa kambo si mama kama ni damu. Yako itakufuata tu usijari
ReplyDeleteMdau juu Una akili hatamie nisingempa.mtoto rahayake umlee mama mwenyewe.mimi namama wa kambo nikimeo natamanigi kumpiga kabisa.ila namuacha tu amalizie uzee wake lisijenifia bure.
ReplyDeleteUlilipa gharama za utunzaji mtoto tokea azaliwe! Au unamtaka kwasbb kakua! Mama weng wa kama s wema na alelewe na mamake tu.
ReplyDeleteSawa sajenti atunze mwenyewe mwanae,hakuna kuamini mtu.
ReplyDeletekama kweli unamtaka mwanao mbona ukumchukua toka alipokua mdogo au kwa kua sasa hivi amekua kua ndo unamuona mzuri au ndo ndo unatafuta kuandikwa kwenye magazeti tutolee upuuzi wako,kwanza hiyo habari haituhusu mbona wakati mnatombana ukua unatupa taarifa
ReplyDeletekwanin ukumuoa sajenti, usituleteeeee unafiki chalz
ReplyDeleteYUKO SAWA SAJENTI.KWANI NANI ANATAKA MTOTO WAKE YAMKUTE KAMA YA MTOTO WA BOKSI?KOMAAAA SAJENT,MTOTO AKIPATA AKILI ATAAMUA MWENYEWE.
ReplyDeleteI doubt aliyecomment ni mtu mmoja kama ana hasira vile lol....
ReplyDeletemnazaa ovyo w.ume kama hamjajiandaa muwe mnatumia condom bhana
ReplyDeleteHaya sasa mtt mtamu now??huko nyuma ulikuwa wapi.wanajua kukimbia majukum hawa we charlz umemrithi Baba kanumba eeh.
ReplyDeletewengine
ReplyDeletebaada ya kuona mtoto kakua smart kid, kuliko hao alionao, anaanza kuiba
picha aweke facebuk ili asifiwe kua yuko responsible. we subiri akikua
atakufata.
Mtoto wa Box duh!!
ReplyDeleteMie napita tu!
Wewe si ulimkashifu kwenye global eti hakuwa na hadhi ya kumuoa sasa mtoto mzuri??? Malaya wewe umempotezeada kumzalisha ukaoe mwenyine. Ingekuwa mimi usongemuona na jina ningeembadili una usuperstar gani wewe. Hatutaki tena mtoto wa box
ReplyDelete