Chidi Benzi Achefua Mashabiki kwa Kuvuta Bangi Jukwaani

Hapo akiwa anavuta Bangi bila ya uwoga... Pembeni ni Baunsa akimwomba akiustaarabu asivute bangi hiyo lakini chid akawa hajili na kuendelea kufanya yake 
Chini benz Jana Jumapili wakati anafanya show New maisha Club Dodoma alifanya kitendo ambacho baadhi ya mashabiki walimwona kweli jamaa sasa ameshaanza kuwa chizi.

wakati akiwa anafanya Show Katikati ya baada ya mzuka kumpanda Chid alichafua hali ya hewa baada ya kuzama mfukoni na kutoka Bonge la kipisi cha Bangi kilichoshiba na kukiwasha pale pale jukwaani bila hata Uwoga... Hapo ndipo Baunsa wa Maisha kabla akambadilikia kama Mbogo na kumpora hiyo bangi ili asiendelee kuivuta. Kitendo hicho cha kuvuta bangi Club kimeshushia heshima Msanii huyo ambaye ni kioo cha Jamii

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. chidi bangi nibangue

    ReplyDelete
  2. Msenge kweli chidi na bichwa lake kama tako la paka.

    ReplyDelete
  3. Toka lini msanii akawa kioo cha jamii?hizo ni fikra za kijaahilia

    ReplyDelete
  4. Sijui anamuiga nani ata Marehemu Marley alikua hafanyi hivyo mie nahisi ndio wale wasenge wa Siri Siri dizaini hiyo kuna Siku atapigwa Bachu muwache tu apende kuiga Ujinga

    ReplyDelete
  5. Huo ni ujinga na ndiyo maana nyimbo mbili hawavumi tena wanaishia kuwa mateja tu sasa amemuonyesha nani

    ReplyDelete
  6. chidi c kuma tu ndo maana ametoboa pua... si kioo cha jamii ni kinyesi cha jamii...... kuma la mamayakoooooo chidi. uta filwa jukwaani siku moja mchana kweupeeee....

    ReplyDelete
  7. Miyayusho......ndio maana hata serikali inawafikiria vibaya wasanii wote......maswala kama ya hati miliki na upendeleo mwingine utacheleweshwa sana....kwa ajili ya wasanii wapuuzi kama hawa....bado wasanii wengi washamba wa kuiga mambo...wanaowaiga ni matajiri mno....mfano kama vile bodaboda ni nzuri ila wachache wanazichafulia kwa kuzitumia wizini na malena wengi ndio maana zimepigwa marufuku kuingia mjin.....wana sanaa wengi wa tanzania ni wazuri + tabia ila wachache wanaiharibia....0717337536

    ReplyDelete
  8. anaiga rappers wa america wanavyovuta ganja club wakiwa wanaperform......kuiga kubaya chid.....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad