Baada ya kutwaa tuzo mbili za MTV (MAMA) wiki chache zilizopita nchini Afrika Kusini, Davido wa Nigeria amefanikiwa kuinyakuwa tuzo kubwa ya kimataifa ya BET Awards 2014 nchini Marekani, kupitia kipengele cha ‘Best African Act:Africa’, ambacho alikuwa akiwania pamoja na muwakilishi pekee wa Tanzania na Afrika Mashariki, Diamond Platnumz.
Kupitia Instagram Davido amewashukuru mashabiki wake kwa kuandika:
‘Thanks to all my fans!! WE WON @BETAwards BEST AFRICAN ACT 2014!! so happy!! Time to party!’
Wasanii wengine wa Afrika waliokuwa wakiwania tuzo hiyo ni Mafikizolo (Afrika Kusini), Tiwa Savage (Nigeria) na Sarkodie (Ghana).
Kupitia Instagram Diamond alikuwa na hiki cha kusema baada ya Davido kuibuka mshindi:
‘Tusipopenda kukubali Matokeo na Ushindi wa Wenzetu basi Daima Hatutaweza kuwa Washindani….Muhimu ni kujua wapi tulipotoka na Wapi tulipo Leo… Katika Nchi zaidi ya 20 zenye wasanii zaidi ya Million 40, kuchaguliwa Tanzania ni fursa, Heshima na Hatua kubwa… Cha Muhimu ni kuitumia vyema Fursa Hii na Kuhakikisha Mwakani tunapiga Hatua Zaidi!…. Asante sana kwa wote wanaozidi kuni support kwa hali na Mali, Mapambano ndio kwaaaanza yanaanza sasa…..!!!!!!’
Davido ashinda tuzo ya BET Awards 2014, Diamond ayakubali matokeo na kuwashukuru Watanzania
36
June 30, 2014
Tags
pole
ReplyDeleteCongrant Davido
ReplyDeleteALUTAH CONTINUE one day yes diomond
ReplyDeleteTehtehtehteh jipe moyo utashinda
ReplyDeletedaaaaah tena!!!!!!!!!! pole dada
ReplyDeleteHahahahaahaahaaaa,mdau kusudi au hujui.Eti dada,mbavu zangu mie.
DeleteKwa swaga zetu za misic wa kiswanglish, kupata tuzo za B.E.T ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano.Tutabaki kuwa monineted tu na kupongezana wenyewe.
ReplyDeleteMafikizoro wanaimba kizungu?!
DeleteJamaa apo juu kwl hajielewi. Music ni universal language kwiyo haijalishi unatumia lugha gan
Deleteacha udaku wa uongo BET awards nu kesho jinga wewe
ReplyDeleteDu, mdau upo nyuma ya mda kweli, bet ishafanyka wewe. Utakua umeangalia matangazo ya chanel bet yanasema bet awards juma4, juma4 bet chanel ndo wanaonyesha tukio zima lililofanyka. Usdandie ishu uszozjua!!!
Deletekuma wewe kesh ya babaako kumamae wee kuma la mamaako
ReplyDeleteMatusi yanakujaje hapa?kuwa muungwana wewe,utadhani hukuja duniani kupitia K.....( ,.,/^\''''`../+0..,.,/^\,,,,, 00
ReplyDeleteUtakufa kibudu ifikapo saa 1.40 kama utarudia tena kutukana,
at 2:13 PM umepanik ....!!
ReplyDeleteamshukuru davido,asingeshirikishwa kwa number 1,sijui ingekuwaje...atoe single 1 kiswahili na kiingereza,mi hapa tz hata sionagi wasanii.
ReplyDeleteatajiju ashinde,asishinde..!ila suit yake ilikuwa nzuri sana,davido mwishowe atafilwa,katoboa hadi pua,,diamond kachora tatoo ya mama yake mkononi.WHY?
ReplyDeleteUlitaka achore tattoo ya mkundu wako?? BASTARD!!!
Deletekuma dada diamod waonee wasann wa tz.2 kuma ww chukuwa 2zo 7 au 8 ila sio nje ya tz.
ReplyDeleteKuma la mamaako diamond huwezi kuchukuwa 2zo nje ya tz. kuma wewe.. ndio maana unatombana na mamaako..una laana hata kama ndio cli ya utajir sio kiivo.
ReplyDeletemmmh makubwa ayo duuu akaloge upyaaa
ReplyDeletedimond amepitia nyota ya davido sasa atamshinda vp wkt davido bado yuko juu tunamwambia asante kwa kushiriki maana asubili kill music ya apa apa achukue tuzo kumi maana nchi nzima ya tz kuna mwanamuziki mmoja tu wengibe wote kawaloga awasikiki tena like ben poul na wengine du uchawi ni noma sana
ReplyDeleteumeona eeh?!saf sana jamaa asubil tanzania abebe tuzo zoote maana msanii ni yeye peke ake na wapuuzi wenzie waandaaji
DeleteMi nasoma comment tu bhassss!!!
ReplyDeleteKhaa! Mnamatusi mungu awasamehe bure
ReplyDeleteSiku zote silaha ya mjinga, maskini, mpumbavu ni matusi na kujiwenga. Sishangai watukanao
ReplyDeleteAchen wivu ktk mamilion ya wasanii diamond katoka mnyonge mnyongen. Haki yake mpeni hongera diamond nyie mnaomponda mlishawahi kushiriki nn cha kimataifa hata mshindwe, davido hajambeba diamond acheni wivu na matusi.
ReplyDeletemdau hapo juu 7:05 kuma la mamaaakoo>> au unafirwa na diamond unamtetema kuma huyu na wewe pia kumbu kama domo"kuma la mamaaako kila ukihema. ila diamond uache kutombana na mamaaako hii sili naitoa siyo uongo domo anatombana na mamaake ili watengeneze mvuto.
ReplyDeleteMhuuu
ReplyDeletekweli mdau 7:43 huyu jamaaa nirishawah kusikia kwamba waNalalaga chumba kimoja siku mojamoja: inawezekana boy anamega kulikomtoa. duu! ila hu ni ujasiri wa ajabu kama ni kweli!
ReplyDeleteUmesikia but huna uwakika wala ushahidi....Wabongo mmezidi chuki ndo maana hatuendelei
DeleteMmmmmh!!! Walimwengu apanaaa ..pole kaka angu diamond an hongela kwa ulipofikia .... na mungu akulinnde na mahasidi kama awo apo juu
ReplyDeletefukn u agaen mother fukn mdau hapo juu DIamond anamtomba mamaake kila wiki halaf unaleta usenge kuma ww kuma la mamaako tena limevimba. mkundu wee
ReplyDeleteMatusi ya nini...Umemkaa Diamond mdomoni kama anakujua vile. Una uthibitisho kama anamtomba mama ake...kama unao basi wewe mchawi
Deletekuma la mamako mchaw mamaaako kwakuwa diamond anakufira unamtetea kuma ww haraf una mkund mkubwa kuma ww kuma la mamaako kila utomba, kila ukienda kunya, kila ukienda kufirwa.
ReplyDeletemmmmh watu wanamatusuli jaman mpaka naogopa ivi sura yako ikoje maana unatukana utazani ujazaliwa ktk iyo unayosema mmh naogopa kuitaja duuu sijapenda unavyotaja kifaa cha kuzalia watoto mm opa mm
ReplyDeletemnamtukana diomondi wananinini sasa, kwani kafanya kosa gani, kajitahidi, lakini muziki wa kwetu bado kujulikana duniani, alipofika ashukuru Mungu, wal c tu kusema kukubali matokeo, kiukweli asingeweza mshinda davido.
ReplyDelete