Diamond Akosa Tuzo ya MTV Award, Mwenzake Davido Aibuka na Tuzo

Jana Usiku Ndio ilikuwa Mwisho wa Kinyanganyiro cha Tuzo za MTV Awards Ambapo wasanii Mbali Mbali waliochaguliwa kushindania tuzo hizo walijumuika South Africa akiwemo Diamond aliyekuwa anagombani Tuzo ya The Male na Best Collaboration

Diamond hakufanikiwa kupata tuzo Ambapo tuzo ya The Best Male ilichukuliwa na Davido na Ile ya The Best Collaboration ilichukuliwa na Wengine...Anyway Hongera Diamond kwa Kufika Hatua hiyo Kazi Booti sasa Mwakani Uchaguliwe Tena.....Hongera Davido
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HAKUNA MTANZANIA DAIMA ATAKAYECHUKUA TUZO YA KIMATAIFA KWA KUIMBA KISWAHILI
    haitokuja kutokea

    ReplyDelete
    Replies
    1. hiyo sio kweli rapper wa ghana sarkodie aliyechukua best hip hop mbona ana rap kwa lugya yake na kashachukua bet na ana nominations kibao huko nje

      Delete
  2. acha uchoko.Ijari lugha yako davido anaimba kwa kiingereza?kwa taarifa yako kiswahili kipo juu zaidi ya ujuavyo..ALL THE BEST PLATNUM

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umedataa broo. Ukiimba kiswahili huwezi toka kimataifa. Keep that
      Mdau kwa obama

      Delete
    2. Hao wakina mafiki zolo wanaimba kizungu?huyo davido kwa taarifa yako hicho kingereza anachoimba mzungu hawezi kuambulia kitu anaongea lafudhi ya kwao.

      Delete
  3. Haya kaeni na viswahili vyenu muone kama mtatoka kimziki au kwa movies.
    kwa taarfa yako nyimbo nyingi za davido ni za kiingereza.Hata hivyo ukipifa nyimbo ya kiruga lazima uwe na beat , voko, na rythim za kimataifa.Kama angalau chamerion au koffi.
    sisi Tanzania bado voko , beat na rythim vipo very poor.tuna base sana kwenye mashairi.Ndo maana hatugoki kokote.Mashairi tunasikiliza sisi tu wabongo.Hamna mtu ws kimaraifa atakuwa na muda kusikiliza mashairo wskati beat haimvutii hata kidogo

    ReplyDelete
  4. miwivu tu inawasumbuaaaa

    ReplyDelete
  5. sasa ukisema wivu unakosea kuma ww sasa nan? amuone wivu diamond. kwan kachukuwa sasa hyo 2zo?

    ReplyDelete
  6. wivu gan na tuzo ajapata mnatulaziisha timkubali bana si wote tunamkubali dimond jaman

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad