Diamond Kaniponza Jamani

Jana bwana nilikua na shemeji yenu tumekaaa mahali tunaangalia world cup ile mechi ya saa nne basi bwana nikahisi kuanza kuboreka nikachukua headfon nikawa nasikiliza mziki yeye akiwa busy na mpira,

Na yeye akahisi mimi kuboreka akachukua headfon na yeye asikilize kile nichokua nackiliza ,wakati anachukua ulikua wimbo mpya wa Diamond unapigwa,

Basi bwana mara tukaanza kuongea mambo ya wanamuziki,nikawa namsifia Diamond bwana kwamba bwana mdogo anajitahidi ameanzia mbali ila he is somewhere now anajuhudi kwenye mziki yeye akawa anamponda .

kweli sijui hajui kuimba sijui mshamba sisi akataka na mimi ni msupport,alivyoona nampa fact eeeee niliamsha hasira za kipare ,

Ananiambia kama unampenda huyo Diamond si akakuoe sasa umefuata nini kwangu,

kiukweli sijui mambo ya Damond kunioa yalifikaje,aliongea sheet nyingi kwakweli,yaani mpaka sahizi kanuna hata sms ya morning sijapata na si kawaida yake yaani,

Hebu niambie wakaka hiiii inakuaje maaana simwelewi kwakweli,

Na anajua mimi na celebrity sio kivile sina hata access nao kwamba nitaweza hata kua karibu nao ,atakua amepatwa na nini huyu mwanaume?
Tags

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo alikua anakutafutia sababu long tym sa amepata pa kuanzia

    ReplyDelete
  2. sasa ww uyo ni mumw wako au bwana wako maana unasema ata sms za morning ujapata so ueleweki sms wkt mmelala wote au mm sijaelewA

    ReplyDelete
  3. dah pole xn dada yng km yy kaamuwa kukaa kmya ww uckae kmya km vp fanya juhud za kumpgia cm na akkataa kupokea ucache kumtext na kumuomba mxamaha coz may b ni hacra tu hzo. Au timu alokuwa akxhabkia imefungwa ndo maana akaamuwa kkununia?

    ReplyDelete
  4. Wivu tu wamsumbua baadae atakaa sawa

    ReplyDelete
  5. Maybe kapata sababu uwezi jua

    ReplyDelete
  6. Hivi wewe huyo bwanako angeanza kumsifia Ray C kwa mfano kuwa ni mzuri sana ana figer na anajua kukata viuno ni msafi na anajitahidi ktk maisha. Ukijiangalia wewe sifa hizo huna ila amekupenda hivo hivo ungejisikiaje?
    Jibu ni kwamba anakupasha kiaina.
    Wacha kusifia wanaume mbele ya bwanako hata siku moja ni kosa kubwa. Hata yy akisifia makalio au maziwa au uvaaji wa madem mbele yako sio poa.
    Utakuwa bado mdogo au mkubwa ilauna akili ya matikiti maji.

    ReplyDelete
  7. We anony 3.49 uwe mwelewa kwani kakuambia alimsifia maumbile, unaandika tu kama hauna kichwa nyoko we. Ye kamsifia kimuziki huyo men alikuwa ana hasira team yake imefungwa teh teh teeeeeeeh atajibeba.

    ReplyDelete
  8. Ukweli umemkosea, shuka muombe msamaha. ubabe acheni mwambieni ukweli. maaba wengi MTU akiharibikiwa ndo furaha yao. kama kweli unampenda mwombe myamalize naye kweli km anakupenda mbona no jambo LA kuelewana tu?

    ReplyDelete
  9. wanawake mna kasumba moja ya kuchanganyikiwa na wanaume mastaa mpaka mnashindwa kujizuia mbele ya mabwana zenu, dunia hii ukitaka kumchuku mwanamke yyt uwe na hela au staa utaburaza wake za watu mpaka utamaliza mtaa kama ningekuwa mimi ningekuzibua mibao pumbavu

    ReplyDelete
  10. Kazi kushobokea Ma Star mchiriku sasa matokeo yake ndio hayo. Tena una bahati sana. Nengekuwa ni mimi ningekutupilia mbali na virago vyako urudi kwa babako na mamako wakufundishe adabu. Badala ya kumshauri vitu vya maana kama mme wako unaanza kumpa taarifa za mafanikio ya mwanamuziki mchiriku.......mpumbavu kabisa wewe......mbweha mkubwa weeee......nyie ndio aina ya wale wanawake ambao wanashindwa hata kuwajua mabwana zao wanapendelea vitu gani katika mazungumzo........

    ReplyDelete
  11. hata aibu huna unamsifia mwanamme mwingine mbele ya bwanaako nyokooooo

    ReplyDelete
  12. It depends kamsifia kwa ajir gan kua fun wa mwana mziki flani si lzm uwe unampenda kimapenz huyo jamaa ni fala

    ReplyDelete
  13. Ndio tabia ya wapare anaweza akakukatakata mapanga huyo achana nae muombe mungu atakupa mume mwema huyo sio wako. Mimi nilishuhudia mpare anamkatakata mke wake kwa panga kwa wivu wa mapenzi loooool hana haya. Hali hiyo hajakuoa je angekua amekuoa asubuhi usingeiona leo ingekukuta ahera

    ReplyDelete
  14. mshamba huyo pigachini

    ReplyDelete
  15. Una bahati ningekuwa mim lazima ungekula vibao viwili vizuri na hizo headphone ningezikatakata na kutupa mbali" huwez kumsifia mwanaume mwenzangu mbele yangu

    ReplyDelete
  16. acheni ujinga ninyi wanawake mnawapendaga mastaa kimapenzi, kuna jamaa alienda na dem wake kwenye show ya dogo janja na asley huko mtwara dem akamgeuka mshikajua nakutaka kuondoka nao, jamaa alimzibua makofi na aka m-bwaga hapohapo

    ReplyDelete
  17. Bwana we uta msifiaje mwanaume mbeke ya mpnz wki au ndo nyie mnashoboka na mastaa wa bongo??

    ReplyDelete
  18. Girl u wer right..huyo kidume wako Mburura sasa ultaka umsifie yeye kwamba anajua kuimba wakati ata wimbo wa Taifa hajui kuimba?...Achane na njoo kwangu utawasifia wanamuziki wowote a wanajua kuimba ila sio kuwasifia kwamba wanjua kutomba kuliko mm..

    ReplyDelete
  19. wanaume huwajui wewe wa hovyo

    ReplyDelete
  20. mmh! Ovyo! kwanza huna hata sura ya kumpagawisha diamond we baki na huyo bwege wako tu.

    ReplyDelete
  21. Acheni ujinga bana hapo kasifia jitihada za mtu na sio uzuri wa mtu halafu wanaume wa siku hizi wanatafuta pa kuanzia asepe zake kwani mwanaume mmoja tu ktk hii dunia ladies tujiamini kabisaa ingekuwa yeye kamsifia mdada isingekuwa shobo wanawake tuamke tusiache hawa mburura watuzingue

    ReplyDelete
  22. Mnaomponda kwa uvaaji wake, huyo si yeye hiyo picha mwandishi kaiweka tu hapo mleta maada siyo huyo mdada.Kumbe watu humu wengine hamnazo kabisa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad