Diamond Kukosa Tuzo MTV, Je Kwa Maoni Yako Ameonewa?

Wakuu, nimekuta taarifa za kusikitisha kwa Watanzania wengi na mashabiki wengine wa msanii nguli wa mziki wa kizazi kipya Diamond. Je kukosa kwake tuzo hizi ni kutotendewa haki kwa msanii huyu? Je Msanii kama Davido aliyechukua tuzo hizi kweli alimzidi vigezo msanii diamond? Je suala la lugha (communication barrier) huenda ndio limemuadhibu Diamond na kufanya majaji 'wasimkubali'? Je Pesa ya Msanii kama Davido huenda imekuwa na influence kama vile tunavyosikia ya Qatar kuhusu kombe la dunia?

Nategemea mchango wenu!

Post a Comment

37 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kakosa tunzo kwa kwenda na nuhsi wemasepetu na shoga ake aunty angilikuwa kamchukuwa mama yake aliye muhangaikiya mpaka kafika hapo alipo sasa anawachukuwa hawo nuhsi wawili ndiyo bora hakuna sababu nyingine yoyote

    ReplyDelete
  2. kwanza hajakosa tuzo za BET!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani huyu mwandishi kasomea chini ya kitanda. Tuzo za BET hata hazijafanyika!

      Delete
  3. aache sifa za magazeti ajaonewa maana ajui ila wasio jua wanazani anajua awezi mshinda davido kabisa kwanza apo alipo yupo kw mgongo wa davido hahaha alijua yupo kwenye kill music apo tuzo saba hahahaha ajipange sana

    ReplyDelete
  4. nuksiii wema na ant watu mna joto hasira jaman

    ReplyDelete
  5. nafikiri tunzo hizo kuna vigezo pia kama ameekosa it ok mbona alipewa tunzo za kil wenzake hawajalalamika na diamond hana vigezo vya kuchuku tunzo kubwa kama hizo ataishia kuonga majaji wa hapa wimbo wake no 1 siyo kigezo kipange kaka

    ReplyDelete
  6. Diamond mshukuru Mungu umefikia mahali hapo umejulikana kote duniani,siku zinavyoendelea utazidi kujulikana.Kwani Diamond alitegemea kumshinda Davido wakati Davido ndo kambemba Diamond,amshukuru Davido

    ReplyDelete
  7. Alionda nao wengine mlango wa NANE

    ReplyDelete
  8. WE FALA KWELI SIO BET NI MTV MAMA ANGALIA ULICHOANDIKA HAPO JUU KICHWA CHA HII HABARI KUMBE HUJUI HATA UNATAKA MAONI YAPI USITUCHOSHE KAJIPANGE THEN URUDI

    ReplyDelete
  9. si tukisema hajui watu wanasema tuna wivu sasa nadhani MTV ndo wanawivu zaid the teh teh teh teheeee

    ReplyDelete
  10. wivu atuna awezi mshinda davido jamani yaan awezi ata aimbe uchi

    ReplyDelete
  11. Labda awachane na wema apate radhi ya mama yake yende nyumbani kigoma akachukuwe mtoto wa nyumbani

    ReplyDelete
  12. apo alpofika kajitaidi pia ni hatua kubwa

    ReplyDelete
  13. Diamond hamfikii davido mmeona nyimbo ya mafikizolo na davido??! dogo yupo vizuri.. huyu diamond umaarufu wa kimataifa bado

    ReplyDelete
  14. Mimi nadhani tuache wivu, dogo diamond anaweza ila sema nigeria kwanza population yao ni zaidi ya watu milion mia tatu na sisi TZ Tuko milioni 45, pia Tanzania watumiaji wa mitandao siyo wengi kuliko kwa akina davido, ukizingatia moja ya kigezo kikubwa cha ushindi ni kura, so hata tungepiga vipi kura na nigeria wakapiga tusingemshinda davido, so tumpe diamond moyo aongeze nguvu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Point!we ndo msomi na umejibu kisomi

      Delete
    2. We kweli ndo umeongea ya maana.

      Delete
    3. Naungana na hyo juu kaongea point sana.na Davidoo ukicheck nyimbo zake ah dangote akaze buti Sanaa jamaa Yuko vzurisanasana

      Delete
  15. Kuweni wazalendo wa tz jikubalini jipendeni pendeni vya kwenu nyie kazi kusifia nchi za wengine watu wa nchi haziwahusu amkeni katangaza taifa na africa mashariki nani East africa aliwahi hata enda cjui mnanini jitambueni ..

    ReplyDelete
  16. Tucngekula wala kulala iyo misafa ya wabongo plus d mwenyewe na mama kubwa lake wema...Hahahaaaa bora na yenyewe for the sake of harmonious atmosphere.Coz bongo ingenikizwaje na cfa za mama kubwa wa d.

    ReplyDelete
  17. Hivi we mwandishi wa hii kitu umesomea wapi uandishi...kwanza hujui Diamond alikuwa anashindania tuzo gani..unakurupuka tu "BET"....Ngoja nikusaidie ili siku nyingine usirudie kuandika upuuzi wako humu ndani na kutudanganya. Hizo zilikuwa ni tuzo za Mtv Africa Music Awards (MAMA) zilizofanyika Durban, Afrika ya Kusini,ukumbi wa ICC.Tuzo za BET zitafanyika terehe 29 Mwezi wa 6,Siku ya Jumapili, Host atakuwa Chris Rock na zitafanyika huko Los Angles,Marekani. #Rudi chuo man..! Siku nyingine ukija hapa uje na habari ulizozifanyia uchunguzi vizuri.
    # Seremala rudi VETA mende akiangusha kabati# Stamina!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na we acha copy n paste! Sio zitafanyika zishafanyika! Ukimnyooshea mwenzako kidole,vitatu vinakuelekea WW!

      Delete
  18. Kuna siku nilisema huyu admin anakopi kutoka jf mstari kwa mstari.watu walinishushia matusi mazito,haya sasa umekopi jamii forums nzima nzima tena,we mwenzetu unaishi in the future? BET ipi labda ambayo hajashinda? Yani hujui hata tuzo gani zilitolewa,ovyo sana yani mradi ujaze blog tu

    ReplyDelete
  19. Ngololo mwisho chalinze mjini kila mtu skelew!

    ReplyDelete
  20. Hizi tuzo Nazo nahisi zina ubabaishaji ndani yake! Kwa aliyekuwa anafuatilia katka wall zao kila wiki walikuwa wanatoa result za most voted artist! Na karibia wiki zote dimond amekuwa akiwaongoza kina davido na hadi ya last week yani 23 week dimond ameshika namba 5 out of 50th! Sass hawa kina davido sijui walikuwa voted chooni au wapi! Ukitka kuanin dimond anapendwa visit on bet vote link! Hawa jamaa ukivote Tu hapo hapo ina display result na till today dimond anaongoza for 64.22% wakati davido Ana 4%.

    ReplyDelete
  21. Mimi nafikiri ndugu zangu, tuhamishie akili kwenye BET sasa, management ya domo na hata domo mwenyewe watoe maelekezo kwa fans na wa TZ wote namna ya kukomenti na kulaiki,sababu huko BET Watu wakiona picha ya mshindani yeyote wanaandika domo hata kama si picha yake.

    ReplyDelete
  22. Wabongo wachen longo Longe BeT bado iliyofanyika ni MTv.sas nyiny mnaoropoka xule mlishindikiza w2 tu.na wew mtowa mada kajipange halafu uje tena.Pumbaavuuu.

    ReplyDelete
  23. big up domo acha uzinzi lakini

    ReplyDelete
  24. hamna issue kabisa Hapo diamond hawezi kushinda mtaniambia hapana chezea Nigeria

    ReplyDelete
  25. My namba 1 na ngololo ndio za kuchukua tuzo kwenye mashindano makubwa kama hayo ucheni ushamba pumbu zenu!

    ReplyDelete
  26. mbona p square hawajapata na watu wamepiga kimya eeehhh diamond amejitahidi na ametutoa kimasomaso watz wote jamani tumpeni hongera zake alipofika sio mchezo tuacheni wivu usio na kichwa wala mguu.kuwa mzalendo sambaza upendo diamond oyeee we r proud of u

    ReplyDelete
  27. vote for dimond on BET,
    let us support our home boy, our country: follow link to vote:

    http://v1019.cbslocal.com/2014/05/14/jay-z-and-beyonce-make-headlines-again/#pd_a_8047572#pd_a_8047572

    ReplyDelete
  28. Kiukweli domo hana uwezo na hatokuja kuwa na uwezo kimziki kumzidi davido haitakuja itokee hata siku moja, na domo kapata umaarufu baada ya kumshirikisha davido kwenye hiyo remix, so kabebwa na davido ndo kajulikana lakin bado sana mybe akaimbe kwaya church

    ReplyDelete
  29. Katika huu mjadala wa Diamond wakenya kaeni pembeni naona mnaandika utumbo tu mwanamuziki wenu kafika wapi? na nyie wabongo mna-support upumbavu mbona yakwao hata kama mabaya wanayapigia debe, tuwe wazalendo, huyo davido mwenyewe kavuma saaana kupitia mgongo wa diamond (remix), wote baadhi ya wabongo roho mbaya kwani mtu akipata mpaka akugawie ndio uridhike ati atafaidi, mxuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  30. naiman64 unaongea mavi matupu kumbe bora mkenya kaongea utumbo,nani alifuata mwenzie kati ya davido na diamond.why wakenya tuweko kimya?do not sup your news ac the border,tutasoma & comment.poor

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad