Wakuu, nimekuta taarifa za kusikitisha kwa Watanzania wengi na mashabiki wengine wa msanii nguli wa mziki wa kizazi kipya Diamond. Je kukosa kwake tuzo hizi ni kutotendewa haki kwa msanii huyu? Je Msanii kama Davido aliyechukua tuzo hizi kweli alimzidi vigezo msanii diamond? Je suala la lugha (communication barrier) huenda ndio limemuadhibu Diamond na kufanya majaji 'wasimkubali'? Je Pesa ya Msanii kama Davido huenda imekuwa na influence kama vile tunavyosikia ya Qatar kuhusu kombe la dunia?
Nategemea mchango wenu!
Kakosa tunzo kwa kwenda na nuhsi wemasepetu na shoga ake aunty angilikuwa kamchukuwa mama yake aliye muhangaikiya mpaka kafika hapo alipo sasa anawachukuwa hawo nuhsi wawili ndiyo bora hakuna sababu nyingine yoyote
ReplyDeletekwanza hajakosa tuzo za BET!
ReplyDeleteYaani huyu mwandishi kasomea chini ya kitanda. Tuzo za BET hata hazijafanyika!
Deleteaache sifa za magazeti ajaonewa maana ajui ila wasio jua wanazani anajua awezi mshinda davido kabisa kwanza apo alipo yupo kw mgongo wa davido hahaha alijua yupo kwenye kill music apo tuzo saba hahahaha ajipange sana
ReplyDeletenuksiii wema na ant watu mna joto hasira jaman
ReplyDeletenafikiri tunzo hizo kuna vigezo pia kama ameekosa it ok mbona alipewa tunzo za kil wenzake hawajalalamika na diamond hana vigezo vya kuchuku tunzo kubwa kama hizo ataishia kuonga majaji wa hapa wimbo wake no 1 siyo kigezo kipange kaka
ReplyDeleteDiamond mshukuru Mungu umefikia mahali hapo umejulikana kote duniani,siku zinavyoendelea utazidi kujulikana.Kwani Diamond alitegemea kumshinda Davido wakati Davido ndo kambemba Diamond,amshukuru Davido
ReplyDeleteAlionda nao wengine mlango wa NANE
ReplyDelete1+1=2 ✅
ReplyDeleteWE FALA KWELI SIO BET NI MTV MAMA ANGALIA ULICHOANDIKA HAPO JUU KICHWA CHA HII HABARI KUMBE HUJUI HATA UNATAKA MAONI YAPI USITUCHOSHE KAJIPANGE THEN URUDI
ReplyDeletesi tukisema hajui watu wanasema tuna wivu sasa nadhani MTV ndo wanawivu zaid the teh teh teh teheeee
ReplyDeletewivu atuna awezi mshinda davido jamani yaan awezi ata aimbe uchi
ReplyDeleteLabda awachane na wema apate radhi ya mama yake yende nyumbani kigoma akachukuwe mtoto wa nyumbani
ReplyDeleteapo alpofika kajitaidi pia ni hatua kubwa
ReplyDeleteDiamond hamfikii davido mmeona nyimbo ya mafikizolo na davido??! dogo yupo vizuri.. huyu diamond umaarufu wa kimataifa bado
ReplyDeleteMimi nadhani tuache wivu, dogo diamond anaweza ila sema nigeria kwanza population yao ni zaidi ya watu milion mia tatu na sisi TZ Tuko milioni 45, pia Tanzania watumiaji wa mitandao siyo wengi kuliko kwa akina davido, ukizingatia moja ya kigezo kikubwa cha ushindi ni kura, so hata tungepiga vipi kura na nigeria wakapiga tusingemshinda davido, so tumpe diamond moyo aongeze nguvu.
ReplyDeletePoint!we ndo msomi na umejibu kisomi
DeleteWe kweli ndo umeongea ya maana.
DeleteNaungana na hyo juu kaongea point sana.na Davidoo ukicheck nyimbo zake ah dangote akaze buti Sanaa jamaa Yuko vzurisanasana
DeleteKuweni wazalendo wa tz jikubalini jipendeni pendeni vya kwenu nyie kazi kusifia nchi za wengine watu wa nchi haziwahusu amkeni katangaza taifa na africa mashariki nani East africa aliwahi hata enda cjui mnanini jitambueni ..
ReplyDeleteTucngekula wala kulala iyo misafa ya wabongo plus d mwenyewe na mama kubwa lake wema...Hahahaaaa bora na yenyewe for the sake of harmonious atmosphere.Coz bongo ingenikizwaje na cfa za mama kubwa wa d.
ReplyDeleteHivi we mwandishi wa hii kitu umesomea wapi uandishi...kwanza hujui Diamond alikuwa anashindania tuzo gani..unakurupuka tu "BET"....Ngoja nikusaidie ili siku nyingine usirudie kuandika upuuzi wako humu ndani na kutudanganya. Hizo zilikuwa ni tuzo za Mtv Africa Music Awards (MAMA) zilizofanyika Durban, Afrika ya Kusini,ukumbi wa ICC.Tuzo za BET zitafanyika terehe 29 Mwezi wa 6,Siku ya Jumapili, Host atakuwa Chris Rock na zitafanyika huko Los Angles,Marekani. #Rudi chuo man..! Siku nyingine ukija hapa uje na habari ulizozifanyia uchunguzi vizuri.
ReplyDelete# Seremala rudi VETA mende akiangusha kabati# Stamina!!
Na we acha copy n paste! Sio zitafanyika zishafanyika! Ukimnyooshea mwenzako kidole,vitatu vinakuelekea WW!
DeleteKuna siku nilisema huyu admin anakopi kutoka jf mstari kwa mstari.watu walinishushia matusi mazito,haya sasa umekopi jamii forums nzima nzima tena,we mwenzetu unaishi in the future? BET ipi labda ambayo hajashinda? Yani hujui hata tuzo gani zilitolewa,ovyo sana yani mradi ujaze blog tu
ReplyDeleteNgololo mwisho chalinze mjini kila mtu skelew!
ReplyDeleteHizi tuzo Nazo nahisi zina ubabaishaji ndani yake! Kwa aliyekuwa anafuatilia katka wall zao kila wiki walikuwa wanatoa result za most voted artist! Na karibia wiki zote dimond amekuwa akiwaongoza kina davido na hadi ya last week yani 23 week dimond ameshika namba 5 out of 50th! Sass hawa kina davido sijui walikuwa voted chooni au wapi! Ukitka kuanin dimond anapendwa visit on bet vote link! Hawa jamaa ukivote Tu hapo hapo ina display result na till today dimond anaongoza for 64.22% wakati davido Ana 4%.
ReplyDeleteMimi nafikiri ndugu zangu, tuhamishie akili kwenye BET sasa, management ya domo na hata domo mwenyewe watoe maelekezo kwa fans na wa TZ wote namna ya kukomenti na kulaiki,sababu huko BET Watu wakiona picha ya mshindani yeyote wanaandika domo hata kama si picha yake.
ReplyDeleteWabongo wachen longo Longe BeT bado iliyofanyika ni MTv.sas nyiny mnaoropoka xule mlishindikiza w2 tu.na wew mtowa mada kajipange halafu uje tena.Pumbaavuuu.
ReplyDeletebig up domo acha uzinzi lakini
ReplyDeletehamna issue kabisa Hapo diamond hawezi kushinda mtaniambia hapana chezea Nigeria
ReplyDeleteMy namba 1 na ngololo ndio za kuchukua tuzo kwenye mashindano makubwa kama hayo ucheni ushamba pumbu zenu!
ReplyDeletembona p square hawajapata na watu wamepiga kimya eeehhh diamond amejitahidi na ametutoa kimasomaso watz wote jamani tumpeni hongera zake alipofika sio mchezo tuacheni wivu usio na kichwa wala mguu.kuwa mzalendo sambaza upendo diamond oyeee we r proud of u
ReplyDeletevote for dimond on BET,
ReplyDeletelet us support our home boy, our country: follow link to vote:
http://v1019.cbslocal.com/2014/05/14/jay-z-and-beyonce-make-headlines-again/#pd_a_8047572#pd_a_8047572
Kiukweli domo hana uwezo na hatokuja kuwa na uwezo kimziki kumzidi davido haitakuja itokee hata siku moja, na domo kapata umaarufu baada ya kumshirikisha davido kwenye hiyo remix, so kabebwa na davido ndo kajulikana lakin bado sana mybe akaimbe kwaya church
ReplyDeleteKatika huu mjadala wa Diamond wakenya kaeni pembeni naona mnaandika utumbo tu mwanamuziki wenu kafika wapi? na nyie wabongo mna-support upumbavu mbona yakwao hata kama mabaya wanayapigia debe, tuwe wazalendo, huyo davido mwenyewe kavuma saaana kupitia mgongo wa diamond (remix), wote baadhi ya wabongo roho mbaya kwani mtu akipata mpaka akugawie ndio uridhike ati atafaidi, mxuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDeletenaiman64 unaongea mavi matupu kumbe bora mkenya kaongea utumbo,nani alifuata mwenzie kati ya davido na diamond.why wakenya tuweko kimya?do not sup your news ac the border,tutasoma & comment.poor
ReplyDeletemdau 9:32 ####@@@@??? yako
ReplyDelete