Diamond Kuperform MTV Mama Awards na Davido Kesho…Angalia Baadhi ya Picha za Rehearsal

Siku ya Kesho Diamond Platnumz na Davido watalishambulia jukwaa kutumbuiza nyimbo ya my number one remix . Tayari wameanza maandalizi ya performance hiyo na hizi ni baadhi za picha za maandalizi hayo..




Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yah kijana wetu amekubalika..

    ReplyDelete
  2. Chibuuu upo safiii

    ReplyDelete
  3. hujo juu mwanangu dai mungu yupo nawe well done.umependezaje !!' good boy .

    ReplyDelete
  4. Salute Diamond,Mungu akubariki mzee!!!!!Amen.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kazi anayoifanya siyo ya kumtukuza Mungu ila shetani! So wewe imbed Mungu aendelee kumuonyesha atende mema ili afanye kazi zitakazowatoa watu kwenye dhambi. Kazi anayoifanya sasa hivi inamtukuza shetani so ni agent wa devil...fyu....

      Delete
    2. Kazi anayoifanya siyo ya kumtukuza Mungu ila shetani! So wewe imbed Mungu aendelee kumuonyesha atende mema ili afanye kazi zitakazowatoa watu kwenye dhambi. Kazi anayoifanya sasa hivi inamtukuza shetani so ni agent wa devil...fyu....

      Delete
  5. Hongera sana Diamond! Ivi huyo Qboy ni nani yake Diamond!? Picha ya pili kutoka juu..maana yupo matakoni mwa Diamond al the time!

    ReplyDelete
    Replies
    1. the tanzanian negro7 June 2014 at 20:02

      He is one of his dancers... I guess...

      Delete
  6. waoow! my dangote we ni noma mimi penda xana weye

    ReplyDelete
  7. Tunakuombea ufunike mana wametubania siku nyingi nakukubali achana na hao wengine wanajiita maraisi wa mitaa kazi satarehe tu eti wanakula ujana

    ReplyDelete
  8. Kiekweli ni kwamba anatuwakilisha vilivyo wa Tz. Bigup.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad