Diamond, Wema Sepetu Anaolewa Lini?

Dear Diamond
Najua uko busy sana ma Chanell za pesa pamoja na Show za Music rejea ujumbe hapo juu huyo ni mtoto wa watu Ana wazazi kama wewee

Sidhani wazazi wanafurahia kukuona nae kila mara embu fanya cha maana umweke mtoto ndani huyo ni Halali yako sitaki kusikia tena mmeachana itaniuma sana, Wema Sepetu ni Nyota Ingaayo kuwa pembeni yako kumechangia mafanikio yako na kuzidi kupendwa kwako na mashabiki....Fanya kweli Vidudu Mtu visije ingilia kati tena.....
Mimi Shabiki wako Mpendwa

Tags

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mlipendeza ila sijui nani alikufanyia make-up mrembo wetu!!! Yani utafikiri unataka kulia? Aaaah alikunanga yani ulipoteza ung'aavu wako tunaoujua.next time ukienda event kubwa km hizi usipanie sn mwisho wa cku unaharibu.!

    ReplyDelete
  2. Hakuns muoaji hapo......Wema anapoteza mda wake......kwa sababu na yy anapenda sifa za kipuuzi....za wale vichaa team mitusi....mitoto inamitusi balaaa.....ata kura hayakupiga yenyewe kazi yao ni kutukana watu....eti yanajifanya yanapenda Wema.....kumbe hayana lolote

    ReplyDelete
    Replies
    1. Una akili wewe hakuns muoaji wala muolewaji hao wote malaya tu na km wataoana basi kwa sifa na si mapnz wema si mwanamke material huyo ni wastarehe we domo kakishukaa atakaa huyo na hivyo domo alivyombaya hao timu kinachowasumbua si njaa wanajua wema anapenda sifa kwahiyo wakimsifia hawakosi visenti hakuna ndoa hapo

      Delete
  3. yaani we udaku kazi yako kukopi stori JF na kuhamisha humu kha

    ReplyDelete
  4. Hakuna tena mungu ila ni wema kangarisha nyota ya diamond.Mbona hajapata tunzo yoyote kama wema ni nyota ya diamond na ana mashabiki wengi kwanini wasimpigiye kura akashinda wacheni upuuzi wala hawapendezi wema kama mama yake diamond

    ReplyDelete
  5. hakuna ndoa hapo domo kajiweka hapo ili kujihami kushuka kimzik maana huyo shuga magazeti atamsaidia

    ReplyDelete
  6. Kweli anonymous hapo juu Wema amevimbiana hadi anaboa km mama ake mkubwa na domo

    ReplyDelete
  7. khaa.watu wanajua kuponda kishenzi.

    ReplyDelete
  8. Siyo kuvimbiyana tuu unaweza kuvimba lakini sura yako inaonesha kama weye mkubwa ao mdogo

    ReplyDelete
  9. Ukivimba ovyo hata km una umri mdogo unaonekana km bibi bomba

    ReplyDelete
  10. Wakuoa chibu baadae sana wakati wema ashakuwa bibi bomba ...ila wema kubwa jinga jamani hajijui ametoka wapi anaenda wapi msingi kiuno atajutia sana uzee wake.endelea tu kuwa chombo cha starehe na kutajirisha makampuni ya magazeti

    ReplyDelete
  11. Wema mdogo wangu diamond Si muoajiiii,anawachezeeni tuuuu we na penny,fanyeni yenu achananeni na bazazi Huyo asiyejitambua,ohoooo,haya subirini ndoa,mnapoteza muda,wanawake tunachuja kuliko wanaume,kwa mdomo wake diamond kwenye show ya sporah,alisema amekipita mwaka mmoja kuzaliwa lakini unaonekana mkubwaa kwa kujiachia.

    ReplyDelete
  12. Replies
    1. Acha kujipa moyo wakijinga..kuona wewe unajua nikutiwa mpaka asubuhi...atakalia muhogo mpaka awe bibi bomba ndoa kwa chibu na wema ni ndoto za mchana..huwa hawaoi tu wema hakuna mwanaume mwenye akili ataoa wema kicheche

      Delete
  13. mhhhhhhh napitia tu

    ReplyDelete
  14. kuolewa sio lazma wangap wameolewa na wakaachika? kizur nikumuomba mungu tu

    ReplyDelete
  15. swali la msingi ni KWANI WEMA ANATAKA KUOLEWA?? msilazimishe kuwa maisha ni ndoa tu, uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana mpaka kinyaa.

    ReplyDelete
  16. swali la msingi ni KWANI WEMA ANATAKA KUOLEWA?? msilazimishe kuwa maisha ni ndoa tu, uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana mpaka kinyaa.

    ReplyDelete
  17. Achen kumpondea Wema km ni maisha ya ndoa alishaolewa na Jumbe na km akiwa tayari kuolewa ataolewa! Mumuache presha zinawapanda wkt mwnyewe karidhika fanyen yenu!

    ReplyDelete
  18. Jamani inawakera utadhan nyie n wazazi wa wema? Achen hzo bhana time wll tell.

    ReplyDelete
  19. Jamani inawakera utadhan nyie n wazazi wa wema? Achen hzo bhana time wll tell.

    ReplyDelete
  20. sasa hku bhana mtu unaponda as f we upo perfect kwa kila kitu hiiii dunia bhana kuna watu balaaaah

    ReplyDelete
  21. Kuleni ujana mtayajutia uzeeni

    ReplyDelete
  22. Namuwaache walale kazi kuponda tu.

    ReplyDelete
  23. Jamani mbona mnaingilia maisha ya watu? Wema na Diamond mmependeza,all the best guys

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad