Dear Diamond
Najua uko busy sana ma Chanell za pesa pamoja na Show za Music rejea ujumbe hapo juu huyo ni mtoto wa watu Ana wazazi kama wewee
Sidhani wazazi wanafurahia kukuona nae kila mara embu fanya cha maana umweke mtoto ndani huyo ni Halali yako sitaki kusikia tena mmeachana itaniuma sana, Wema Sepetu ni Nyota Ingaayo kuwa pembeni yako kumechangia mafanikio yako na kuzidi kupendwa kwako na mashabiki....Fanya kweli Vidudu Mtu visije ingilia kati tena.....
Mimi Shabiki wako Mpendwa
Mlipendeza ila sijui nani alikufanyia make-up mrembo wetu!!! Yani utafikiri unataka kulia? Aaaah alikunanga yani ulipoteza ung'aavu wako tunaoujua.next time ukienda event kubwa km hizi usipanie sn mwisho wa cku unaharibu.!
ReplyDeleteHakuns muoaji hapo......Wema anapoteza mda wake......kwa sababu na yy anapenda sifa za kipuuzi....za wale vichaa team mitusi....mitoto inamitusi balaaa.....ata kura hayakupiga yenyewe kazi yao ni kutukana watu....eti yanajifanya yanapenda Wema.....kumbe hayana lolote
ReplyDeleteUna akili wewe hakuns muoaji wala muolewaji hao wote malaya tu na km wataoana basi kwa sifa na si mapnz wema si mwanamke material huyo ni wastarehe we domo kakishukaa atakaa huyo na hivyo domo alivyombaya hao timu kinachowasumbua si njaa wanajua wema anapenda sifa kwahiyo wakimsifia hawakosi visenti hakuna ndoa hapo
Deleteyaani we udaku kazi yako kukopi stori JF na kuhamisha humu kha
ReplyDeleteHakuna tena mungu ila ni wema kangarisha nyota ya diamond.Mbona hajapata tunzo yoyote kama wema ni nyota ya diamond na ana mashabiki wengi kwanini wasimpigiye kura akashinda wacheni upuuzi wala hawapendezi wema kama mama yake diamond
ReplyDeletehakuna ndoa hapo domo kajiweka hapo ili kujihami kushuka kimzik maana huyo shuga magazeti atamsaidia
ReplyDeleteKweli anonymous hapo juu Wema amevimbiana hadi anaboa km mama ake mkubwa na domo
ReplyDeletekhaa.watu wanajua kuponda kishenzi.
ReplyDeleteSiyo kuvimbiyana tuu unaweza kuvimba lakini sura yako inaonesha kama weye mkubwa ao mdogo
ReplyDeleteUkivimba ovyo hata km una umri mdogo unaonekana km bibi bomba
ReplyDeleteWakuoa chibu baadae sana wakati wema ashakuwa bibi bomba ...ila wema kubwa jinga jamani hajijui ametoka wapi anaenda wapi msingi kiuno atajutia sana uzee wake.endelea tu kuwa chombo cha starehe na kutajirisha makampuni ya magazeti
ReplyDeleteWema mdogo wangu diamond Si muoajiiii,anawachezeeni tuuuu we na penny,fanyeni yenu achananeni na bazazi Huyo asiyejitambua,ohoooo,haya subirini ndoa,mnapoteza muda,wanawake tunachuja kuliko wanaume,kwa mdomo wake diamond kwenye show ya sporah,alisema amekipita mwaka mmoja kuzaliwa lakini unaonekana mkubwaa kwa kujiachia.
ReplyDeletewashaoana long time.
ReplyDeleteAcha kujipa moyo wakijinga..kuona wewe unajua nikutiwa mpaka asubuhi...atakalia muhogo mpaka awe bibi bomba ndoa kwa chibu na wema ni ndoto za mchana..huwa hawaoi tu wema hakuna mwanaume mwenye akili ataoa wema kicheche
Deletemhhhhhhh napitia tu
ReplyDeletekuolewa sio lazma wangap wameolewa na wakaachika? kizur nikumuomba mungu tu
ReplyDeleteswali la msingi ni KWANI WEMA ANATAKA KUOLEWA?? msilazimishe kuwa maisha ni ndoa tu, uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana mpaka kinyaa.
ReplyDeleteswali la msingi ni KWANI WEMA ANATAKA KUOLEWA?? msilazimishe kuwa maisha ni ndoa tu, uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana mpaka kinyaa.
ReplyDeleteAchen kumpondea Wema km ni maisha ya ndoa alishaolewa na Jumbe na km akiwa tayari kuolewa ataolewa! Mumuache presha zinawapanda wkt mwnyewe karidhika fanyen yenu!
ReplyDeleteJamani inawakera utadhan nyie n wazazi wa wema? Achen hzo bhana time wll tell.
ReplyDeleteJamani inawakera utadhan nyie n wazazi wa wema? Achen hzo bhana time wll tell.
ReplyDeletesasa hku bhana mtu unaponda as f we upo perfect kwa kila kitu hiiii dunia bhana kuna watu balaaaah
ReplyDeleteKuleni ujana mtayajutia uzeeni
ReplyDeleteNamuwaache walale kazi kuponda tu.
ReplyDeleteJamani mbona mnaingilia maisha ya watu? Wema na Diamond mmependeza,all the best guys
ReplyDelete