Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amevunja ukimya na kuitaka serikali iache porojo kuhusu ufisadi mkubwa wa Fedha Escrow.
Dr Slaa ambaye kwa sasa ndiye kiongozi mashuhuri zaidi wa upinzani nchini ametaka hatua za haraka kuchukuliwa kuhusu wizi huo ikiwemo kukamata wahusika wote na kuwafungulia mashtaka.
Kiongozi huyo tishio kuu kwa chama tawala amesema serikali imekosa uwajibikaji kwa kuendelea kunyamazia wizi huo huku wahalifu wa hujuma hiyo wakilindwa.
Kutolea kauli suala hili kwa Dr Slaa kunafanya sakata hili kuchukua sura mpya zaidi ikikumbukwa jinsi Kiongozi huyu alivyosimamia kidete suala la wizi wa Fedha za EPA mpaka ikalazimu Rais kuingilia kati na kuunda tume maalum kuhusu suala hilo.
Source:Tanzania Daima
Dr.slaa wewe ni mzalendo namba moja Tanzania.Mungu akulinde na kukuongoza katika harakati za ukombozi.
ReplyDeleteMhhh hata sikubali mwizi tu nae
Deletesana.
ReplyDeleteSafi jembe!
ReplyDeleteTuko pamoja na wewe rais wetuu!tuliyaona yale yote uliyokuwa ukipambana na mafisadi ya epa sasa wametuibia tena mkuu tusaidie na tuko nyima yako!
ReplyDeleteMi naona tunge muhunga mkono jamaa tusijali tuko chama gani wizi umezidi imekua kama mila na Desturi yetu
ReplyDeleteSilaa mwizi mkubwa kama hao CCM
ReplyDeleterais pekee atakuwa Mh Edward Lowassa. anayebisha aje hape tubet. hilo ndilo jembe la kisawasawa achana na hao wengine
ReplyDeleteMwizi anavijua vichengo vyote wizi na atajaribu kuviweka hadharani ili yeye akianza kuiba asijulikane wa kukubalika kama ni mwizi. TUWE NA AKILI ZA ZIADA. TUMESHAZOEA KUSHIKIWA AKILI ZETU NA WAJANJA. Zindukeniii.
ReplyDeleteZINDUKA:- 2X2 jibu lake ni 4, pia 2+2 jibu lake ni 4. Sasa 3x3 jibu lake ni 9 Ila 3+3 jibu lake 6. Jiulize swali kwa nini isewe sawa na majibu ya mbili? ZINDUKAAA MWANANCHI
ReplyDeleteLowassa jembeeeeeeeeee Lowassa jembeeeeeeeeeee Lowassa jembeeeeeeeeee huo ndio ukweli hata ukibisha ila ukweli unaujua Lowassa jembeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteKweli mdau hapo juu nchi hii rais atakuwa lowasa sio washenzi wengine
ReplyDeleteKweli mdau hapo juu rais pekee lowasa nchi ii wengine sarakasi tu
ReplyDelete