Dr. Slaa: Wakorofi CHADEMA ni Wajinga

Ni kauli nzito iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr. W. Slaa baada ya kushutumiwa pamoja na Mwenyekiti wake juu ya uvujaji wa mamilioni ya chama hicho.

Ametoa kauli hiyo na kusema wasome katiba vizuri.

- Wenyewe wahoji matumizi ya Ruzuku, kususia Bunge la Katiba
- Wadai Mbowe amejilipa milioni 700/= za chama kinyemela
- Washinikiza kuitishwa Mkutano wa Baraza kuu kuwahoji

Source: Raia Tanzania
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Leo amesema wajinga kesho atasema wasenge!

    ReplyDelete
  2. Nchi imezungukwa na miti,maziwa,bahari,na bado watu wananjaa?ya busara ,na hekima,viongozi ,au uongozi huwezi kuonhea hivyo una jua kabisa wewe ni puplic figure ,na bado unafanya utani .na uongozi,Mungu saidia Afrika

    ReplyDelete
  3. Ccm oyeeee.....
    Oyeee saana tuu........zimwi likujualo halikuli likakwisha......nafasi ziko wazi hamieni huku mbona saafi tuu....wapinzani wanafiki.....wanakula bata nyuso zao zinaongea....hatujawapa nchi mambo yenyewe ndio hayo mshaanza kugeukana kutukanana.....hamna discpline

    ReplyDelete
  4. unajua admin ulivyotoa reply hatutacoment kwa maama acha ushamba, by the way huyo ndo slaa rais wa 2015 na maneno yake ya hovyo, nani awape nchi nyie mmeshaangukia pua

    ReplyDelete
  5. Wewe ccmuuu.....sirudi nyuma mimi nakwenda na chadema ewe ccm sirudi nyuma mimi nakwenda na chadema nyinyi mafisadi haturudi nyumaa sisi tunakwendaa na chademaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  6. Igunga twende sieendi Manyara twendee sieendiii na Mbulu twendee siendiii siendiii siendiii kwa miyo mmoja nambariwan eh ehh nambari wani ni CCM... nchi mtaisikia kwa kunyeaaaa CCM Oyeeeeeee

    ReplyDelete
  7. Haaaaaaaaaaaaaa na kuongeza Watoto Haaaaaaaaaaaaaa Eti tunawatea. WANYONGE pumbavu

    ReplyDelete
  8. wewe unaeishobokea ccm lazima utakuwa unatoka kijijini, washamba wa vijijini ndiyo bado ccm!! kwanza nani kakupa hata hii computer kucomment chochote? umepata msaada wa computer kutoka kwa nape nini? kwenye mikutano yake huko vijijini? mshamba wee!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad