Mtangazaji maarufu nchini wa vipindi vya Radio na Television Dennis Busulwa a.k.a Ssebo amejiunga na Radio ya Efm ambayo imekwishajizolea umaarufu mkubwa jijini Dsm kwa kipindi kifupi tu kutokana na staili yake tofauti ya urushaji matangazo nchini.
Ssebo mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano kwenye vituo mbalimbali vya Radio na TV amejizolea sifa na mashabiki lukuki katika tasnia hii ya utangazaji kutokana na staili na vituko vyake awapo hewani.
"Mashabiki wangu watarajie mengi mazuri kutoka kwangu nikiwa na EFM", alisema Ssebo. Ssebo anakutana na timu ya watangazaji wengine wakongwe kama Dj Majey, Dizzo One na Sos B waliokwisha anza kusikika Redioni hapo.
Hv hii radio ya nani.maana mhhhh
ReplyDeleteYa comando jideee
ReplyDeleteVizuri aiseeeeeeee
ReplyDeleteSaf sana
ReplyDeleteKomandoo jide utaiua clouds fm kwa mtindo huu.
ReplyDeletekama ni ya jide salute sana kwake ametishaaaaaaaaaaa. sasa kazi kwa hasimu wake ajipange sawasawa la sivyo kazi anayo jide atamkimbiza mwendo wa kikomandoo. nahisi pia hilo jina commandoo litamfaa sana jide maana amepambana na mazingira magumu aliyowekewa na hasimu wake na akafanikiwa sana
ReplyDeleteNi mitizamo yenu tu,aanze tu kuishinda clauds! Mtasubiri sn!
ReplyDeleteNaomba frequency pls
ReplyDelete93.7
DeleteThnx
Deleteni ya jide kwelii au
ReplyDeleteNdiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
DeleteSimpendi uyo komandooo wenu...!!
ReplyDeletekunywa sumu ufe sheeeeeeeenz
DeleteSisi tunampenda,kwendraaa
ReplyDeleteHahahaha bwana RUGE na mwenzie KUSAGA ndo wanazidi kuumia rohooooo. Mamaee. dada JIDE kama vp hamia na clouds fm wakombeeee mpk ibak nyeupeee
ReplyDelete