Fashion Police:Maimatha wa Jesse Punguza Kidogo Kope Hizo Too Much Artificial

Jamani kwenye Urembo Sikatai Kuna Kuweka Kope Bandia ili uzidi kuonekana mrembo zaidi , na Kuna Wataalamu wakikuwekea Kope Unapendeza na Wala mtu wa Kawaida Hawezi Jua kuwa Umeongezea Kope ...Kamera Ilimnasa Mwanadada huyo Hapo Juu kope Zimesimama Dede yaani hapo Hata mtoto Mdogo Anajua kuna kamchezo kamefanyika Kwenye Kope...Punguza Kidogo Bibie
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Misimshangai cnikama mdoli tu anajifanyaga lini ulishamkuta natural maimatha.shukuru tu mkorogo kapunguza lakini ye niwakujifanya mdoli tu sikuzote

    ReplyDelete
  2. shukurun io mikope masupastar, mngeaibika mana wabayaaaaaa kaz kujishaua tu na uzur wa dukani

    ReplyDelete
  3. Mkorogo umemgomea hajapunguza wala nini

    ReplyDelete
  4. Kawa mweusi jamani!

    ReplyDelete
  5. Kama chelewa za ufagio,jitu Zima bado unaendekeza umalaya mjini???umeshazeeka we bibi,stupid..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad