Jamani kwenye Urembo Sikatai Kuna Kuweka Kope Bandia ili uzidi kuonekana mrembo zaidi , na Kuna Wataalamu wakikuwekea Kope Unapendeza na Wala mtu wa Kawaida Hawezi Jua kuwa Umeongezea Kope ...Kamera Ilimnasa Mwanadada huyo Hapo Juu kope Zimesimama Dede yaani hapo Hata mtoto Mdogo Anajua kuna kamchezo kamefanyika Kwenye Kope...Punguza Kidogo Bibie
Misimshangai cnikama mdoli tu anajifanyaga lini ulishamkuta natural maimatha.shukuru tu mkorogo kapunguza lakini ye niwakujifanya mdoli tu sikuzote
ReplyDeleteshukurun io mikope masupastar, mngeaibika mana wabayaaaaaa kaz kujishaua tu na uzur wa dukani
ReplyDeletekama jini
ReplyDeletekama mdoli
ReplyDeleteMkorogo umemgomea hajapunguza wala nini
ReplyDeleteKawa mweusi jamani!
ReplyDeleteKama chelewa za ufagio,jitu Zima bado unaendekeza umalaya mjini???umeshazeeka we bibi,stupid..
ReplyDelete