Mpasuko wa ndoa ya wasanii wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha na mkewe Florah umewagawa wachungaji wa makanisa mbalimbali nchini baada ya kibao kumgeukia Flora kwamba ndiye anadaiwa kusuka mpango wa kumwangamiza mumewe ili afungwe kwa kosa la ubakaji…..
Wakizungumza na wanahabari wetu kwa nyakati tofauti, wachungaji hao walisema endapo itabainika ni kweli Flora ameshiriki kumsaliti mumewe kwa kutembea na mmoja wa wachungaji maarufu nchini hapatakuwa na haja ya kumwalika kwenye huduma zao kwani hawawezi kuhudumiwa na mwimbaji mzinzi.
Mchungaji Ambonile Mwakipesye na Amani Joseph wa makanisa ya Tanzania Assemblies of God ( TAG) walisema kuwa kama kulikuwa na matatizo kwenye ndoa yao walipaswa kuwaona watumishi wa Mungu na kusuluhisha badala ya kutengenezeana mitego na kuingizana majaribuni kama inavyodaiwa kutokea kwa Mbasha….
Wakati wachungaji hao wakisema hivyo, mchungaji Thomas Methew yeye alisema kuwa ukweli wa jambo hilo wanaujua wanandoa wenyewe kwani mpaka sasa hakuna anayelijua tatizo kubwa mpaka wakafikia hatua ya kutengana
Hawa wachungaji walitajwa hapo juu na wenyewe wana mizigo yao ya dhambi,hawana haki ya kuhukumu,tukianza kutaja ya kwao watu watashangaa,Tuwaombee Florah na mbasha mambo yao yaishe.
ReplyDeleteNdio mwisho wako huu frola pole,umejiharibia sana,uliza Beatrice mhone Yuki wapi,chezea mungu wewe,utaendelea kuimba kwenye huduma za gwajima usijal na atakudoble malipo.
ReplyDeleteMdau nijuze please Beatrice muhone kapata tatizo gani?mi niko ulaya mambo ya nyumbani yananipitaaa
Deletemwanamke mpumbavu uibomoa nyumba yake kwa mikono yake ulikuwa huna sbb ya kumshauri mdogo wako aende polis wkt ww unaweza kufanya kikai cha famil maana umejitia aibu sana
ReplyDeleteWewe Wa wapi? Mwenzio nia Yake mumewe afungwe,anadai ndoa imemchosha anataka awe huru
Deleteulitakuwa ushauliwe ndiyo ufanye ulichokifanya umetucost wote shabiki zako maana nimekuzalau sana ww mdada
ReplyDeleteMama wa makahaba
ReplyDeleteWote hatujui ukweli wa sakata hilo tunahukumu tu kutokana na taarifa za waandishi wa Habari, kama Mr Mbasha hajatenda kosa kwaninii ajifiche mpaka leo? Ukweli wa swala hili wanalo wenyewe Mr na Mrs Mbasha, na nyie Udaku toeni story za kweli msipotoshe jamii.
ReplyDeletemtumishi gani wa mungu amejichuna ngozi kiasi hicho
ReplyDeleteWamejichuna ngozi na Mbasha pia,Eti walokoleeeeeeee my ass!
DeleteMimi naona mwenye makosa makubwa ni Flora, kwanini alilalanjeyandoa bila kumwambia au kumpigia Mume wake, pia kamaBinti alibakw usiku, hiweje mwende kumpima mchana? Flora hacha tamaa za kijinga.. umeidhalilisa familia yako, kaa chini utubu... Huyu sijui Gwajima Ngawajima, hachananae, ni tapeli mkubwa, lego ni kusmbalatishandoa za Watu.. Tumia akili MAMA....
ReplyDeletehuyo malaya ,kashahamua umalaya wake
ReplyDeleteFlora shame on u hv to go kimwili poa kiroho kwisha itakuwa ulianza mda mrefu umeumbuka gym masaa yote hayo ndo mana mr katoka nje
ReplyDeleteTANGU LINI MWANAKWAYA WAHAPA TZ ASITUMIKE KWA VIONGOZI ILI AFANIKIWE?
ReplyDeleteHakika ni,mambo ya aibu Sana eti nyimbo za injili mmekuwa je? Haya mwanamke mpumbavu huibomo nyumba yake kwa mikono yake. Haya timbwili hiloooona yaelekea Kuna ukweli ndio maana hata hata Mbasha mwenyewe amejificha duu POLE KWA TAMAA
ReplyDeletejinsi ya kutengeneza pesa kupitia computer yako
ReplyDeleteKm kweli Mr Mbasha alitenda ilikua ni kutafuta suluhu ya ndani sasa kwa hili lilivyo aibu si kwa Mr pekeyake ni famillia nzima,kuna tabia ambazo Kamwe hua hazibadili km umezaliwa nayo utajificha sana kwenye ngozi ya utakatifu lkn kuna cku utashindwa tu lzm itoke nje na kujipamba2nua Kuwa wewe ni nani ktk jamii (umalaya)
ReplyDeletewanandoa waliokoka inabidi waende kwenye kanisa ambalo wote wanamuheshimu mchungaji, ili kwamba mnapotofautiana muweze kusuluhishwa kirahisi.
ReplyDeletesasa Flora amembuluta Mbasha kwa Gwajima, obviously Mbasha ataona sio sawa kwenda kusuluhishwa na Mchungaji ambaye anampenda mke zaidi, ndio maana haya yametokea.
Kuna ugomvi wa kindoa wazazi hawawezi kusuluhisha kwasababu kila mtu ana wazazi. ni Bora kuwa na mzazi wa Kiroho ili nyote muweze kurekebishika.
Dada Flora, anaenda gym masaa manne na mtu ameolewa, si inabidi umweleze mumeo uko wapi, wewe ukiondoka tu nyumbani alafu unamwambia mumeo "utajaza" unadhani ndoa yako itapona?
watu tuliokoka jamani, tunahitaji hekima ya hali ya juu, watu wasiokoka wanatumia hekima hii na ndoa zao zinadumu miaka 80.
Picha hii inaonyesha furaha aliyo nayo Flora kwa yale yaliyotokea katika ndoa yake, yuko gizani. Hajui hata nini kinaendelea kuhusu ndoa yake maskini wee!!!. Aibu yote hii si kitu kwake Kitu gani hasa kinachompa furaha hii? Zaburi 139:23-24 inasema "Ee Mungu, unichunguze, uujue moyo wangu, Unijaribu, uyajue mawazo yangu; Uone kama iko njia iletayo majuto ndani yangu, ukaniongoze katika njia ya milele."
ReplyDeleteInawezekana hajui kabisa impact ya scandal ya ndoa yao kwa jamii mpaka sasa, Bwana amfungue macho apate kuelewa.