Good News:Wema Sepetu na Kajala Wamepata na Kushikana Mikono

Unaweza kuona kama bado drama zinaendelea lakin ni kama movie imefika mwisho, kwani wale wakali wawili waliotengeneza headline hapa mjini kwa social media wamepatana, Kajala Masanja na Wema sepetu.  Hii imetokea jana kwenye msiba wa director na aliyekuwa mzazi mwenzie Monalisa.

Juzi kwenye msiba wa Rechal pale makaburini kulikuwa na makundi huku Kajala akiwa na sare tofauti na as well Wema alivaa sare ya peke yake lakini hii inaweza kuwa tofauti katika msiba wa Tyson kwani wawili hao walipatanishwa wakiwa msibani hapo na kuamua kuyamaliza kwani hakuna mfano mzuri katika maisha ya mwanadamu kama kifo, kwani kinamkumbisha kila mmoja wetu kuishi vema na kwamba kesho tutaondoka

Wawili hao walitofautiana kwa sababu wanazojua wao wawili na  Instagram kuchochea ugomvi na kuwasemea vitu ambavyo hata wawili hao hawajaongea mwisho wa siku Wema na Kajala ikawa wanapishana kama train za Umeme au bus ya mwendo kasi but final wamepatana na kupeana mikono .lets hope wamesafisha mioyo yao na waishi kama zamani.

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yetu macho...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa hayo makundi yenu sijui team wema na team kajala ndio unafiki utawaisha sasa wenyewe sasa hivi wamepatana sijui mtakuwa team nani sasa?inabidi mbadili majina sasa mjiite team majungu na team kufuatilia mambo yasiyo wahusu ha ha haaa mnaloo!wapi nana jr!

      Delete
    2. hapo sasa...wamebaki wao katikati....

      Delete
  2. Malaya tu hao hata wasipopatana sawa tu.........

    ReplyDelete
  3. vizuri ila musirudie tena tutakuchapeni vibao

    ReplyDelete
  4. Malaya wabovu tu hao, hata wakipatana wanatusaidia nn sisi, kila siku maskendo ya kisenge tu.

    ReplyDelete
  5. duuu! afadhali kajala atapumuapo mwee!

    ReplyDelete
  6. hongera zenu

    ReplyDelete
  7. Ni vizuri, but kajala kaa mguu sawa mguu upande coz wema hana urafiki wa kweli,anapenda kuburuza wenzie na ni muongo sana.

    ReplyDelete
  8. KUMA LA MAMAAKO WEWE UNAESEMA WEMA ANAPENDA KUBULUZA WENZAKE KWAN WANALAZIMISHWA KUMFUATA????????????????????????WE KUMA KWELI KAA KANDO KHUKO HUNA MANA KM AKILETA UKUMA ANABURUZWAA KWAN NINI ...WEMA NDO WEMA BHANA HUTAKI CHAMBIA MAKARATASI UTUPE....MBWA WEWE

    ReplyDelete
    Replies
    1. umefaidika nini na kutukana.unajidhalilisha tuu!hakuna kitu kizur kama kuheshimu wazazi wetu.kama umefikia kutukana hivyo!Mungu atakuonyesha ukuu wake.endelea tuu

      Delete
  9. Safiiiiiii sana.

    ReplyDelete
  10. wewe wema ukiona habari inakuhusu tu matusi, ya nini?nyamaza kama wanavyonyamaza wenzio,baby wako hana mambo ya kutukana,yuko kimwa wala hajui kutukana sanasana akisifiwa utasikia asante,wee staa bwana ,utatukana wangapi.acha uswahili.

    ReplyDelete
  11. wewe kuma huna?kama huna mamako anayo

    ReplyDelete
  12. aisee umu kuna matusi jamani , sio cfa... Kama huna la maana ni bora usicomment kabisa

    ReplyDelete
  13. MDAU 6.58,wanaotukana humu akili ilishachakachuliwa na hawana dini,utakuta mtu anamtukana mama wa mwenzie kana kwamba yeye aliokotwa vile.

    ReplyDelete
  14. Wa2 tumezd mambo ya ajabu kupata kwa wema na kajala ni inshara ya kustaarabka wagombanao ndo wapatanao hao walowajengia ziz wakae wao sasa ng'ombe watu.chezea wema na kajala weyeee

    ReplyDelete
  15. Matusi nyi waTZ mwayapenda , hahaha... hebu na usome vile Diamond hajaonekana kwa list ya maceleb wanavutia madem

    ReplyDelete
  16. Wema kajala ugonvi wawo ni wanaume uyu kachukuwa mwanaume wahuyu na hugu anachukuwa wa huyu ...kwanini wesa akasirike kajala kumchukuwa climent ambapo kisha achana naye yuko na diamond .
    wema wacha kumroga diamond mpaka anaonekana kama hayawani mbele za watu .
    mnasema diamond anafanyikiwa kwa nyota ya wema kwanini mwenyewe wema asifiki mbali nayeye akaweza kwenda kushoot filamu na ton cruise ao na bradpit hollywood akaishiya kutowa kipindi kisichokuwa na maana upumbavu anafanya kisha na towa episod mpya kama kweli ana nyota yende nayeye HOLLYWOOD .diamond kajaliwa na mungu siyo wema la wema anachafuwa jina lake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umesema kweli hapo juu kama Diamond anafanikiwa kwa nyota ya wema mbona wema hana lolote zaidi ya kupigwa danadana kama mpira

      Delete
  17. hii ni blog yakutukana kama uwezi kanye...wema hapo sikusupport hata kidogo kurudiana urafiki au kuweka ukaribu na huyo gurubembe majalala.Please No,No,no

    ReplyDelete
  18. Wawili wakipatana hata mbingu zinashangilia scheni kusikiliza hiz teem zenu

    ReplyDelete
  19. Kajala ni mnafiki sana kwa nini alikwenda kwa kina penny waogopeni sana watu wakimya angekuwa na utu angemfikiria mme wake segerea kwani pesa walikula wote tena bila haya anpost picha na kusema thanks baby huba huna hata hisani hukumbuki lol laana lzima ikupate nyang'au wee

    ReplyDelete
  20. team za misukule hizo wanawake hawana kazi wema this kajala that penny there wanadiriki hata kuombeana vifo! mwishoni watafungua shrine ya kumwabudu wema inatisha.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad