Hali ya Afya ya JACK PATICK bado tete Gerezani…Ashindwa kuhudhuria Mahakamani

UNAWEZA kusema ni majanga juu ya majanga yanazidi kumkumba modo wa Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ baada ya wiki iliyopita kushindwa kupanda kortini kufuatia kutetereka kwa afya yake bila kufafanuliwa.

Mbali na kuwa na afya tete, pia Jack anadaiwa kulalamikia haki za msingi za kibinadamu ambazo anazikosa mahabusu kwa kuishi maisha kama ya mtu aliye kifungoni.

Akizungumza na Amani juzi jijini Dar, mtu anayejitolea kumpa msaada na kumtembelea Jack mahabusu, Macau, China alikoshikiliwa, Matilda  alisema Jack anaumia kwa kupewa maisha kama tayari amehukumiwa, anaona bora hukumu yake ipite ajue moja.

“Kiukweli Jack anaumwa, alishindwa hata kwenda mahamani, mbaya zaidi hata wakili wake naye hakutokea siku hiyo.
“Halafu kule mahabusu anafanyishwa kazi ngumu ambazo hastahili kama mahabusu na amesema hata watu wake wa karibu ambao anaamini kwa kipindi hiki wangekuwa wanampa faraja hawaoni, anatamani angekamatiwa Bongo labda kuna watu wanapenda kwenda kumtembelea kule Macau lakini hawana uwezo.

“Wabongo wengi ambao wako Macau kwa ajili ya sanaa ya sarakasi ndiyo kidogo wanakwenda kumtembelea siku mojamoja,” alisema Matilda.

Juni 20, mwaka huu, Amani lilizungumza na Mbongo Fleva anayedaiwa ni mtu wa karibu na Jack, Juma Khalid ‘Jux’ na kumuuliza kwa nini hajawahi kwenda kumtembelea ‘bebi’ wake mahabusu kama wanavyofanya Wabongo ambao wako Macau, akajibu:

“Sipendi kusikia ishu yoyote inayomuhusu Jack kwani nina mambo mengi ya kuongelea na si ishu za Jack kila kukicha.

“Kwa kipindi hiki sitahitaji mtu aniulize ishu za Jack, zinanitibua sana na kama kuongelewa zimeshaongelewa hivyo sioni kipya.”

Hii ni mara ya tatu kwa Jack kupanda mahakamani, mara ya kwanza ilikuwa Aprili 10, mwaka huu kosa likiwa kukutwa na madawa ya kulevya tumboni aina ya heroin kete 57 au kilo 1.1 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 223. Mara ya pili ilikuwa Mei 23, mwaka

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jux nae unajipya..kamtembelee muuza sembe mwenzio..jack kubali hukumu ianze unaleta ubishoo katika jumba la christ brown.

    ReplyDelete
  2. Akome name afie uko,eti bora angekamatwa tz kwa sababu ndo kwenye michongo yenu,wakukomeshe na ufe kabla ya hukumu,

    ReplyDelete
  3. Afe tena kidogo labda na wengine watakoma si wamezoea tz mabasha wao wanawatoa tu jela afe tu

    ReplyDelete
  4. kweli uruma nchi ya watu tena awaongei kizungu du cjui anaongea lugha gan msikini mrembo Jack

    ReplyDelete
  5. Hiyo ndo hukumu,yke hapa duniani,kawateketeza maelfu,ya binadam alidhani mungu atanyamaza tu!

    ReplyDelete
  6. na akae milele uko.uko bwa koko uyo

    ReplyDelete
  7. Pole binti mrembo Mungu akufanyie muujiza na uachane na hizo habari, lkn kwanini uuzie watoto wa wenzio sumu inayovuruga maisha ya wenzio, wewe Jack unaujua uchungu wa mtoto kweli? Hiyo adhabu anayopata china ni ndg ukilinganisha na hasara anayopata mzazi wa kitanzania kwa kupoteza nguvu kazi ya taaifa

    ReplyDelete
  8. Kufa tu kumamae zakooo.... Ulkuwa unajiita boss lady kumbe muuza kete tu malaya ww... Fia huko huko china usirudi hata bongo... Hatutaki wachawi huku

    ReplyDelete
  9. kumamae utakoma utagongwa mpaka bas bwege wewe

    ReplyDelete
  10. malipo hapahapa duniani kuharibu akili za wenzenu kisa pesa mliona sifa eeh..... Mstyuuuuuuu eti utembelewe ili.... Kufa huko!

    ReplyDelete
  11. Jamani!! People talks!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad