Hatimaye akaunti ya Twitter ya Diamond yawa Verified.

Diamond Platinumz ambaye kwa sasa yuko Afrika Kusini akijiandaa na shughuli ya utoaji wa tuzo za MTV,leo mtandao wa Twitter umempa umiliki halali wa akaunti yake ya Twitter kwa kuwa Verified.
Diamond Platnumz anaungana na mastar kadhaa wenye  verified kwenye akaunt zao ambao ni pamoja na Rais Jakaya Kikwete,Ambwene Yesaya ‘Ay’,Flavian Matata.January Makamba na baadhi ya mastaa.
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kikwete.ndiye rais.pekee duniani anayesema ikulu hakuna kazi nyingi kama alivyofikiria,rais anayeangalia.mechi zote za nje mpaka usiku wa manane ,rais anayeamka saa 3 asubuhi.na kulala mchana baada ya kula,rais asiyesoma wala kuaandika kitabu chochote,rais mwongo na mswahili wa.kutupwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli mdau lazima apaone hamna kazi cos hata wananchi wake hatumsumbui ingawa tunamatatizo lukuki!wizi wa mali ya uma ndio usiseme lakin yuko kimyaa!naskia atakuwepo kwenye video ya fifty cent nyimbo mpya inatoka mwezi ujao!

      Delete
  2. Mnataka akafagie barabara ndo mjue anafanya kazi? mbona uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo kuweni na adabu huyo ni mkuu wa nchi bana ndo maana kuna watendaji mawaziri. akipenda soka inawauma nn bora yy anapenda michezo nyie mnapenda ngono kutwa kufumaniwa na wake za watu na mahausgel wapumbavu wakubwa

    ReplyDelete
  3. nyie vp hebu achen kubishana ujingaaa fanyen kaz msiongee ujingaaa mwache alewe kwan ana shida gan???????

    ReplyDelete
  4. Nashangaa asante mdau ww ni mtu mwema achana na hao walosoma memkwa kazi kuona makosa ya wengine usimchezee rais jomba utapotezwa mzee ww sugua gaga leo unaenda kopa wapi? kwa mangi au? nauli ya daladala unayo? make maisha yenu ni ya bahati na sibu so fanyeni yenu acheni kumdis president

    ReplyDelete
  5. acha ujinga wewe ulimuona raisi akiamka saa 3 na huwa analala mchana cku za kazi? acha majungu na kukuruputa,hata maraisi wakubwa dunian wana mitandao ya kijamii

    ReplyDelete
  6. Kweli ni mabongo supu.TZ

    ReplyDelete
  7. SMALL MIND DISCUSS PEOPLE ,AVERAGE MIND DISCUSS EVENTS AND GREAT MIND ACTS TUJIPIME TUKO WAPI?????

    ReplyDelete
  8. Anony 10:39 pm umenichekesha sana,hahahaaaaa,kwa kwaa kwaa,teh teh teh,kwl Jakaya ni rais wa pekee ambae hayuko serious kabisaaaaaa. Cku moja unaweza kumkuta Magomeni anakunywa kahawa na kashata chezea mswahili wewe! Utachamba wima!

    ReplyDelete
  9. Nyie mnaomtetea J.K mikundu yenu acheni kujipendekeza angekua hapendi ngono mitoto yote hiyo angeipata wapi? Na bado ndoa ya Vicky Kamata kaizuia yy mbona hamsemi? Rais hayuko serious na mambo ya msingi yuko busy kuzurura dunia mzima kwa kodi za wanannchi wake,na bado maana nimesikia Wanasayansi wa Marekani wanamwandalia safari ya Mars kachoka kuizunguka dunia mpoooooo!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad