Hatimaye Mume wa FLORA MBASHA akamatwa na kutupwa rumande

MSANII Emmanuel Mbasha (32) na mume wa Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, amefikishwa  Mahakama ya Wilaya ya Ilala akikabiliwa na mashitaka mawili likiwemo la ubakaji.
Mshtakiwa huyo ambaye ni mfanyabiashara na mwimbaji alisomewa mashitaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Wilberforce Luago.

Wakili wa Serikali Nassoro Katuga alidai kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo mawili maeneo ya Tabata Kimanga, jijini Dar es Salaam.

Katuga alidai katika shitaka la kwanza kuwa, Mei 23, mwaka huu eneo la Tabata Kimanga, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam,  kinyume cha sheria huku akijua ni kosa alimuingilia kwa nguvu msichana anayedaiwa kuwa shemeji yake (jina limehifadhiwa).

Katika shitaka la pili, ilidaiwa kuwa Mei 25, mwaka huu eneo la Tabata Kimanga, jijini Dar es Salaam, kinyume cha sheria, mshtakiwa alimuingilia kwa nguvu  mfanyakazi wake (jina limehifadhiwa).

Hata hivyo, mshtakiwa alikana mashitaka hayo .Upande wa Jamhuri ulidai kuwa hauna pingamizi la dhamana.

Hakimu Luago alitaja masharti ya dhamana kwa mshtakiwa kuwa na wadhamini wawili, mmoja awe mtumishi wa serikali na mwingine kutoka taasisi inayotambulika watakaosaini hati ya dhamana ya Sh. milioni 5.

Mshtakiwa alishindwa kutimiza masharti ya dhamana hivyo alipelekwa rumande na kesi iliahirishwa hadi Juni 19, mwaka huu itakapotajwa.

Mbasha akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi alisindikizwa katika basi la Jeshi la Magereza kwa ajili ya kwenda kuanza maisha mapya mahabusu ya Keko, jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

42 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mchungaji (fisi) Gwajima ,umemshinda mr.Mbasha ,keshatupwa selo,nyap ya mkewe flora ni yako sasa ujiliee wee mpaka upate ukimwi.

    ReplyDelete
  2. bwana tuekee habari ya binti aliyebakwa mtwara

    ReplyDelete
  3. Wanaume washenz wananitenda kila ck lakn hili namwonea huruma mbasha jmn looh flora huko kwagwajima umekuta kitu gan ambacho mumeo hana??sasa c bora hta ungefnya kimya kimya mbona wamfedhehesha baba wa watu,mtoto mnamuweka katks hali gan?mbona hhuna huruma ww shenzi unatka kuish maisha ya kihun kwan dar umekujs jna mbwa ww

    ReplyDelete
  4. Dah! Nagwajima ameshinda sasa iliyobaki ni kumtafuna mtoto kwa raha zake mpaka tigo itatafunwa.

    ReplyDelete
  5. Mna uhakika gani nyie wote,kwa asilimia mia huyo mbasha ndo mzinzi mkubwa,wala hajasingiziwa!

    ReplyDelete
  6. Flora loh kweli ume.mtenda mume wa ujana wako why ndio kuokoksa sasa gwajima ana mke ata kuoa au ata kichezea tuuuu hun hakili mwanao anajisikiaje u a mweka baba yake ndani kisa umalaya una dhani ukiimba kun.mtu ata kuja tena labda gwajima tuuu huna dabu toa mtoto wa watu mbasha ndani nakuambia upandacho flora uta vuna tuuu

    ReplyDelete
  7. Na kale kadada kazuri zuri kanesingizia kanebakwa kaongo kweli,wala hakajabakwa,ila waseme tu yeye na mbasha wamebakana!

    ReplyDelete
  8. Aibu tupu nyie wote,mnaojiita walokole

    ReplyDelete
  9. Flora ulaaniwe milele,

    ReplyDelete
  10. Gwaji atakuwa amefurahiiiiiiiiiiiiiiiii,haya uwanja wenu.

    ReplyDelete
  11. Tui na Maziwa vitajulikana acheni sheria ifuate Mkondo wake, kama Mbasha anasingiziwa, atatoka tu kama vile paulo na sila walivyo omba na milango ya gereza ikafunga, ila Team Mr Mbasha mjipange maana Mr Mbasha kweli kamla Uroda shemeji yake.

    ReplyDelete
  12. Gwajima malaya sana...mi simsemi kwa ubaya buh kashaeahi kunitongoza na nikamkataa kisa nilikuwa nasali kanisani kwake na anajuana na ma parents hmmm kila ninayemwambia anabisha ooh unamsingizia mchungaji kha Mungu ataniwi uchafu wke uwooo unaanza kuonekana.HAHAHA God z real

    ReplyDelete
  13. I wish ningekuwa mwanasheria ningejitolea kumtetea Mbasha! Jamani jamani Flora elewa malipo ni hapahapa duniani, hivi ulishindwa kumaliza matatizo yenu kifamilia? Sasa umemuadhiria baba wa mtoto wako kiasi hiki sababu ya tamaa ya pesa mwanao anakuonaje sasa? huyo Gwajima amekuahidi nini hasa!?? you gonna pay for this nakwambia Mungu ni wetu sote.

    ReplyDelete
  14. dah si mchezo

    ReplyDelete
  15. wo anonymous wa 10 : 55 PM naomba nitafute niandikie email katika alfredvancarter@gmail.com.....muhimu

    ReplyDelete
  16. Anony 06:54 nimekupenda burrrrreeee makopa mengi mengi kwako...point!

    ReplyDelete
  17. mna hakika ni Gwajima anahusika au maneno yamewajaa. okay mna hakika hajabaka? hv nyie si ndo huwa mnasema humu kila siku watu wakibakwa ohh polisi iwatafte, sijui sheria ichukue mkondo wake. kwa kapuya mliongea sana sasa leo mnataka sheria ipinde hapo. MUNGU WA HAKÄ° AÄ°NGÄ°LÄ°E KATÄ° ALÄ°YEBAKA KAMA KWELÄ° APEWE HAKÄ° YAKE NA ALÄ°YEAÄ°NGÄ°ZÄ°A KAMA KUNA ALÄ°YESÄ°NGÄ°ZÄ°A APEWE HAKÄ° YAKE.tumechoka kuona watoto,wadogo na mahouse giri wakidhalilishwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kesi hii aijakaa kisawasawa,imeibuka pale Mbasha alivyotamka kwamba Anatoa siri Kati ya mkewe na gwamaji.

      Delete
  18. KWA MTAZAMO WANGU, TUPEWE MAJIBU YA HOSPITALI KAMA KWELI HUYU BINTI ALIBAKWA AU LA, NA JE KAMA ALIBAKWA MBONA KUNA UTATA MAKKE ALILAA AKIWA AMEBAKWA, NA MTU ALIYEBAKWA AKIOGA ANAPOTEZA USHAHIDI, KWA HIYO POLISI NA HOSPITALI WANADHIHILISHA HUYU BINTI ALIKUWA AJAOGA SIKU ANAKWENDA KUTOA MASHTAKA? NAIS KUNA KITU HAPA, DAKTARI ATOE MAJIBU YA KWELI, MAKE HUYO ALIYEBAKWA NI MTU ANAEJUA SEX NI NINI TOFAUTI NA WATOTO WANAOBAKWA. MAOVU HAYATETEWI HILA KWA HUYU KUNA UTATA.

    ReplyDelete
  19. Anonymous 8:20 am,ishu siyo hakika ya kubaka kesi ya mbasha hata kama ni kweli amefanya ilibidi wayajadiri na awajibishwe kifamilia,MBASHA NA KAPUYA NI TOFAUTI KESI YAO....HUYO SHEMEJIALIKUA ANASUBIRIA NINI KUMRIPOTI ALIVOMBAKA MARA YA KWANZA?MANAKE ALIFURAHIA DUDU,NA MTU UNAFUNGUA TU MASHTAKA BILA KUWA NA UHAKIKA HATA KAMA ALIPIMWA AKAKUTA NA MICHUBUKO WANAUHAKIKA GANI KAMA MBASHA NDO ANAHUSIKA NA HIYO MICHUBUKO?WALICHUKUA VIPIMO GANI KUHAKIKISHA UKWELI?

    ReplyDelete
  20. MUNGU NDIYE HAKIMU WA UKWELI. TUMWACHIE YEYE, LA MUHIMU KWETUU SOTEE NI KUMWOMBA MUNGU HAKI ITENDEKE. ILA MALIOPO YA MABAYA UNAYOMTENDEA MTU NI HAPAHAPA DUNIANI

    ReplyDelete
  21. anno y hapo juu gwajima anahusika kwa asilimia 100 na ndio zake akimpenda mke wa mtu ujue mumewe anatabu atatafutiea kila mbunu ilimradi achane na mumewe ili ajilie ki ulaini,kwani hujawahi sikia kwenye hekaheka ya dina marios, mwanamke mmoja alikuwa anasali kwenye kanisa lake, walipopata matatizo na mumewe kaenda kushitaki kwa gwajima, gwajima lalimuahidi vitu kede kede na kumtuhumu mumewe, mambo mengi sana mpaka yule dada akamchukia sana mumewe, na gwajima huyo dada alikuwa akisafiri nae mikoa mbalimbali na wanalala wote hotel, but yule dada akashangaa vitu vyote alivyomuahidi atamjengea nyumba atamnunulia gari hakuvifanya na ndo akafunguka akili na kwenda kucomfance kwa mumewe na kumwambia kila kitu. gwajima ni mchawi mkubwa na kulala na wake za watu ni ushirikina mkubwa ili yake yamuendee maana anayofanya ni makubwa na mengi lkn watu hawayaoni wanaendelea kujaa kwenye kanisa na yeye kuendelea kutajirika. na wala hakuna hata sheria inayomkamata gwajima gwajima na kuoaribu ndoa za watu eti mtumishi wa mungu mwe

    ReplyDelete
  22. Kwa akili ya haraka Mbasha kabaka,haijalishi aliyebakwa ni mtu wa aina gani?hata kama ni malaya,kitendo cha kumuingilia mtu bila ridhaa yake ni kubaka.Na kilichomfanya akae mafichoni ni nini?angejisalimisha polisi mara moja baada ya hii tuhuma na kukanusha kama hakufanya.MBASHA AWAJIBISHWE KWA KUBAKA.

    ReplyDelete
  23. ^^^ haha mdau gwajima hapo juu ^^^

    ReplyDelete
  24. Heheeeee et gwajima hapojuu mwenyewe akishuka kuombea watu Ana mabaunsa akipita Kat Kat yawatu.hivi yesu angekuwa na mbwembwe hivyo ingekuaje??acheni kumtania mungu niliendakusali kwake nackurudi tena hamna nguvu za mungu uchawi mtupu ule

    ReplyDelete
  25. Hata hivyo kwa mbasha nimjuaye mimi,florah ni mvumilivu sana,achilia mbali kitendo cha kutoyamaliza mambo kifamilia.

    ReplyDelete
  26. walikuwa wanapendeza,walikuwa kila kona wote kama kumbikumbi,Kweli amejitahidi kuficha madhambi ya mbasha,yaani hili linaloendelea utadhani sinema tu wakati mwingine mtu huamini,
    na yote hayo alibabaika na uzuri wa mr handsome,leo flora kakimbia nyumba yake mwenyewe,mume nae kafichuliwa wapi sijui,shetani mbaya sana.

    ReplyDelete
  27. Mabaunsa 30,wachina wapiga vinanda,Mabaunsa wore wamenunuliwa prado na flora kapewa prado jipyaaaa,acheni kumdhiaki Mungu Jamani kupitia dini ohoooo

    ReplyDelete
  28. Du shetani!!!!kafanya yake,Devil you are a liar.Yani umesambalatisha ndoa ya Mbasha ?mi ningekuwa gwajima ningekesha kuiombea hii ndoa,na sio kutia utambi ili waachane,Si mlisema ndoa za kanisani azivunjiki?kiko wapi?na Flora Jana kala yamini kwamba yeye na Mbasha itabaki kuwa historia,mamaee

    ReplyDelete
  29. Ndoa za kanisani zisizovunjika Ni zile za Bibi zetu,hizo hizoooo,sasa Hivi ukijifanya Eti unganganie kwenye ndoa which doesn't work you will end up getting ukimwi.mume,mke akikuletea za kuleta tupa kuleeee,hakuna cha ndoa za kanisani hapa,kutesana kisaaaaaa?

    ReplyDelete
  30. Flora ni lazima ipo siku utajutia hayo. Tena utalia kwa uchungu bila hata kumwona mtu wa kukusaidia pole sana. Na nimeamini kweli hakuna kuokoka duniani zaidi ya kuongoka

    ReplyDelete
    Replies
    1. Atalia?gwamaji anahela ndefuuuuuu kitachomliza flora Ni nini?tupisheni huko

      Delete
    2. Walokoleeeeeeee Ni wanafikiiiii wanatuubilia tuokoke kumbeeee wanatembea na wake za watu,wanaabudu mafreemason yawazidishie kipato,wanavaa mipete ya kishetani.wamenitokaaaa

      Delete
  31. adin naomba ruhusa na video ya GWAJIMA akimfuata Mbasha kwa hotel sinza imerecodiwa na mfanyakaz wa hotel how can i upload it.... Plz let show peole....Who is GWAJIMA

    ReplyDelete
  32. Ujue hawa walokoleeeeeeee wanavuta watu kimazingara ili wakasali makanisa Yao ,nguvu za ki Mungu Si kwa wazinziiii hizo naziita demonic power.

    ReplyDelete
  33. hahahhahahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaa nacheka sio kwa furaha ila ni uchungu nilionao kwa kasi aliyoishika shetani hasa baada ya haya makanisa ya wachungaji wa kilokole kuruhusiwa badala ya kuleta amani yanaleta matatizo makubwa sana hasa kwenye ndoa za watu. waachane na hayo mauchawi yao watajuta sana siku wananiona mimi napaa zangu mbinguni wakiteketea kwa moto shauri zaooo ohhooooo

    ReplyDelete
  34. Mmmmh move inanoga japo machozi yanitiririka kwa kumuona kaka mzuri kama mbasha anaenda kuozea jela mungu msimamie Huyu kaka

    ReplyDelete
  35. hivi kama Mbasha ana miaka 32,flora ana miaka mingapi kama kambemenda mtoto wa watu size za mbasha ni huyo mdogo wake.hakumbaka walikubaliana hao,hayo mengine ya kupangwa tu.GWAJIMA OYEEE KWA KUMPATA FLORA MZEE MWENZIO

    ReplyDelete
  36. tatizo kuu Mungu na uzinzi wapi na wapi Mungu hayupo kabisa kwenye uzinzi hakuna cha mlokole hapa wala mchungaji uzinzi pekee humtenganisha mtu na Mungu, ss leo itakuwaje aombee watu huku yeye mzinzi, na mbasha wala flora ci walokolehao acha sheria itende haki kwa mwenye makosa........

    ReplyDelete
  37. Frola hana akili kabisa wala hajaokoka na,hana,mungu huyo kama agelikuwa na mungu angemsamehe mume wake na vile vile yangeisha na hao wadada watamsaidia nini au huyo anaetoka nae anamsaidia nini sasa anapata kichwa sababu ya huyo na akimwacha atajuta mume ni mume tu hata afanye madudu gani kama mungu si kutusamehe tusingalikuwepo kulingana na uovu tulionao lakini mungu anasemehe kama kweli ungemjua mungu frola ungemsamehe mume wako muanze upya na hao wadada ungewaondoa nyumbani kwako lakini hukumu ya mungu itatelemka juu yako.kamtoe mumeo acha uchawi na roho ngumu achilia moyo wako

    ReplyDelete
  38. Mtu ni roho, hakuna anayejua mambo ya mtu isipokuwa ni Mungu pekee kwa njia ya Roho takatifu. Suala la ushabiki ni kazi ya nyoka na kizazi chake siyo sisi wana wa Mungu. Someni maandiko, ndipo mtakaposema vinginevyo na ninyi mtaingia katika laana. Jambo hili lisiwe kama la loliondo, kuingia watu wote watumishi na wasio waumini wa kanisa.
    Yesu alisema mtaifahamu kweli nayo itawaweka huru, ibilisi ndiyo baba wa uongo naye yupo kazini tangia mwanzo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad