Hatupendi Kuwa na Historia Mbaya kuwa na Wanaume weng ila Inabidi

Mwanaume wa kwanza, nilikutana nae kidato cha tano lakini baada ya matokeo kidato cha sita aliniacha eti kwa sababu mimi nimefauru hivyo chuo lazima nitamsaliti nilimsihi sana kwa sababu niliamini,kuna maisha zaidi ya elimu but ugomvi kila siku nikaamua kuachana nae japo tulipendana sana.

Mwanaume wa pili huyu alinipenda sana lakini kumbe alikuwa na mtu mwingine before ambae ni rafiki yangu nae hakutambua kuwa mimi na yule dada ni marafiki. 

Lakin baada ya kungundua alinambia anamuacha coz ni kweli alinipenda nikamweleza mimi namuacha coz sipendi zaidi, aendelee na rafiki yangu na nilimuacha.

Mwaume wa tatu huyu nilianza nae nikiwa second year first semister, kijana ni mchaga jamani wachaga wanapenda asikwambie mtu nilienjoy aisee huyu kaka, kaka alipenda mpaka kasahau kusoma na course yake ni ngumu kisa kakolea mapenzini akadisco mwaka wa 3.

Kaenda kitaa na bado alinipenda zaidi kumbe huyu kaka nae ni yatima hivyo alikuwa anasomeshwa na mdada ili baadae waoane kaka kakutana na mimi kasahau fadhila za yule dada.

ATM ya mdada mimi niliishi nayo na kuchukua pesa nitakavyo bila kujua ni ya mwanamke jamani huruma. Kijana kafeli kaenda kwa mdada wake lakini bado anawasiliana na mimi.

Siku ya siku mdada kanitafuta analia vibaya mno jamaa kamwambia hampendi ananipenda mimi kwa kweli niliona machozi ya yule dada yananiletea mkosi, nilimwacha japo mpaka sasa ananipenda sikuweza kuendelea nae sitaki ni muongo.

Mwanaume wa 4, jamani huyu ni Dk hosipital 1 hapa Dar jamani, kaka sikujua ni mhuni kiasi hiki, ajabu alinipenda mpaka sikuweza kutambua tabia yake.
Kila akisema anataka kujitambulisha home moyo wangu ulisita sana, jamani nilimfumania, nikamwacha.

Sasa kumbe sikujua ameniweka moyon na alinitegemea kuwa mke now ninavyosema alichanganyikiwa mpaka alikosea kumtibu mgonjwa kamletea matatizo alisimamishwa kazi. Ila karudishwa now mimi sikumuhitaji sio mwaminifu angenisumbua sana.

Mwanaume wa tano huyu alikuwa anaishi Marekani kule alienda kimasomo ,kumbe tayari alikwisha oa ila waliachana na mkewe baada ya miaka 3 tena kaoa kwa taratibu za kikanisa, mimi sikujua kabisa, alinipenda sana but ukweli hawezi kuoa tena kwa taratibu za kikanisa ila mtaishi kama wazinifu tu,pia sikumumini sana.


Mwanaume wa sita, jamani before sijampata mwanaume huyu kwanza nilikaa miaka 3 single, nilimuomba mungu sana msamaha na kuvunja mikosi, sasa mimi nilibadilishwa na kuwa mwingine.

Tena roho mtakatifualizidi kukaa ndani yangu na hata sasa, nilipata mume na sasa nimeolewa, mume wangu nampenda na ana hofu ya mungu.

Ushauri, mume bora hutoka kwa mungu , na acha historia yako ya nyuma wala isikuumize wanaume waoaji wapo, tena ukiomba kwa kumaanisha

Pili usivunje amri ya sita wala usiruhusu kujuana na mwanaume kabla ya ndoa nimejifunza mengi sana.
Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kahaba tu wewe....una nini kikubwa mpaka ufelishe watu na kufanya wengine wasahau kazi zao.....kwenda zako kuleee.

    ReplyDelete
  2. Du! We pia hufai hata hiyo ndoa yko ipo mashakani,huna ngoma kweli!! Hao wote wamekupitia n short hufai

    ReplyDelete
  3. mnamshangaa Huyo hadi sasa nimeshakuwa na wanaume zaidi ya 15 na wote nimelala nao kila mmoja na kituko chake unaacha unasonga mbele na maisha

    ReplyDelete
  4. Hee sita watu tunafikisha sabini na ushee wa ajabu wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sihawa punguani wangese wanaomtukana huyo dada watu mabasi makubwa yanajaa kumi natumeolewa natumezaa watoto tumetulia.naolewake mume aniletee chefu ataisoma namba unyama unyamani.umechoka niambie sio vituko.utaniamshakichaa changu chazamani utajuta kunitambua.wachezee haohao wanawake wapole wanaovumilia mpaka wanapata maradhi yakuletewa.yaniwangu akianza tu ujinga nikijua nanimeshamwambia hataamini kama mimi nimkewe nitakavyomfanya.

      Delete
  5. Mme bora ni mimi tu...ntafute k...

    ReplyDelete
  6. Mme bora ni mimi tu...ntafute k...

    ReplyDelete
  7. yan watu tuna msururu hapa,,, ukipanga mstari mpk airport, lkn maisha yanaendelea kama kaawaa.... Mtu akileta ungese unapiga chini na maisha yanasonga

    ReplyDelete
  8. yan watu tuna msururu hapa,,, ukipanga mstari mpk airport, lkn maisha yanaendelea kama kaawaa.... Mtu akileta ungese unapiga chini na maisha yanasonga

    ReplyDelete
  9. Heeh! comments jamani zmeniacha hoi.
    Ngoja tu na mm nijipitie zangu....

    ReplyDelete
  10. Siku zote malaya ni mwanamke na siyo mwanaume, sasa na sisi tunawapiga chini kama kawaida haogopwi mtu kila mtu na uhuru wake.wewe ndiyo mwenye ngoma nenda kaanike ilie vizuri.

    ReplyDelete
  11. Ukipanda bus likiharibika njiani unaliacha unapanda jingine unaendelea na safari likiharibika unapanda jingine haijalishi ni mangapi cha msingi ni kufika mwisho wa safari yako napita tu...

    ReplyDelete
  12. kweli madada wote malaya mimi kwanza ata sioi mchezo kugonga nakuacha mpaka kieleweke

    ReplyDelete
    Replies
    1. We Antony peleka mboroyako iliyopinda jando huko.akuanzae mmalize Malaya sikuzote mwanamke ilanyie wanaume tuwaiteje mabashaa?nyooo kama mnavyobadilisha wanawake nawanawake watawabadilisha mpaka kileweke.uzuri hela tunajua kuitafuta hababaishwi mtu now.ni heshima inatakiwa muheshimu mwanamke nawe akuheshimu wewe.km Eva alimshawishi Adam akala tunda ukaeukijua mwanamke huwez muweza kichwani Hasa ukimpata anaejitambua.so usipende kutukana wanawake bila sababu wakat wewe hapo ulipo muoga wa maisha na majanga.unajua ladha ya mke wewe?kama hujapata aliekupa mungu subiri utapata au endelea kubaraluka nawanawake nawenyewe watakubalalua vilevile.

      Delete
  13. Utajikuta unagongwa ww unaachwa

    ReplyDelete
  14. Dah! Wanaume wote hao lazima utakuwa umeraruliwa mbele na nyuma kwa sana so sidhani kama huyo mmeo kuna ladha anaipata hapo

    ReplyDelete
    Replies
    1. na wewe huyo mke utakaeoa wala c bikra mana keshapitia wanaume kibao wengine huwafahamu wengine unawafahamu!!!!

      Delete
  15. ladha ipo kama kawaaa....acha chuki

    ReplyDelete
  16. Umeonaeeeh, utamu uko pale pale idad sio inshu, ni mapito tu ktk maisha watu tuli kuwa na idad mpka bac, lakini mwisho wa ck tume olewa na kutulia na tuna heshimika ktk jamii

    ReplyDelete
  17. Hiv hao wanaume wanaosema pointless wameoa mabikra 😳 sasa kama hamjui hao mlionao wanafcha idadi washapita sehemu laki.tisa.hahahaha unaambiwa 'honey we ni wa pili' jinsi ulivo mburura unakubali looh

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad