Muna akiwa kwenye pozi tata
Msanii wa filamu nchini Hemedy aka PHD mwenye mikogo kuzidi mabilioni ya Dr dre amesema baada ya kuchafua sana sasa anataka kutulia na kuoa kabisa.Hemedy alisema hayo alipokuwa akiongea na paparazi, Phd alisema kuwa "Nimechafua sana more than sana nikaona hii bora iishe maana mama yangu anataka vitu ving kutoka kwangu so nimepata msichana ninaye mpenda na yeye ananipenda so natarajia kufunga ndoa mwezi november
haya kila la kheri labda ukioa utaacha na mashauzi
ReplyDeleteMashauzi kama dem
ReplyDeleteoa sasa but mind you muosha huoshwa
ReplyDeleteKuchafua sana Siyo sifa... kama Kuchafua sana jua na uyo ulieku
ReplyDeletewa nae ameshachafuliwa sana.. Ol in ol hongera brother.
Hata unaetaka kuoa alishachafuliwa kwa saaaana
ReplyDeleteHapo mwanangu umebug we mweupe mke mweupe mnategemea mnatafuta nn changanya rang bb
ReplyDeleteNapita mie
ReplyDeleteNdoa ndoana"! Nina hamu na wanawake wanaojifanya wazuri! Wengi wao ni vimeo!!
ReplyDeletekachukua mweupe anataka kuzaa waarab
ReplyDeleteyani huyu jamaa anatabia za kisenge kweli,yani unajisifia kuchafua wanawake?we kweli msenge.tafuta pesa acha sifa zakibwege.uyo dem mwenyewe unaemuita wewe mkeo watu wamepita kibao2 we unafkili hatumfahamu?
ReplyDeleteHongera Hemed! Now umekua sasa, gud!!!!!!!!
ReplyDeleteHuyo demu mwenyewe picha ni photo shop angalia vizuri ukuta nawenyewe haujakaa sawa hata mlango na wenyewe ameu photi shop pia kavuta matako mpaka vitu vingine duh hatari kweli kweli!siku hizi kama demu humjui halafu akaku postia picha kaa nae makini sana!
ReplyDeletemhhh! kisa anamatako makubwa ndo unafkir atakua mtam ...mchungu ka shubir me mwenyewe nsha muonja....
ReplyDelete11.:46 AM.kuwa na rangi tofauti ww kwani unaolea rangi? unakua kama umeyajua mapenzi leo. hmd uache mashauzi.
ReplyDeletehuyu laziama wakusaidie mzee... hakikisha huishiwi hela muzee
ReplyDeleteKumbe hemed rijali...kachezea mabinti au kachezewa wakamtosa wajanja wakampora oa sasa tuje tuchezee mkeo vizuri..mwanamke mwerevu hawezi kufurahia kauli yako umechezea wengi so anaolewa na malaya ruksa na yeye kuchezea kma wewe ndio mtulie...
ReplyDeletehongera hemedi,ila usije kumutenda mwenzio maana nyie nae hamkawii,mpenzi wako ni mzuri kiukweli sasa tulia kweli kaka
ReplyDeleteHuyu phd feki mashauzi sana mamae zake. Kazi kujipodoa tu
ReplyDeleteMbona huyo mwanamke Kama mkubwa kuliko hemed kama shangazi yake pia cha kusikitisha unajisifia kutembea na watu wengi alafu unayemuoa anajua hivyo jua umempata wa kufanana na wewe pia kuoa unaoa pale unapoona ur ready to do so sio coz ur mum anataka kuoa hongera Kama utaoa uache kumuasi mungu through phonication
ReplyDeleteAll the best
ReplyDeleteHapo ni kama kesi ya Pwagu unaipeleka kwa Pwaguzi,,,Hemed we mashauz na kidemu chenyewe chaonekana mishebeduo kibao,,hivi unategemea ndoa kweli hapo?? I aint sure ila November sio mbali tusubiri tucheki movie iendelee....
ReplyDeletedemu mwenyewe ndio huyo!si umuoe lulu...tena wote wasanii au kafufi sana ?ila hata wewe mfupi
ReplyDeleteLo! ana nyuma kweli
ReplyDeletempenda vya wenziwe na vyake vitaliwa. Jilipizeni sasa
ReplyDeleteok ok sitarudia tena..kila mtu afiche poda zake...ndani kama gaza....mara wanja wangu uko wapi hemedi atauliza....mara haa babe umevaa na chupi yangu...mara lips tiki siioni nipe waleti nikusearch ...jamani eyeboll zangu ..haa babe utajaribuje high hill zangu...mh...na mie nije kwenye kicheni party...mimi na wewe nani mzuri honey
ReplyDeleteUmechafua wapi wewe kibamia! Huna lolote kitandani mpaka upepewe! kigoal kimoja cha mapajani hata ndani hakijafika unajisifia?? Ni handsome lakini kitandani full mdebwedo!
ReplyDeleteDuh kama kibamia, huyo demu lazima amegwe mjini hapa! Ngoja tuzichange utajuta kuropoka ropoka wakati wewe joka la kibisa!
ReplyDeleteHuyo ata mie nitamapasua hemed awezi kumtunza huyoo hemed ata houseboy wangu anaweza kukugongea huyo malaya wako kama ulichezea wa wezako jiandae na wwatu wamkojolee mkeo kwangu atakuja kufua shuka huyoo
ReplyDelete