Henry Kilewo Asema Kuna Mkono wa Mtu Kuchomwa Soko la Karume..Historia Inaonyesha


"Nikiwa kama kiongozi wa Chama ndani ya jiji la Dar es salaam, ninalaani tukio la uchomwaji moto la wafanyabiashara wadogo Karume jijini Dar es salaam. Kilichofanyika ni unyama wa hali ya juu na unapaswa kupingwa na wananchi wote.

Historia inaonyesha kuwa kila serikali itakapo Wafanyabishara kuondoka maeneo fulani ya biashara basi maeneo hayo hukubwa na moto. Mfano Mwanga kilimanjaro, Moshi, mbeya na sasa Dar es salaam.

Ili kukomesha vitendo hivi dhalimu wafanyabiashara wa Karume popote pale mlipo unganisheni nguvu zenu kupinga udhalimu huu na Kamwe msiondoke mpaka mtakapo pata haki zenu za msingi ikiwamo haki ya kulipwa gharama ya hasara mliyoingia..

Kumbukeni Haki haiombwi bali huchukliwe(Nobody can give u freedom but you take it )"
 Henry Kilewo
Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bwana Kileo mimi ni CDM ila kuna wakati naona kama siasa zinawazidi akili vile.
    How can u be so sure kama pamechomwa makusudi kama huja participate kwenye uchomaji?
    Acheni kuongea upuuzi bwana mnakiharibu chama cc ni wasomi we can reason out. Sio rahisi serikali kufanya hivo vile inataka kura zao hao more so serikali ganiinafurahi watu wake kuteseka?
    Hapo mimi ungesema short ya umeme na manyaya ya kichina haya haraka ningeelewa.
    Na napenda kukuhakikishia bwana Kileo maduka na masoko huungua kwa shoti ya umeme kwa sababu machinga hutumia vitu cheap vya kichina kama extention cables za bei poa bila kujua madhara.
    Hakuna chinga atanunua extention cable ya elfu 30 au wall socket ya elfu 15.
    Hio ndo sababu ya moto mara nyingi.

    ReplyDelete
  2. Hivi ww kiongozi unahakili kweli unauhakika gani km serikali imechoma ikiw nawe ni kiongozi bs ww umo kwenye huo uovu km kweli.Ongea fact na sio kuleta uchochezi inamaana bs popote moto ukitokea serikali ndio chanzo.Nonsense

    ReplyDelete
  3. Wewe kiongozi acha kuropoka kabla ya kufikiri. Kwanza unawaambia waende wakalalamike ili walipwe nani atakayewalipa wakati wameshaambiwa watoke hapo hawasikii lingeungua lile walilojengewa wangelipwa ila hapo hakuna atakayepewa hata mia acha kuwadanganya wenzio wape mawazo mengine sio hayo ya kuwapotosha.

    ReplyDelete
  4. Nyie kwa nini hamjiulizi kulikua na garo mpja tu faya wakati moto ulipo na makao ya fire ni kilometa moja tu kwa kawaida ulitegemea kwa moto mkubwa kama huo hata magari binafsi sembuse ya kikosi cha bandari na jeshi yasingeweza kukosa lkn ktk hali ya kushangaza kbs haikua hivyo hala na hili la mstahiki meya kuahidi kufidia nalo limekaaje?

    ReplyDelete
  5. msitumie maafa kufanyia kampenu zenu ivi nyiye mkichukua nchi ndiyo maafa atawezi tokea au msifikili wa tz wajinga kuhivyo

    ReplyDelete
  6. Kilewo ni wale wale waliofeli maisha wanataka siasa iwabebe kwa gharama za damu za watu. Huyu na wale wakubwa zake watatu Kule juu cdm wote huongea pumba tu wapate sofa za kijinga bila kutafakari matokeo ya kauli zao chafu.

    ReplyDelete
  7. Sifa sorry sio sofa. Ila tumekuelewa hawa jamaa ni wajinga Sana. Watanzania wameamka.

    ReplyDelete
  8. jinsi ya kutengeneza pesa kupitia computer yako

    ReplyDelete
  9. Mara nyingi hata wachawi hutumia kauli za watu, wakiona mnagombana na mmoja akasema utaona, wao hutengeneza yao ili sliyesema utaona aonekane mbaya, serikali imetaka wamachinga wahame, kilewo kasikia kaenda tengeneza yake ili Serikali iwe mbaya. Tuwe makini na hizi siasa za TZ. Na kuna makabila pesa ziko kwenye ubongo kuliko utu na hekima.

    ReplyDelete
  10. kilewo usituletee porojo zenu za uongo hapa, hapo karume usikute ni shoti tu, so ucpotoshe uma kwa kulifanya janga ilo kua kampeni zenu za kisiasa

    ReplyDelete
  11. Kileo fikiri kabla hujaongea huo ujinga wako.......!!!!!usiwadanganye watanzania masikini wenzako kwa mawazo hayo ya kipumbavu na yaliyokosa upeo

    ReplyDelete
  12. Acha kutafuta kick

    ReplyDelete
  13. huyo annoy hapo juu tena hapana serikali haiwezi kufanya upuuzi huo halafu eti iwasaidie we annoy huna akili kabisa kama umeshindwa la ku comment nyamaza bana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad