Hermy B Afunguka Kuhusu Mtu Aliyemkosanisha na Wasanii wa B’Hits

Producer na CEO wa B’Hits Hermy B ameamua kufunguka ya moyoni kuhusiana na mtu wa karibu yake anayeamini kuwa ndiye aliyemkosanisha na wasanii wa B’Hits ambao kwa sasa hawako naye tena. Kupitia Twitter, Hermy amesema B’Hits ilivunjwa kutokana na maneno ya watu.

Leo natoa ya moyoni,Group ya Bhitz ilivunjwa kutokana na majungu na maneno ya watu ambao wengine ni marafiki zangu wa karibu sana na nawajua

— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014

Na ushahidi wa nani amehusika kwenye kututenganisha tunao…hibi nimewakosea nini jamani…hiki kipaji tumepewa na mungu na ni kwa nia nzuri

— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014

Wengi weni hamjui but maugomvi yote yale yametengenezwa na inauma kugundua kuwa nina marafiki ambao ni wanafki na hawanitakii mema.

— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014

Siku Pancho joined Bhitz,mmoja wa rafiki wanafki akamfata na kumueleza kuwa aache kazi bhitz…leo hii pancho ndo bhitz…huo ni urafiki au?

— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014

Vita ya ay na mwanaFA ilitengenezwa na mtu wote mnamjua..hivi kweli mimi ni wa kudai mamilioni kwa watu ambao tumeanzia kwenye shida pamoja?

— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014

Kuna vingi jamii imepotoshwa kuhusu utendaji wetu na mengine…hamjui mengi coz tumekaa kimya…but ipo siku ntafunguka na kutaja majina

— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014

Imajin mpaka nyimbo za bhitz hazipigwi kwenye baadhi ya radio but kwenye radio yangu nawapa full rotation bila kubana..hii ni haki?wanajijua

— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014

Ipo siku wote tutarudi studio & do wat we do best,sitoacha kutoa nyimbo coz jamii lazima itambue uwezo wao,Bhitz and that team was the BOMB

— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sio cri hermy b unajickia sana....lol

    ReplyDelete
  2. wewe apo juu unakichaa anajisikia ushawai msalimia akautemea mate..? ovyoo well mimi nampenda hermy, pancgo, amani, dj choka wanajitahidi sana so pita kimya kama huna la kusema...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad