Hiki Ndicho Alikiandika Flora Mbasha Jana

Kama unaweza kushiriki maombi haya pamoja nami, Mungu akukumbuke, na kama upo kwa ajili ya kuhukumu, pia Mungu akukumbuke. Math7:1 Msihukumu msije mkahukumiwa ninyi, kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayo hukumuwa; na kipimo kile mpimiacho ndicho mtakacho pimiwa.
Math5:44 Lakini mimi nawaambia, wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi.
‘ Mungu wewe ni Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu. wewe ni Mkuu sana, wewe ni mwanzo tena mwisho zaidi yako hakuna na hatakuwepo. umesema ktk 1wathesalonike5:18 shukuruni kwa kila jambo maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu ktk kristo Yesu. ahsante Mungu maana wewe uliijua jana yangu, leo na kesho itakuwaje.Mungu wa amani unitakase kabisa nafsi yangu, mwili wangu na roho yangu unihifadhi, wewe BWANA ni mwaminifu.
Ktk Isaya43;19 umesema,Tazama nitatenda neno jipya: sasa litachipuka je hamtalijua sasa? nitafanya njia hata jangwani na miito ya maji nyikani. BWANA mapenzi yako yatimizwe, tenda lililo kusudi lako juu yangu. ktk Math14:14 umesema, mkiniomba neno lolote kwa jina langu nitalifanya. ukasema ktk Marko10:27 Yesu akawakazia macho akasema, kwa wanadamu haiwezekani, bali kwa Mungu sivyo: maana yote yanawezekana kwa Mungu.
Maombolezo3:31-32 Kwa kuwa BWANA hatamtupa mtu hata milele, maana ajapo mhuzunisha atamrehemu kwa kadiri ya wingi wa huruma zake.
Mungu inua moyo wangu sasa, wewe ndiyo msaada pekee wa kweli. Ninaamini utatenda makuu kama ilivyoandikwa ktk Zaburi 108;13 Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu, maana yeye atawakanyaga watesi wetu. Bwana wewe ni mtu wa vita, Bwana ndilo jina lako,pigana sasa ninakuachia wewe.
ninashuka mbele zako ninaungana na wenye uhai wanne ktk Ufunuo4;6-11 kukuabudu wewe nikisema, 11 Umestahili wewe BWANA wetu na MUNGU wetu,kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako navyo vikaumbwa.
Zab23;4 Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya, kwa maana wewe upo pamoja nami.
AMEN

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwendraaaaaaaaaa mnafiki ww tena inatakiwa uuwawe mb......... Ww

    ReplyDelete
    Replies
    1. Flora huna uwezo wa kuijua mistari yote hii,ni hawara yako Gwajima amekuletea chumbani pale hotelini sinza na kukukaririsha kama kasuku.

      Delete
    2. Copy and paste!!

      Delete
  2. Unachomba mfala mkubwa wewe ni nini tangu 2mekushaur ulkuwa wap mbona we umemhukumu mumeo mbakaj peleka umbea kwa shetan wako Mungu wa kwel na wa aman ungekuwa unamjua ungemwomba mapema arudishe aman ya ndoa yako kabla ya yote.

    ReplyDelete
  3. Nyokooooo... unamjua mungu wewe au ulikuwa unatafuta mashair huko nyooo e si umesema utaki ndoa unataka funga mtu sasa nin na miztar ya bible nyooo... una lolote

    ReplyDelete
  4. Axee kumbe watenda dhambi hawajitambui et!

    ReplyDelete
  5. Hii mistari umekaririshwa tu ni sawa na mfanyabiashara anayepiga nyimbo za injili kwenye baa yake akifurahia walevi wanavyocheza. Jifunze kusamehe kwanza.

    ReplyDelete
  6. duh!!! wanadamu sisi!!!!!!!
    sasa dada wawatu kawakosea nini!!!
    mungu anawaona hukohuko mlipo!!!!!
    na mtubu kwa hili kabla Mungu hajayatazama machozi ya flora!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona yeye hakutazama machozi ya mumewe?

      Delete
  7. amen,mungu awe pamojanawe ktk pito hili usihuzunike maana yupo aliye rafiki wakweli yesu krito atakutetea saa namajira yake yatakapotimia,simama imara nawala usiteteleke kwa maneno yawanadamu wewe sema na mungu.pole sana dada .

    ReplyDelete
  8. kumanina zako!! Endelea kutiwa na tapeli mwenzio Ngwajima, kama unajua kusamehe anza kumsamehe mumeo...

    ReplyDelete
  9. tuachieni dini zetu!! Endeleeni na umalaya wenu... Umenogewa na penzi la tapeli mpaka unataka kumfunga mumeo..

    ReplyDelete
  10. Ni hivi:-

    MUNGU ninayemuamini amemuweka Mwanamke chini ya Mume wake, rejea Bustani ya Eden,

    - Hawa alipokula tunda Mungu hakujitokeza hadi pale Adamu alipokula maana Mungu alimuweka Hawa chini ya Adamu... Wazungu wanaita chain of Command

    Hata hivyo MUNGU alimpa nguvu ya kuweza kumlinda Mwanaume dhidi ya maovu

    Mbasha asingeweza kubaka kama angepata haki yake kama mume kwa Flora, na kama Flora angejishusha na kutafuta solution ya ndoa yake,

    Sikumbuki vifungu, ila mfano mzuri kwenye hiyo biblia, ni Nabali alipomtukana Mfalme Daudi, na Mfalme Daudi akataka kumuua Nabali, ila Mkewe alimwendea mfalme akamuomba na kumsihi amsamehe maana hata jina la Mume wake linadhihirisha mume ni mpumbavu

    Na nabali alisamehewa kutokana na machozi ya mkewe, Rose mhando kaimba

    Nyingine, ni "tuwapate wapi wanawake wanaojua kuomboleza" mwanamke unapaswa uomboleze na umuombe Mungu ampe hekima Mume wako, yeye ndiye dira yako

    Mungu, hapokei sala yako kama hujapatana na adui yako, vipi wewe unataka sala yako ipokelewe ilhali umuheshimu Bosi wako?

    Flora sikuhukumu, ila utajifariji kwa maandiko mengi, lakini umekosea.. Kabla ya kumfikia Mungu, unapaswa uipate Amani ya Mbasha

    ReplyDelete
  11. Duu Mungu anamuona msemakweli kwa sababu popote pana msemakweli kati ya Flora, Mumewe, serikali na mnaotoa comments zenu, angalieni kweli msije hukumiwa kwa uongo.

    ReplyDelete
  12. Mungu wetu ni wa rehema wengi tunatenda dhambi kuliko hata jinsi tunavyoihukumu familia ya Frola na mumewe ukweli anaujua Mungu tu, kwa upande wangu naelewa anachopitia kwa maana hakujua wala kufikiri kuwa kuna majuto mbele katika kila tuyafanyayo

    ReplyDelete
  13. Flora flora unatuaibisha wewe ujasameeee utaendaje mbele za Mungu acha unafiki bhana!

    ReplyDelete
  14. Malizana na mbasha kwanza ndio umfuate mungu maana yeye mwenyewe alisema haiwezekani umchukie unayemuona alafu umpende yeye usiyemuona huo ni unafiki. Kwa ushauri wangu ni kwenda kumfuata mbasha myamalize maana najua unajua hukumu ya kubaka. Mfano mzuri ni babu sea ni takribani miaka 14 sasa yuko jela je inapendeza kwako. Na ukumbuke wewe ni mkristo huruhusiwi kufunga ndoa nyingine

    ReplyDelete
  15. Maombi hayo hayatoki moyoni.anamcheka mumewe
    Flora alianza uzinzi akiwa n'a umrimdogo alishashindikqna kwao
    Sijui alisoma .............mzinzi mkubwa,tulishamchoka mbasha alibe a garasha

    ReplyDelete
  16. Unajua! Mbasha alikua anaenda njia ya halali ss gwajima anakula TIGO frola kanogewa kupigwa TIGO ndio maana anataka kumfunga ili aendelee kufilwa na gwajima wake!

    ReplyDelete
  17. Maiisha ya ndoaaaa yafananishwa na safari, nakupenda mpenz wanguuu maana WEWE ULNIPENDAAA ukanichaguaaa niwe wakoooo! Florah unaukumbuka huu wimbo? Ukarudi tena fanya nja bwaaaana fanya njia bwanaaaa hii njia ni ile ya kwenda UFUFUO NA UZIMA kwa mchepuko wako? hebu tazama mwenzio Shusho anavyojiheshimu, marehemu Angela na mumewe walivyokua, unafikiri wao walikua hawapitii magumu? Florah huo utamu wa Tukuyu upo tu, nenda kafute kesi, sitisha michepuko yako njoo tuombe, tutaomba vipi ikiwa mioyo yetu inatusuta? Ni muda gani ulipita tangu ulipompa mumeo haki yake ya ndoa hadi siku hiyo akaamua kubaka?

    ReplyDelete
  18. watu wanahaki ya kumkashifu frola make mimi binafsi nilimuona frola kabarikiwa kwa kuwa na uwoga na uwepo wa mungu kwake, sasa mme kweli kafanya kosa, yeye alivyojiita mtu wa mungu angeyamaliza kidini, watu wangewaheshimu kweli, hata kama yangefahamika kwa watu na hali wameshasuruhisha kidini watu tusingehukumu. TATIZO LINAKUJA WALISHAUAMBIA UMMA KWAMBA WAO NI WATU WA YESU SASA INAKUWAJE SHAURI YA TATIZO LAO INAHUKUMIWA KIDUNIA?

    ReplyDelete
  19. Ukimtazama vizuri Florah kwenye ile clip anayojieleza kuwa Mbasha alinibana koo hadi nikapiga kelele, ndio akaniachia nikaamua kwenda kanisani, utagundua kitu kwenye macho yake, hayatulii kabisa yani anaonekana ni mtu aliekariri kaubunifu fulani kauongo ili nae anaonekane alitaka kuuwawa, hlf anasema nikamuuliza Emma umerogwa? Maana hakua sawa. Sasa kama ulimuona muda wote huo mumeo hayupo sawa kwanini uliondoka bila kuhakikisha hali ya mumeo inatengamaa? Huwa haujui wenzetu wa Mara wakitaka tamu wanapigana japo kibao tu mama anagundua anatoa mechi, sasa kwanini ulivyokabwa hukuhisi kama Emma atakua anataka tamu? Basi kama ni kweli alibaka alikua hayupo sawa kama maelezo yako ya awali yanavyosema? kwanini umpeleke police ilihali hali yake yakuvurugika akili uliiona mapema? Huna jipya Florah mumeo akifungwa ujue kabisa umesababisha sisi tabia unazosema umevumilia hatujui, ndio ungekaa miaka 12 bila kusema? kwa jinsi ninavyouona huo mdomo wako hata kama hajatahiri ungesema unaropoka sana we mdada, hivi ulifundwa kweli! Au wkt wanakufunda wewe ulikua unamuwaza Gw****a

    ReplyDelete
  20. Flora, mbasha mi mume wako tu! Camini kama kuna mwingine anaweza kutokea ukamuita mume labda kifo kimuondoe mmoja wenu. Mungu wetu aliona mioyo yetu ndio maana akaweka neno msamaha msamehe mumeo ili nawe upate amani

    ReplyDelete
  21. Maombi na picha yako ya kimahaba ivoo......kipindi hiki fanya maombi kimyamkimya......kupitia mtandaoni unafeli.....pole.....pepo la ngono lina nguvu.....gym unafanyaga maombi nn?mana unaenda alfajiri unarudi saa 5 asubuhi....unaenda tena jioni saa 11 unarudi 6 usiku....eeehh

    ReplyDelete
  22. Flora unamjua mungu sana pia na mtendo ya mungu unayajua ila umejitia unajisi mwenyewe kwa kumhukumu mume wako alafu leo unasema anayehukumu ahukumiwe je na nawe uhukumiwe kwa kushindwa kupeleka shauri la mumeo kwa wachungaji ukadiriki kulipeleka kwa mataafa ili wahukumu? huoni kwamba hujamtendea haki mwenza wako hata kama alikosa usingejaribu kuinua mdomo wako na kumshauri mdogo wako aende polisi hapo hata wewe umetenda kosa ila sikwamba nakuhukumu ila nakufunulia tu ambayo hukuyatekeleza ukiwa mwanamke ambaye tulikuona unahekima na uvumilivu

    ReplyDelete
  23. tubu dhambi zako kwanza kabla ya kufanya maombi, kama kuna mtu anakufundisha hiyo mistari mwambie aache usanii, principle ni kutubu dhambi dhako, kusamehe wale wote waliokukosea then ndio unafanya maombi mengine, mbona biblia iko wazi

    ReplyDelete
  24. kwendraaa sikutaka hata kumaliza kusoma ujinga wako malaya mkubwa wewe

    ReplyDelete
  25. Leo ndo unakumbuka maandiko mwanamke huna hata chembe ya uruma na mume wako aiye bakwa unavyo sema wewe kisha cheza movie ya ngono na mrisho ngasa kisha juwa kila kitu sowakubwakwa tena huyo na kwenye movie mbona hukusema chochote acha unafaki kama hulikuwa humuyitaji mee wako tena umesha mpata bwana mwingine ungemtaarifu sompaka umfanyie unyama wakumfikisha gerezani yani niyayako umaalize ili u enjoy life yako toka lini mkee wa mtuu akalale hotel .... Nimipango ulisha panga na huyo zembe mwenzako ila nayeye akumbuke aliye tendewa ni dume mwenzake nayeye ajiyandaye .....

    ReplyDelete
  26. Navoona mimi ukweli kuhusu hili ni mgumu kuujua sababu
    01) No way kwamba binti alibakwa kwa kuwa kubakwa huwa hakuwi kwa siku 3.
    02) Hakuna uhakika kama mbasha hajawahi kuwa na uhusiano na msichana huyo .
    03) upo uwezekano frola hakuwahi tembea na gwajima kwa kuwa hakuna ushahidi.

    Cha msingi tumuombe mungu aipitishe salama ndoa yao kwa hili hususan mapenzi yake yesu yatimizwe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We kwa akili yako timamu mwanaume akupeleke Uingereza ukasome bureeee,akununulie prado bureeeee akulipie hotel bureeeee mwaka mzima,akutunze na asomeshe binti Yake bureeee,Mchungaji gwamaji atakuwa Ni Wa pekee kutoa huduma zote free of charge.wachungaji wabahili muige mfano Wa kusaidia Watu wenye uhitaji kama Huyu Mchungaji .

      Delete
  27. usijikoshe mbele za watu wewe ushaamua kumuingiza mweinzio katika janga bas kaa kimya hatukufagilii wala nini

    ReplyDelete
  28. samehe mara sabini iko wap?yesu asinge samehe unge kuwa wap?
    unakimbia kwako walala gest,kwa gwaijima mmmh.jamii inakushanga sana.na hata huko kuokoka kwako n bure.toka cku hapo nmekuchkia na cd zako nmesha zipasua.utaumbuka tu haki ya mtu haipotei bali huchelewa waache wakudanganye tu.n hiyo tabia y kumdhalilisha mume wako kwenye mikutano wewe ndo unajidhalilisha wala c yeye.

    ReplyDelete
  29. flora unajisikiaje sasa,unadhan mmeo atakurudia kweli?mmm mi nawapenda wote wawili sijui hata niwasaidiaje?shetani kweli anafanya kazii watu wa mungu mna majaribu sana kuliko sisi tulio vuguvugu

    ReplyDelete
  30. Flora ungeweza kabisa kuachana na Emmanuel kwa staili tofauti na hii ya kumwangamiza maisha yake yote. Wewe ungemwacha ukaendelea na Gwajima wako na yeye angeangalia namna nyingine ya maisha yake. Sema wewe unaona usingeweza kuvumilia kumwona Emmanuel na mwanamke mwingine baada ya wewe kumwacha - Kisebusebu na kiroho papo! Mwache ajihangaikie maisha yake kwa nini kumtesa yeye na familia ya Mzee maneno Mbasha?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad