Hivi Ndivyo Fastjet ilivyohakikisha Diamond Anarudi na Tuzo.

Kampuni ya safari za ndege nchini tzee ya Fastjet, imetokea kumpa sapoti mkali wa Afro Pop Dimond Platnumz, kwa kusimamia swala zima la usafiri wa Diamond na kuhakikisha kuwa anafika nchini africa kusini pamoja na wapambe wake aliongozana nao salama, mbali na sapoti hiyo, ile katika kuzidi kuweka msisitizo zaidi mbali na kuhakikisha anatia mguu sauzi, imezidi kutoa promo kupiti matangazo yake ikiwa inamtangangaza mkali huyo anayewania tuzo nyingi hivi sasa ikiwemo hiyo ya Mtv MAMA.

Diamond alizidi kufunguka kupitia akaunti yake ya instagram na kusema haya:

“Asante sana @fastjetofficial kwa kunisafirisha mimi, Familia yangu na team yangu nzima kuelekea kwenye Tuzo za MTV Awards Nchini South Africa.. hakika nyinyi ni Mfano Bora.. Kama Hauna Taarifa bado, Kampuni ya Fast jest sasa imeanzisha huduma mpya ya kutoka Tanzania hadi South Africa…“
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad