Nawapongeza sana Husna Abdul na Gea Habib kwa kunogesha kipindi cha Leo Tena. Kipindi kimechangamka sana. Husna amefit vizuri sana na hamna mapungufu.
Kuna baadhi ya watu walidhani kuondoka kwa Dina Marios kipindi kitadorora sana kumbe wala wadada wanakamua vizuri sana. Big up sana Gea unatukosha sana na HEKA HEKA.
Mleta madam huna mpya ujinga gani huu unatuletea humu? Km huna cha kuandika kaa kimya,rudi kajipange upya mfyuxz
ReplyDeleteNot madam ni mada sorry
ReplyDeletewako vizur
ReplyDeletekwa kweli ni kizuri hasa,wanafanya kazi nzuri
ReplyDeletemacstar mpo juu mungu awa pamoja nanyi
ReplyDeleteWako poa kiukweli big up !!
ReplyDelete