Hongera Husna Abdul na Gea Habib Kwa Kumudu Kipindi cha Leo Tana Bila Uwepo wa Dina Marios

Nawapongeza sana Husna Abdul na Gea Habib kwa kunogesha kipindi cha Leo Tena. Kipindi kimechangamka sana. Husna amefit vizuri sana na hamna mapungufu. 

Kuna baadhi ya watu walidhani kuondoka kwa Dina Marios kipindi kitadorora sana kumbe wala wadada wanakamua vizuri sana. Big up sana Gea unatukosha sana na HEKA HEKA.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mleta madam huna mpya ujinga gani huu unatuletea humu? Km huna cha kuandika kaa kimya,rudi kajipange upya mfyuxz

    ReplyDelete
  2. Not madam ni mada sorry

    ReplyDelete
  3. kwa kweli ni kizuri hasa,wanafanya kazi nzuri

    ReplyDelete
  4. macstar mpo juu mungu awa pamoja nanyi

    ReplyDelete
  5. Wako poa kiukweli big up !!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad