Hongera Mheshimiwa James Mbatia kwa kuwafundisha CHADEMA jinsi ya Kuandika Maoni ya Upinzani


Wadau, 

Natumai kuwa wengi wetu tumemsikiliza Mheshimiwa James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI na Waziri Kivuli wa Wizara ya Fedha wakati akitoa maoni ya Kambi ya Upinzani kuhusu Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 2014/2015. 

Kwa wale waliosikiliza, kusoma au kuona maoni hayo ya Upinzani, watakubaliana nami kuwa yapo tofauti kabisa na maoni tuliyokuwa tumezoea kuyasikia kutoka Kambi ya Upinzani wakati huo ikiwa na wabunge wa CHADEMA pekee.

Hakika Mbatia amejitahidi kujenga hoja na kutoa ushauri stahiki kwa mustakabali mwema wa nchi hii.

Wengi walitegemea kuwa Mbatia atajikita kueleza au kulalamika juu ya masuala mbalimbali kama vile ESCROW Acount au hili sakata la UDA. Mbatia hakugusia kabisa masuala hayo kwa vile hayana tija katika ukuaji uchumi wa nchi yetu.

Pia Mbatia anajua kuwa kama kulikuwa na udhaifu wowote kwa siku za nyuma, hawezi kuwabebesha mzigo huo hawa vijana wachapakazi waliochaguliwa kuongoza wizara hiyo. 

Alichokifanya Mbatia ni kuwaonesha njia na si kuwakatisha tamaa kama walivyozoea kufanya CHADEMA.

Hebu tujiulize, hivi ile taarifa ya John Mnyika kwenye Wizara ya Nishati na madini ina tija gani kwa taifa?

Katumia dakika 25 kusoma introduction tu wakati James Mbatia katumia chini ya dakika 30 kuwasilisha maoni yake. 

Hakika Mbatia kawaonesha njia CHADEMA na hii inadhihirisha kuwa uwepo wake kwenye kambi ya upinzani utasaidia kuokoa Jahazi la CHADEMA lisizame japo uwezo huo najua hana. 

Atakachokifanya Mbatia ni kuokoa jahazi lake tu. kwani mpaka sasa Watanzania wenye akili timamu wanajua kuwa ndani ya CHADEMA hakuna upinzani wa dhati bali wamejaa walalamikaji na wanung'unikaji.

CHADEMA, alichokifanya Mbatia leo iwe fundisho kwenu katika kujitathmini upya juu ya mustakabali wenu kisiasa.

Mawaziri vivuli karibu wote ambao si wabunge wa CHADEMA wameandaa taarifa nzuri sana na zenye tija kwa taifa hii tofauti na za wabunge wa CHADEMA.

Huwezi kulinganisha taarifa za Sugu, Lema, Wenje, Msigwa na Mnyika na zile zilizoandaliwa na akina Mkosamali, Kafulila, Mbatia na Machali. 

Hakika kuna utofauti mkubwa na Watanzania wenye akili zao hawahitaji mikutano ya hadhara kupima juu ya jambo hilo. 

Nawashauri CHADEMA. Kujifunza si ujinga. Japo mmekaa miaka 3 kama kambi rasmi ya upinzani, mjifunze hiki kipindi cha miezi miwili mlichofanya kazi pamoja na akina Mbatia. Mnapojifunza hakika mnaangamia.

Najua kuna mizengwe inasukwa na baadhi yenu kwa kutaka kuwaandalia kashfa nzito akina Mbatia ili hatimaye kambi yenu ivunjike. Huo si ushindani wa kisiasa. Anayejua anajua tu. cha kufanya ni wewe kujifunza kutoka kwake

Nawasilisha.
Tags

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe lazima mbatia ni msenge wako au basha wako c bure. Nini cha ajabu hapo na kwa nini reference iwe CDM na sio Mwigulu au Muhongo au CCM.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msenge wa ccm.akicoment hapa hajifichi,utamjua tu,pumbu zako!

      Delete
  2. Shule pia inachangia sana katika hili. Sasa mtu kama Sugu ambaye hata Form Four hakumaliza wewe unategemea nini kutoka kwake???....Kama sio uvundo na ubabaishaji. Huyo John Mnyika ndio hata haijulikani na elimu yake ya ku ungaunga. Kazi yake ni uchochezi tu na kujipendekeza pendekeza.

    ReplyDelete
    Replies
    1. unaweza ukawa na shule na bado shule isikusaidie kijana zaman wabunge wengi walikuwa darasa la saba

      Delete
  3. Nikiwa na akili zangu kama s kuelewi iv coz mwanzon nilianza kuvutiwa na writing zako ila navozd enda mbele nagundua una agenda za ccm huna lolote umezunguka weeee kumbe kuipaka matope chadema na kuitetea ccm indirect...ushinddwe katka jina chadema....ntakuelewa cku nyingne leoo hapana.


    ReplyDelete
  4. Shule ndiyo mpango mzima.....afu cku zote ukiona mtu anapiga makelele yasiyokuwa na ushauri WW....kimbilia kaangalie vyeti vyake utakutoma....f4 ana DV 4 au zero......au f6 lakini hana cheti

    ReplyDelete
  5. kawaida tu.....shida yenu amfatilii mambo????

    ReplyDelete
  6. Hiyo kazi nzuri ya Mbatia tusingeiona kama sio busara za Mwenyekiti wa CCM aliyemleta bungeni awafundishe wapinzani wenzake jinsi ya kuwasilisha hoja zenye tija na si kufoka, kutukana, kudanganya umma. n.k. Wapinzani mara nyingine mnapohitaji kiongozi bora kama Mbatia ; Kikwete atawasaidia tena .

    ReplyDelete
  7. Tukiachilia mbali VYAMA. Ushauri wa Mbatia kunajenga. Shule na hekima vinafanya kazi kwa pamoja. Tubadilike watanzani, Matusi hayana maana.

    ReplyDelete
  8. wewe anony 8:53aliyekwambia sugu hajamaliza form four nani? pumbavu wewe unaongea usichokijua mwehuu huenda ww ndo umeishia std 7 sugu kamaliza fm 6mbeya secondary

    ReplyDelete
  9. Huyu admin angetueleza direct kuwa yy ni kibaraka wa mafisadi tu!kuliko kupindisha mambo ooh mbatia kasoma vizuri hakugusia wizi wa Escro!hiv wewe unaona ule wizi kweli sio kurudisha nyuma maendeleo ya nchi kweli?watanzania tumesha zoea kuibiwa kwa kweli,kwa akili zako unasifia kabisa ni bora eti hakuongolea mambo hayo!wewe unatumia akili kuandika artcal zako kweli?kwahio huo wizi kwa maana nyingine ni vizuri tu waendelee kutuibia si ndio?kuna watu ambao mpaka unajiuliza kama ni raia wa nchi hii,kifupi habari yako ni pumba na unavyojifanya kuwapendelea hao mafisadi ndio unavyozidi kushusha heshima yako kama sio kupotea kabisa!nakushauri achana na haya mambo ya siasa haya hayaitaji mahaba niuwe,nakushauri ukaandike habari nyingine ziko nyingi tu za kina Diamond na Wema nk.

    ReplyDelete
  10. mbatia anajua ht mkimponda, mi mwenyewe CDM lkn mbatia namkubali

    ReplyDelete
  11. Ukisikia ukosefu fikra ndio huu, watu hata hawatumii akili kabisa bali siasa mavi tu mnatuletea, kwanza unasema hajazungumzia account ya ESCROW, huo ufisadi si umesha zunguziwa kwenye wizara ya nishati na madi? unataka aizungumzie kivipi yani sijakuelewa kuma wewe, UDA si limesha semwa vilevile kwenye wizara husika? tatizi nililoliona umetumwa wewe sio bure. harafu kama umemsikiluza akiwa anaisoma hiyo hotuba mbona alikuwa anasema sisi kambi ya upinzani mbona hakuwa anasema yeye Mbatia? kss ukijus ile hotubs ni ya kambi ya upinzani,

    ReplyDelete
  12. kuna watu humu wanakurupuka ht bunge hawatizami,

    ReplyDelete
  13. kumbe kutokugusia maswala ya wizi nayo ni busara!!!!!!!!!na kwamba wizi wa mali ya uma sio tija kwenye uchumi!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad