Htaimaye Flora Mbasha Ajitokeza Baada Ya Sakata La Mdogo Wake Kubakwa na Mumewe, Na Hiki Ndicho Alichokipost

Baada ya kutokea sakata la mdogo wa Flora Mbasha Kubakwa na mume wa Flora, hatimaye Flora ajitokeza katika akaunt yake ya facebook. atupia picha hiyo hapo juu lakini bila caption yeyote ile ikiwa na Maana Maisha yanaendelea Kama Kawa

Post a Comment

27 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio nini sasa umeleta hapa !

    ReplyDelete
  2. hicho alichokipost ndo kikowapi

    ReplyDelete
  3. hovyooo. we flora nawe huo.wanja kama shangingi la magomeni

    ReplyDelete
  4. Jamaniiii naombeni ushauri niende kusali kanisa lipi?mikocheni B majanga,ubungo kibangu mamaaaa!,kawe tobaaaaaa,ushauri Jamani .au nijisalie kanisa langu la Roman catholic?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bora roman au Yale makanisa yaliyokuwepo toka Enzi.haya yasasa ni wizi mtupu sikushauri kuendelea kupigwa changa la macho.hata ukiomba pekeyako msituni mungu atakusikia.

      Delete
    2. Kakudanganya nani eti Yesu yupo kanisani kawe,mikocheni B,Mwenge,Mbezi kavu,Ubungo kibangu au Nigeria tu?Wajinga ndio waliwao!

      Delete
  5. Siku za mwisho hizi ndugu, jibakie zako roman catholic makanisa siku hizi dill za sadaka tu, hakuna jipya, baki na imani ya wazazi wako.

    mungu yule yule tonatofautina lugha za kumwomba tu. goodday

    ReplyDelete
  6. Mchungaji anapata wapi pesa ya kumnunulia mtu gari la kifahali na kumsomesha mtu Uingereza?Si Ni sadaka zetu hizi?aaaasalaleeeeee!!!!Nina hasiraaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau. usichokijua ni usiku wa giza. mwenzio ana biashara zake za chini ya kapeti! kama ulikua hujui, chukua hiyo! Na wale wachina wanaopiga vyombo vya kwaya wanazuga tu. wana mtandao wao wa hatari

      Delete
    2. Aasalaleeeee,kuanzia Leo nauvua ulokole,duuuuu,narudi kanisa langu la mwanzo,roman

      Delete
  7. Unabakwa na wewe nn!??

    ReplyDelete
  8. Luke 12:33 uzeni mali zenu na mgawane na maskini, sasa hawa wachungaji wa karne hizi ni mamillioner ikiwa andiko linawashaur wauze mali zao na wagawe kwa maskini huo utajir utakuja kweli, so ninamashaka nao maana du ata yesu mwenyewe hakuwa na utajiri wowote kama hawa jamaa, watoto wao wote ni international school nurser hadi form six na unirsity ni out of our country na sio bara la africa ni mabara ya uingereza, Ila YESU atarudi tu jaman tumsubir

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hilo neno mdau,Yesu wa nazareth alipanda mtoto wa punda,lakini leo hii mchungaji Lusekelo anapanda Lexus ya 200m,na hawara yake huyu Flora,mchungaji Gwaj anadrive gari la bei mbaya aina ya Hummer thamani yake 360milion.HATUDANGANYIKI TENA!!

      Delete
  9. bakia zako tu roman catholic kimsingi Mungu ni mmoja njia za kufikisha maombi yetu ndo zinatofautiana.

    ReplyDelete
  10. HIVI HUYU MKE WA MBASHA KAMA KWELI ALIMPENDA MME WAKE NA YEYE NI MTU WA DINI (IMANI) ALISHINDWA KUONGEA NA MDOGO WAKE WAKAYAMALIZA KIFAMILIA? HADI KUTANGAZA MAANA YAKE NINI KAMA SIYE YEYE MHUSIKA? MTU UKISHAZAA NAYE HATA KAMA UJAFUNGA NAYE NDOA KWA MTAZAMO WANGU NI MTU ULIYEUNGANA NAYE KATIKA DAMU NA HATA UKOO. UNAMJENGEA NINI MTOTO MLIYEMZAA?

    ReplyDelete
  11. wanatumia nguvu za giza kuvuta waamini,ili kanisa lijae.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu mchingaji.hapa.kimara bucha dsm hufagia.mchanga wote kanisani na kuuweka kwenye kiroba wa nini?

      Delete
  12. nilionaga kituko kanisa moja la kilokole silitaji jina,yaniiii,sirudi tenaaaaaa kusali hapo.kweli siku za mwisho zinakaribia

    ReplyDelete
  13. nasikia bidada anahamuuuuuuuuu mumewe wamsweke ndani,ili apate uhuru wa kufanya yake kama kajala.

    ReplyDelete
  14. gwajim*......dunia imekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,hivi hawa watu awamuogopagi Mungu?wanamchezea kama babu yao,jamani jamani,Mungu si wa mchezo,oohooooooo,aya weee.

    ReplyDelete
  15. Bado sijajua ni hio picha?????!??? Usituchanganye kama huna jipya tuliza .

    ReplyDelete
  16. JAMANI GWA**MA HANDSOME WE ACHA TU MI NAOGOPA KULOESHA CHUPI NIKIENDA KANISA LAKE MANA NAMFEEL NOMAAA

    ReplyDelete
  17. Huyo Mume wako asili yake inamruhusu kuwa kicheche, tena huwa hawaangaliagi vya ndni wala nje, mafirauni sana hao, hivyo dada bora ubaki tu na Gwajima wako.

    ReplyDelete
  18. wanawake hawawi hivyo flora ungeenda kwa wazazi wako sio kwenda hotelini.namutani sana mumeo baki na gwajima wako.

    ReplyDelete
  19. wewe dada acha ujinga msamehe mume wako,kwani wewe hujawahi kukosea?hebu rudi kwa mume wako.una mume mzuri,mkitoka mnapendeza.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad