Huyu Irene Uwoya ni Mzuri Wema Sepetu Hapa Anasubiri Miaka Mia

Mtoto Mlaini Mayai Hajui Mkorogo ni nini na hana majigambo ya ovyo kikubwa nachokipendea kwa Irene Hana Magroup na Ushoga wa Kijinga hapa mjini wala hapendi umbea, akiongea kama hataki , ana mtoto mmoja lakini bado yupo Fit ....
Tags

Post a Comment

32 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ata mie nampenda sana Irene Uwoya

    ReplyDelete
  2. Hivi bira kumtaja Wena Sepetu wamlali ama. Kila siku Wema Wema. Mwacheni mtoto wa watu. Kila mtu amepewa uzuri wake. You cannot compare people. Manaboa aiseee.

    ReplyDelete
  3. Kwa kiasi fulani anajitambua. Wema siyo natural

    ReplyDelete
  4. hiyo miaka mia michache sana mi naona 800 wema mbona kawaida sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tena nami naongeza mia mbili miaka hivi nani kasema wewe mzuri mwambie aache makeup na aache kusonea weaving mtakimbia komwe midomo shape mbaya ila uwoya uko vizuri tena sana lazima tukubali hilo

      Delete
  5. Tatizo, anakaa uchi saana, jamani, akiwa anavaa na kiheshima kidogo, angekuwa mrembo zaidi, mdada mzuri saana, hana tabia za ovyo kama za kina wema

    ReplyDelete
  6. Irene mzuri wema mikorogo ishamfanya kibibi

    ReplyDelete
  7. Nampenda xana wema wala cpendelei ila kiukwel irene ni mzur jaman kuanzia utosin had unyayon miaka million

    ReplyDelete
  8. Leo mmekubali kama wema uzuri wa makeup siku diamond atakata matumizi ya makeup atatisha vibaya tizama yoto apo mwenye uzuri wa tende sukari ya kuzaliwa siyo uzuri wa haluwa sukari ya kutiliwa

    ReplyDelete
  9. Mimi ningekuwa ndikumana ningevumilia yote yani hapa bongo hakuna staa mzr kama irene

    ReplyDelete
  10. wema hakuna kitu wa kawaida xana hana shape kama ya uwoya au jokate. anajiuza kwa kupigwa picha za uchi lakini bado ni bibi tena picha zake zina leta kinyaa saana

    ReplyDelete
  11. Uwoya mzurrrrrrrrrrr sana sana...

    ReplyDelete
  12. Uzuri wa mtu hauko pale anapokaa uchi,ninayo imani kuwa kila mwanamke akivua nguo ni mzuriiii tu,sema kweli wema anajichubua mno cdhani kama akipata ajali ngozi itashoneka.Jistili uwoya mwili wako ni wathamani sanaaaa tena mno,vipi huyo ndio mwanawe NDIKUMANA?ila sema kama ni yeye mmefanana sn.

    ReplyDelete
  13. Irene mzuri sana hakuna kwa TZ,

    ReplyDelete
  14. Irene kumamayo tu kafirwe mbele Malaya weeee.

    ReplyDelete
  15. Hata mie mzur xna cema cjulikani nina watoto 2 bt very gud

    ReplyDelete
  16. mumuache wema jamani

    ReplyDelete
  17. wema atawasumbua sana,hamkuona mtu mwingne wa kumfananisha na uwoya?wema kweli hatari

    ReplyDelete
  18. me bado cjaona wakumfananisha nae,yani nampenda irene kupita maelezo!

    ReplyDelete
  19. wema mzur tyu ndo maana ad mnampambanisha kila kukicha af kla m2 ana mapngf ake sa mnakaa mnamdic wema wa wa2 bure kla cku kwn ye uwoya hana mabaya yake? af na we admin bla wema cku aiendi eti ee?

    ReplyDelete
  20. Tena Irene ukiziona hizi comment kalalamike police, huyo wema hakupati hata kwa nukta, Mikorogo plus Make up plus vituko ndio vinampaisha.

    ReplyDelete
  21. nakupenda sana Irene

    ReplyDelete
  22. irine ni mzuri lakini hata wema ni mzuri tena sana tu na ndo maana wamepambanishwa km wema angekuwa mbaya asingepambanishwa na irine big up irine big up wema ninyi wote wazuri

    ReplyDelete
  23. irine ni mzuri lakini hata wema ni mzuri tena sana tu na ndo maana wamepambanishwa km wema angekuwa mbaya asingepambanishwa na irine big up irine big up wema ninyi wote wazuri

    ReplyDelete
  24. kifaa irene jamani,nampenda sana, hakuna mkorogo wala kutengeneza figure,Mrs ndikumana, banyarwanda tunampenda sana.

    ReplyDelete
  25. hivi kweli wema yupo juu mbbona kama ni mbaya mnamlinganisha na wazuri it means wema ni homa ya jiji ni hatariiii chezeiyaaa wema sepetungaa weweee utalalaa na mbwaaa wa getin kwakeee....weeeeeeeeeeeee....wema kwanza hao wengne badae hapa tanzania anatambulika wemasepetunga wengne badaeee ndo watasubiri sio wema kusubirii mxuuuuuuuuuuuu mtoa mada ni kuma kubwaa huna mana bila wema magazeti yenyewe hayapati soko kwa wema ni kwikwiiii achen ujingaaa hao wengne watasubiriiiiiiiiiii twende wemaaaaaaaaaaaaaaa........chezea tam wema wewe hata baba ako na kaka zk wanamtafta wema lakin wapi....................

    ReplyDelete
  26. hakuna mtu mbaya duniani kwani hakuna alojiumba mwenyewe sote tumeumbwa na kukosoa umbaji ni kosa kubwa sana.

    turekebishaneni ama tukosoaneni tabia na sio maumbile

    ReplyDelete
  27. rudi rwanda uwoya

    ReplyDelete
  28. Irene, wema wote ni wanawake, wala hakuna cha tofauti kati yao. Fanyeni angalicho na computer. Wakati pich zinapitia computer basi ni balaa

    ReplyDelete
  29. guys its not right to compare people buh its correct to sa....WEMA hapa huoni ndani.....hahaaaahaaaaa...... peace

    ReplyDelete
  30. Haina haja ya kutukana kwny ukwel tuseme ukwel…… Uwoya mzur jaman

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad