Angalia Video hapa Chini Ujionee:
Huyu Ndio Amina Maige Aliye Mng'ata ng'ata Mfanyakazi wake wa Ndani Hapa Akipandishwa Mahakani, Wananchi Wamzomea
13
June 13, 2014
Pichani ndio Mwanamke anayejulikana kwa jina la Amina Maige Aliyeingia Katika Headlines week iliyopita baada ya kukutwa na Tuhuma za Kumjeruhi mfanyakazi wake wa Ndani kwa Kumg'ata ng'ata na Meno mwili mzima , Hali ilikuwa Tete wakati akiwa anapandishwa mahakamani wananchi na wanaharakati mbali mbali walikuwa mahakamani hapo wakitaka aonyeshwe sura yake baada ya kushushwa kwenye gari huku amejifunika Kichwa...
Angalia Video hapa Chini Ujionee:
Angalia Video hapa Chini Ujionee:
Tags
mi nataka nione hii serikali kwa sasa, maana imezoea kupokea rushwa wakati roho za watu zinateketea mi nataka nione safari hii hizi kesi
ReplyDeleteKama kweli ni dadake Fisadi Ezekiel Maige kama alivyowatishia polisi siku walivyokwenda kumkamata nyumbani kwake , unadhani hii kesi itafika mbali?
ReplyDeleteMuone mbayaaa na roho yake mbayaa
ReplyDeletemkimuachia tu tutachukua sheria mikononi mwetu
ReplyDeleteAdhabu kali ichukuliwe kwa huyu mcharuko iwefundisho kwa mazombi wengine ambao wanaona dili kunywa damu ya mtu!
ReplyDeleteAdhabu kali ikichukuliwa kwa ukatili huu itakuwa fundisho kwa watu wenye tabia kama zake.
ReplyDeleteMnachekesha kweli wadau mnalalama nini? eti serekali tuone itafanya nini!!! mtasubiri sana hanma kitu ss wanyonge ndio tunaonja joto ya jiwe kaguse mtoto wa mkubwa uone moto utakaowaka. kiko wapi MSICHANA WA KAPUYA? mavi yatawabana sana mwaka huu serekali ingedil kwanza na hawa viongozi tungeona inatenda haki
ReplyDeleteKwa msichana wa kapuya umedandia train-yule ni kahaba pigaji ndio mana ht hao wanaharakati hawakuangaika nae bda ya kuujua ukweli,
DeleteHebufatilia habari vizuri,yule msichana wakapuya nimwongo alipandikizwa kisiasa,kama wewe nimtu wakuhadisiwa basi jukwaa hili halikufai.
ReplyDeletewewe ndo ziro kabisa ufai kabisa unadanganywa kwa pipi unanyangaywa haki yako pole tena pole sana kalagabao najua yule wa joyce kiria ndie aliyedanganya so usitetee ujinga
ReplyDeleteDawa ya moto ni moto. Mngemtafutia mbwa chizi amng'ate nayeye alaf mumuuliza kama ni kitamu au laa
ReplyDeletehuyu dada alishawahi kuumiza uume mtu,jamaa hakutaka aibu akatibiwa kimyakimya,ni hatari wazee wenzangu ,
ReplyDeleteMajanga
ReplyDelete